Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Mods, na wana JF mtanisamehe kwa hii picha lakini ndiyo ukweli wenyewe lazima tuuweka hapa kama ushahidi, huyu mwanamke wa kiafrica katoka kubakwa na mzungu.
images-56.jpeg
 
king-leopold-of-belgium-congo-genocide.jpeg

WHEN YOU KILL TEN MILLION AFRICANS YOU AREN’T CALLED ‘HITLER’

Most people haven’t heard of him.But you should have. When you see his face or hear his name you should get as sick in your stomach as when you read about Mussolini or Hitler or see one of their pictures. You see, he killed over 10 million people in the Congo.His name is King Leopold II of Belgium.
 
Warabu koko wetu shida kabisa waswahili kuliko waswahili wenyewe na kupenda kujipaka uarabu wakat kuishi huko uarabuni wanaogopa
 
Hebu tumia akili kidogo ndugu...kwa hiyo kama sisi huku tunadhulumiana basi ni ruksa kokote tunapoenda tudhalilishwe.

Ndio ni JAMII FULANI nao ni Waarabu na Wazungu ndio waliona ni busara na haki kuuza na kununua Waafrica kama bidhaa...ila miongoni wa hao Wazungu ndio walioanzisha vita dhidi ya huo unyama....wewe unataka tujumuishe jamii gani nyingine iliyofanya huo ujinga?

Kila nchi ina matatizo yake, na hapa tunazungumzia ishu ya Waarabu dhidi ya waswahili/weusi....anzisha uzi unaohusu ukatili wa huku nyumbani tutachangia.

Hao Waarabu wangekuwa na busara wangekaa mbali na hiyo biashara iliyodhalilisha utu...labda kama Wajapani na wengine....na hata usidhani wale wa Africa kaskazini wanaona ufahari kujiita Waafrica...ukienda Africa kaskazini mtu mweusi wanakuuliza "umetokea Africa?"

Hata Afrika kusini kwa weusi wenzetu kuna matatizo lakini ni visa tofauti...kule wanagombea zaidi rasilimali ili hali Uarabuni ni ubaguzi na dharau tu dhidi ya weusi...na sijasema kwamba naamini huko kwingine duniani ni salama kama peponi.

Labda wewe unawapenda sana lakini wao hawakupendi hivyo.
Sasa ni nani kati yetu atumie akili kidogo?

Hoja yako ni kwamba "hasa Waarabu ndo tatizo" na mimi nimekuonesha ubaguzi na ukatili hauna rangi wala kabila na nimekupa mifano ya sisi wenyewe kwa wenyewe tunavyofanyiana ukikatili! Nimekutajia jinsi ma-housegirl wanavyonyaswa, kuheruhiwa vibaya sana na kubakwa na sisi wenyewe, jinsi watoto wa kambo wanavyozalilishwa na wengine kubakwa n.k! Badala yake unahoji "kwahiyo kv sisi tunadhulumiana basi kokote tunapoenda tukadhalilishwe...." Wewe unadhani hiyo hoja hapo inaingia? Huoni ungekanusha kwamba hamna kitu kama hicho ndo ingekuwa hoja kinzani lakini ikiwa hata sisi kwa sisi tunafanyiana ukatili ule ule unaofanywa na Waarabu, now what's the difference?! Au nikiuliza kwa staili yako; ina maana kufanyiana ukatili na ushenzi wenyewe kwa wenyewe ni sawa lakini wakitufanyia Waarabu au taifa lingine ndo ubaguzi?

Unadai kwamba eti Wazungu ndo walipiga vita hiyo biashara ya utumwa.... come on man, I hope you're smart than this! Unataka kusema hao Wazungu walipiga vita biashara ya utumwa kv walianza kutupenda? Do I need to remind you kwamba Wazungu walikuwa wanatupeleka kwao ili kutulimisha kwenye mashamba yao lakini walipoona wameshaishiwa na ardhi wakaona waje kufungua mashamba huku huku Afrika! Sasa ikiwa production sites ilishabadilika from Europe to Africa; ulitarajia watumwa wapelekwe Ulaya wakafanye nini? Au unadhani asilimia kubwa ya wale watumwa walikuwa wanapelekwa Arabuni? Au unataka nikukumbushe reflection ya kupiga vita biashara ya utumwa ili waje kututumikisha huku huku inabidi uchukue mfano wa Vita vya Maji Maji ambayo walioianzisha ilikuwa ni baada ya kuchoshwa na ukatili wa Wajerumani kwenye mashamba yao?

Kwahiyo ni kichekesho kudai eti ni hao Wazungu ndio walipiga vita huo unyama!!

"Kwamba unataka tujumuishe jamii ipi" labda nikujuze jambo moja!

Hapa sitetei mtu kama nyie wengine ambao majority wamegawanyika kutokana na dini zao! Tangu mwanzo nishasema wazi linapokuja suala la biashara ya utumwa; Waarabu na Wazungu wote ni washenzi tu! Post yangu ya kwanza kwenye huu mjadala ni hii hapa:
Unajua Waafrika dini zinatufanya tuwe kama wehu! Hapa wengine watatetea wazungu wengine watatetea Mwarabu lakini chachu ikiwa ni Ukristo na Uislamu!

Waarabu na Wazungu wote ni wafedhuli tu linapokuja suala la biashara ya utumwa kwa sababu wote hawa walikuwa wanadaka na kuuza Waafrika na wote walikuwa wananunua na kutumikisha Waafrika!
So, am sorry you got a wrong guy na utaona hata hoja yako kwamba "kama nawapenda sana Waarabu...." hiyo hoja kwangu ni incompatible. I don't care whether you're black or white, colored or whatever.... wewe kama ni mbaguzi na katili you're no different with people of other colors.
 
pasco, p

Nimekujibu mara kadhaa kuhusu hili suala la utumwa lakini inaelekea
ni somo unalolipenda

Hizo picha ulizoweka si picha za Zanzibar lakini bado umezirejesha tena.

upload_2016-4-16_7-21-20-jpeg.338978

Hiyo picha hapo juu ulioweka mwisho kuaminisha watu kuwa hao watu
wawili waliofungwa minyororo ni watumwa wa Waarabu hii si kweli.

Hiyo ni picha ni ya Vita Vya Maji Maji na ilipigwa mwaka wa 1905 wakati
wananchi wa Tanganyika walipopambana na ukoloni wa Wajerumani.

Nadhani bila shaka unatambua kuwa Mahenge Songea kuna kaburi la
halaiki ambalo majemadari wa Vita Vya Maji Maji 60 wote Waislam
wamezikwa kwenye kaburi moja baada ya kunyongwa na Wajerumani.

Sasa ikiwa huu ndiyo usomi wako wa kuchanganya mambo hujjui lipi
la Utumwa na lipi na Maji Maji, unaleta picha za utumwa za Belgian
Congo unasema zinatoka Zanzibar inaniwia vigumu sana kufanya mjadala
na wewe.

Sababu kubwa ni kuwa huna unachokijua katika historia ya utumwa.

Mimi sina chuki na Wamishionari na nilililosema ni ukweli wa kihistoria
na upo ushahidi wa kudhihirisha hilo.

Nimekufahamisha kuwa mimi nimefanya utafiti Blantyre, Glasgow huko
wewe unakotoa hoja zako na nimekupa jibu kuwa hawa wamishionari
walikuwa wakiandika taarifa nyingi za chumvi kwa ajili ya kutaka tu
kongezewa fedha za misaada.

Bahati mbaya sijaweza kuziona picha nilizopiga Blantyre kukudhihirishia
kuwa nilikuwa hapo na najua ninachokisema.

Lakini nakuwekea hapa picha nikifanya kipindi BBC kuhusu somo hili.

kceP5JbdBrEOYAkNCC2BdjYi04pPHOwnehT-3ikH98Vg9uf9cQsvV1bZ79Aiy2mgaXSBb8PLMtRz5-rS6df1Fbiqquo5m86VmMT29HVW5UcVWcZSVvTCIX8iy2MToAoh8EH2d7-_vgNwvKKyTLMCv51RwR51zgmOl3zltTx-6mrSiMIKsoYPMVspg3FNHyaF_hHRNoTzOmPUp8A2Lu0m_nKVMT5Uf-yLvKdLEqd8q-lmdmnxs7b7Qz6lyvJrhh3BHrAb00WAB1HQvbPJve9OM1dTDYwIUJr9ZBELxpRfZWBSpyDEWzTfOCCGucl4QqSZ6H5snsBejIWNt3ftOfspSDhkg4v21lrVHP0S4RK1E_ISW2QfP5XddjDZQ_IYbxGjzqnVYUOklhW-kDIviPr2ZWzYzj3cIrQuMUG8itaMUWaOQg_0Sz4TKEtwg2D0jTil7atHSmy-jC8Qcg-9Pk_LCJHMUpXQqnbtDdHCziInVQ1jjFgFptuJ0nm71IhXw49UWOt-0xIg4roMbKGjJ0ahdwSukYCS3HkmXkQQd0Io8ZZLEyZ_ggpWHQnU3sByMXKogRKGyg=w480-h360-no
 
Watu wameacha kuongea ukweli sasa wameanza kutetea dini. mada inahusu udhalimu wa waarabu lakini mtu anakuja kuleta habari za ukatili wa wazungu ili kutetea waarabu kwa sababu tu ni mwislamu. Pasco amezungumzia waarabu na si waislamu. Waafrika tunadharauliwa duniani kote na kama si maliasili alizotupa mungu basi hii mijitu (wazungu na colored people )wangetuangamiza. waarabu na wahindi bado wanatubagua ndani ya nchi yetu
 
Hebu tuanze sensa hapa JF, kama ni wewe au ndugu yao ameoa au ameolewa na Mzungu lete ushuhuda na wewe mwislamu mfia dini tupe ushuhuda umeoa au umeolewa na mwarabu? Au una ndugu yupi kaoa au kuolewa na mwarabu?

Mkiwa wakweli wa nafsi zenu kujijibu maswali haya ndio mtaelewa kati ya wazungu na waarabu binadamu ni wepi.

Alamsiki.
 
Waarabu hawakuwatesa baba zetu.

Wakoloni na makaburu ndio waliowatesa mababu zetu (angalia picha zilizo tumwa humu, hamna picha ya mwarabu anaemtesa mwafrika zote hizo picha za wazungu ndio walikuwa wanawatesa babu zetu).

Hata ukipata picha ya mwarabu anamtesa mwafrica itakuwa ya kuchora tu (yaani ya uongo tu)

Hivi ndivyo mnavyofundishwa katika dini yenu? Kweli wewe na wenzio mnahitaji kusamehewa maana hamjui mlisemalo.
Yaani argument yako mtu mzima kama wewe hupaswi kujenga hoja kupitia picha tu na hapo hapo unasema kama itakuwepo basi ni ya uongo. Umejifunga kutokuelewa upande wa pili wa shilingi
 
Pasco,
Nimekujibu mara kadhaa kuhusu hili suala la utumwa lakini inaelekea
ni somo unalolipenda

Hizo picha ulizoweka si picha za Zanzibar lakini bado umezirejesha tena.

upload_2016-4-16_7-21-20-jpeg.338978

Hiyo picha hapo juu ulioweka mwisho kuaminisha watu kuwa hao watu
wawili waliofungwa minyororo ni watumwa wa Waarabu hii si kweli.

Hiyo ni picha ni ya Vita Vya Maji Maji na ilipigwa mwaka wa 1905 wakati
wananchi wa Tanganyika walipopambana na ukoloni wa Wajerumani.

Nadhani bila shaka unatambua kuwa Mahenge Songea kuna kaburi la
halaiki ambalo majemadari wa Vita Vya Maji Maji 60 wote Waislam
wamezikwa kwenye kaburi moja baada ya kunyongwa na Wajerumani.

Sasa ikiwa huu ndiyo usomi wako wa kuchanganya mambo hujjui lipi
la Utumwa na lipi na Maji Maji, unaleta picha za utumwa za Belgian
Congo unasema zinatoka Zanzibar inaniwia vigumu sana kufanya mjadala
na wewe.

Sababu kubwa ni kuwa huna unachokijua katika historia ya utumwa.

Mimi sina chuki na Wamishionari na nilililosema ni ukweli wa kihistoria
na upo ushahidi wa kudhihirisha hilo.

Nimekufahamisha kuwa mimi nimefanya utafiti Blantyre, Glasgow huko
wewe unakotoa hoja zako na nimekupa jibu kuwa hawa wamishionari
walikuwa wakiandika taarifa nyingi za chumvi kwa ajili ya kutaka tu
kongezewa fedha za misaada.

Bahati mbaya sijaweza kuziona picha nilizopiga Blantyre kukudhihirishia
kuwa nilikuwa hapo na najua ninachokisema.

Lakini nakuwekea hapa picha nikifanya kipindi BBC kuhusu somo hili.

kceP5JbdBrEOYAkNCC2BdjYi04pPHOwnehT-3ikH98Vg9uf9cQsvV1bZ79Aiy2mgaXSBb8PLMtRz5-rS6df1Fbiqquo5m86VmMT29HVW5UcVWcZSVvTCIX8iy2MToAoh8EH2d7-_vgNwvKKyTLMCv51RwR51zgmOl3zltTx-6mrSiMIKsoYPMVspg3FNHyaF_hHRNoTzOmPUp8A2Lu0m_nKVMT5Uf-yLvKdLEqd8q-lmdmnxs7b7Qz6lyvJrhh3BHrAb00WAB1HQvbPJve9OM1dTDYwIUJr9ZBELxpRfZWBSpyDEWzTfOCCGucl4QqSZ6H5snsBejIWNt3ftOfspSDhkg4v21lrVHP0S4RK1E_ISW2QfP5XddjDZQ_IYbxGjzqnVYUOklhW-kDIviPr2ZWzYzj3cIrQuMUG8itaMUWaOQg_0Sz4TKEtwg2D0jTil7atHSmy-jC8Qcg-9Pk_LCJHMUpXQqnbtDdHCziInVQ1jjFgFptuJ0nm71IhXw49UWOt-0xIg4roMbKGjJ0ahdwSukYCS3HkmXkQQd0Io8ZZLEyZ_ggpWHQnU3sByMXKogRKGyg=w480-h360-no
Mkuu Maalim kwa heshima na taadhima, ulikuja kwenye uzi huu ukaeleza bayana hukuona cha maana cha kuchangia, na mimi posti yako ndio pekee niliokujibu na nikaaga kuwa sitachangia tena!. Maadaam umerudi, nami najikuta nimelazimika kurudi!.

Kwenye bandiko langu it is the contents that matter!, hizo picha ni kama cover tuu, sasa msomi kama wewe badala ya kupangua hoja kwa hoja, unapangua cover tuu ya hoja zangu!.

Nadhani mchango wako humu ungekuwa wa maana sana kama ungetumia busara zako kuwatuliza hawa wafuasi wako humu, tuejee kujadili hoja iliyoko mezani.

Nakupongeza kukalia kiti cha Bush House 2007, kiukweli ulipendezea. Sisi wengine tumezaliwa tuu hapa hapa umatumbini, na hatukubahatika kutoka hapa tulipo na kufika popote, hivyo hatuna cha kuonyesha tumewahi kufika kufika!. Endelea kutusimulia hadithi na huku ukitulea picha za sehemu mbalimbali ulipowahi kufika, ili kutudhihirishia umewahi kufika hapo ila ila alimradi picha hizo ziwe relevant na mada husika!.

Kwa kukusaidia wewe na wenzako humu, mada iliyoko Mezani ni "
Udhalimu wa Waarabu Unguja na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, Wanaume walihasiwa, wanawake walibakwa, na kuuawa kinyama na kikatili na Waarabu enzi za Biashara ya Utumwa!.

Kwenye hili la utumwa, naomba kukiri, sinalo nilijualo bali naandika kile tuu kilichoandikwa na hao mashuhuda walioshuhudia kama huyu A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba ..., Hatuzungumzii utumwa wa wazungu, wala utumwa wa wa Afrika kwa Waafrika, mtu yuko huru kuanzisha uzi kuuzungumzia utumwa wa wazungu, ila huu uzi ni madhila ya utumwa wa Waarabu!.

Nimeisoma baadhi ya michango ya wachangiaji humu, kusema ukweli ni vichaa kabisa!, kuwa kichaa sio mpaka mtu uokote makopo!. Naomba kumpongeza mode kwa kutoufunga uzi huu, ni muhimu sana kuwaacha watu wenye hasira, wafunguke kutoa hasira zao!.
Endeleeni kufunguka, wenye hasira kuhusu udhalimu wa Waarabu kwa mababu zetu, endelee kufunguka kwa kukashifu dini, kutukana na yote msemayo, as long as they'll make you happy and feel good!, nothing will change the fact of what really happened!.

Pasco

Pasco haya ni maneno yako wakati unaleta huu uzi na hizo picha.

"Hizi picha wajemeni sio picha ya kuchorwa, ni picha za kweli na halisi zilizopigwa na kamera za wadhungu!."

Baada ya watu kukubana umebadilika umakuja na maneno mapya ya hizo picha.

"Kwenye bandiko langu it is the contents that matter!, hizo picha ni kama cover tuu, sasa msomi kama wewe badala ya kupangua hoja kwa hoja,unapangua cover tuu ya hoja zangu!."

Teh teh teh teh! Kumbe hizi picha siyo za kweli kwa nini sasa unawambia watu hapo ni Zanzibar mfano hizi picha za mauaji Congo yana uhusiano gani na Zanzibar kama siyo kupotosha watu.
IMG-20160417-WA0025.jpg

IMG-20160417-WA0019.jpg

Mauaji ya Waafrica wayafanje wazungu huko Congo halafu wewe unataka kutuaminisha kuwa hawa ni Wazanzibar wamefanyiwa unyama na waarabu.
 
@kahtaan,Mkuu Kahatanalaanatulah!, Pasco wa JF katika maisha yake yote, amewahi kuajiriwa mara tatu tuu. Alipomaliza shule ya Uandishi wa Habari, aliajiriwa RTD kama mtangazaji. Mwaka 1995, aliacha kazi mwenyewe na kujiunga na Kituo cha Televisheni cha DTV/Channel Ten. Mwaka 1999 aliacha kazi mwenyewe na kwenda kuwa mmoja wa waanzilishi wa TVT/TBC, ambapo mwaka 2002 alitimuliwa kazi kwa summary dismisal kwa kosa la insubordination!. Tangu hapo mpaka hii leo, Pasco hajawahi kuajiiwa tena popote, wala kufukuzwa kazi popote!.

Pasco sio mbaguzi wa dini, katika ujana wake, amekuwa akiishi nyumba moja na Muislamu, na mahusiano yake ya mwanzo ni na mwanamke wa Kiislamu, tena tuna mtoto nae!. Hao waarabu wenyewe nawependa na haswa Waarabu wa Zenj, nikija Zanzibar hufikia kwa Mwanamke wa Kiarabu, infact mimi ni shemeji yenu!, hivyo tuheshimiane!.

Pasco
 
Pasco haya ni maneno yako wakati unaleta huu uzi na hizo picha.

"Hizi picha wajemeni sio picha ya kuchorwa, ni picha za kweli na halisi zilizopigwa na kamera za wadhungu!."

Baada ya watu kukubana umebadilika umakuja na maneno mapya ya hizo picha.

"Kwenye bandiko langu it is the contents that matter!, hizo picha ni kama cover tuu, sasa msomi kama wewe badala ya kupangua hoja kwa hoja,unapangua cover tuu ya hoja zangu!."

Teh teh teh teh! Kumbe hizi picha siyo za kweli kwa nini sasa unawambia watu hapo ni Zanzibar mfano hizi picha za mauaji Congo yana uhusiano gani na Zanzibar kama siyo kupotosha watu.
View attachment 340584

View attachment 340585

Mauaji ya Waafrica wayafanje wazungu huko Congo halafu wewe unataka kutuaminisha kuwa hawa ni Wazanzibar wamefanyiwa unyama na waarabu.
Mkuu Riz, kwenye bandiko langu kuna popote nimesema hizo ni picha za Zanzibar?!.

Kama unahoja kuhusu waliyoyafanya Waarabu, toa hoja, hayo ya Congo au Marekani, yafungulie thread yake!.

Pasco
 
Siko upande wowote, lakini waislam baadhi yao ni wanyama kuliko hata wanyama wa porini. Nikimkuta binti yangu anatongozwa magaidi, nampeleka POLISI.
Hawa jamaa wazungu wana roho nzuri sana hata mtoto wako akifanyiwa hivi utafurahi sana mkuu.

IMG-20160417-WA0028.jpg
 
Mkuu Riz, kwenye bandiko langu kuna popote nimesema hizo ni picha za Zanzibar?!.

Kama unahoja kuhusu waliyoyafanya Waarabu, toa hoja, hayo ya Congo au Marekani, yafungulie thread yake!.

Pasco
Vizuri kama umekiri hizo picha siyo za Zanzibar.

Wanaukumbi.

Hizo picha ni mauaji na mateso waliyokuwa wanafanyiwa waafrica wenzetu na wazungu.

Kina lusungo walikiwa wanameza mazima na kiamini kuwa hizo picha ni za Zanzibar.
 
Nakuoneeni huruma sana mna jenga muelekeo wenu wa chuki kwa walokwisha ishi maisha yao. Wala hakuna mmoja wenu mwenye kujua ukweli ila kufata historia iliyo andikwa na walio taka lengo lao .
Hebu jiangalieni mnako kwenda .tengezeni akhera yenu historia inaeleza zaidi ubaya wa wazungu kwa watumwa kuliko watu wengine wote . Lakini hamuoni.
 
Nakubaliana na watu wanaosema waarabu ni wakatiri sana, tunajua biashara ya utumwa hata Wazungu waliifanya lakini kizazi cha Waafrica huko ulaya na Marekani kipo hata Leo but mbona kule mashariki ya kati ndugu zetu waliopelekwa huko hawapo? Waarabu wanatesa watu weusi hata sasa, kuna scandal ya mbunge mstaafu 1 ya kupeleka wasichana uarabuni kwa ajili ya kufanya kazi za ndani (sina hakika kama alikua unajua au hakuna unajua kile walichokua wanafanyiwa Dada zetu huko) habari hi ipo hata sasa to prove kwamba mwarabu wa enzi zile ndio huyu huyu wa kipindi hiki. Binafsi siamini kama kuna mwarabu mwenyewe moyo mzuri kwa mwafrika.
 
Back
Top Bottom