Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ni nani kati yetu atumie akili kidogo?Hebu tumia akili kidogo ndugu...kwa hiyo kama sisi huku tunadhulumiana basi ni ruksa kokote tunapoenda tudhalilishwe.
Ndio ni JAMII FULANI nao ni Waarabu na Wazungu ndio waliona ni busara na haki kuuza na kununua Waafrica kama bidhaa...ila miongoni wa hao Wazungu ndio walioanzisha vita dhidi ya huo unyama....wewe unataka tujumuishe jamii gani nyingine iliyofanya huo ujinga?
Kila nchi ina matatizo yake, na hapa tunazungumzia ishu ya Waarabu dhidi ya waswahili/weusi....anzisha uzi unaohusu ukatili wa huku nyumbani tutachangia.
Hao Waarabu wangekuwa na busara wangekaa mbali na hiyo biashara iliyodhalilisha utu...labda kama Wajapani na wengine....na hata usidhani wale wa Africa kaskazini wanaona ufahari kujiita Waafrica...ukienda Africa kaskazini mtu mweusi wanakuuliza "umetokea Africa?"
Hata Afrika kusini kwa weusi wenzetu kuna matatizo lakini ni visa tofauti...kule wanagombea zaidi rasilimali ili hali Uarabuni ni ubaguzi na dharau tu dhidi ya weusi...na sijasema kwamba naamini huko kwingine duniani ni salama kama peponi.
Labda wewe unawapenda sana lakini wao hawakupendi hivyo.
So, am sorry you got a wrong guy na utaona hata hoja yako kwamba "kama nawapenda sana Waarabu...." hiyo hoja kwangu ni incompatible. I don't care whether you're black or white, colored or whatever.... wewe kama ni mbaguzi na katili you're no different with people of other colors.Unajua Waafrika dini zinatufanya tuwe kama wehu! Hapa wengine watatetea wazungu wengine watatetea Mwarabu lakini chachu ikiwa ni Ukristo na Uislamu!
Waarabu na Wazungu wote ni wafedhuli tu linapokuja suala la biashara ya utumwa kwa sababu wote hawa walikuwa wanadaka na kuuza Waafrika na wote walikuwa wananunua na kutumikisha Waafrika!
Waarabu hawakuwatesa baba zetu.
Wakoloni na makaburu ndio waliowatesa mababu zetu (angalia picha zilizo tumwa humu, hamna picha ya mwarabu anaemtesa mwafrika zote hizo picha za wazungu ndio walikuwa wanawatesa babu zetu).
Hata ukipata picha ya mwarabu anamtesa mwafrica itakuwa ya kuchora tu (yaani ya uongo tu)
Mkuu Maalim kwa heshima na taadhima, ulikuja kwenye uzi huu ukaeleza bayana hukuona cha maana cha kuchangia, na mimi posti yako ndio pekee niliokujibu na nikaaga kuwa sitachangia tena!. Maadaam umerudi, nami najikuta nimelazimika kurudi!.Pasco,
Nimekujibu mara kadhaa kuhusu hili suala la utumwa lakini inaelekea
ni somo unalolipenda
Hizo picha ulizoweka si picha za Zanzibar lakini bado umezirejesha tena.
![]()
Hiyo picha hapo juu ulioweka mwisho kuaminisha watu kuwa hao watu
wawili waliofungwa minyororo ni watumwa wa Waarabu hii si kweli.
Hiyo ni picha ni ya Vita Vya Maji Maji na ilipigwa mwaka wa 1905 wakati
wananchi wa Tanganyika walipopambana na ukoloni wa Wajerumani.
Nadhani bila shaka unatambua kuwa Mahenge Songea kuna kaburi la
halaiki ambalo majemadari wa Vita Vya Maji Maji 60 wote Waislam
wamezikwa kwenye kaburi moja baada ya kunyongwa na Wajerumani.
Sasa ikiwa huu ndiyo usomi wako wa kuchanganya mambo hujjui lipi
la Utumwa na lipi na Maji Maji, unaleta picha za utumwa za Belgian
Congo unasema zinatoka Zanzibar inaniwia vigumu sana kufanya mjadala
na wewe.
Sababu kubwa ni kuwa huna unachokijua katika historia ya utumwa.
Mimi sina chuki na Wamishionari na nilililosema ni ukweli wa kihistoria
na upo ushahidi wa kudhihirisha hilo.
Nimekufahamisha kuwa mimi nimefanya utafiti Blantyre, Glasgow huko
wewe unakotoa hoja zako na nimekupa jibu kuwa hawa wamishionari
walikuwa wakiandika taarifa nyingi za chumvi kwa ajili ya kutaka tu
kongezewa fedha za misaada.
Bahati mbaya sijaweza kuziona picha nilizopiga Blantyre kukudhihirishia
kuwa nilikuwa hapo na najua ninachokisema.
Lakini nakuwekea hapa picha nikifanya kipindi BBC kuhusu somo hili.
![]()
Pasco haya ni maneno yako wakati unaleta huu uzi na hizo picha.Mkuu Maalim kwa heshima na taadhima, ulikuja kwenye uzi huu ukaeleza bayana hukuona cha maana cha kuchangia, na mimi posti yako ndio pekee niliokujibu na nikaaga kuwa sitachangia tena!. Maadaam umerudi, nami najikuta nimelazimika kurudi!.
Kwenye bandiko langu it is the contents that matter!, hizo picha ni kama cover tuu, sasa msomi kama wewe badala ya kupangua hoja kwa hoja, unapangua cover tuu ya hoja zangu!.
Nadhani mchango wako humu ungekuwa wa maana sana kama ungetumia busara zako kuwatuliza hawa wafuasi wako humu, tuejee kujadili hoja iliyoko mezani.
Nakupongeza kukalia kiti cha Bush House 2007, kiukweli ulipendezea. Sisi wengine tumezaliwa tuu hapa hapa umatumbini, na hatukubahatika kutoka hapa tulipo na kufika popote, hivyo hatuna cha kuonyesha tumewahi kufika kufika!. Endelea kutusimulia hadithi na huku ukitulea picha za sehemu mbalimbali ulipowahi kufika, ili kutudhihirishia umewahi kufika hapo ila ila alimradi picha hizo ziwe relevant na mada husika!.
Kwa kukusaidia wewe na wenzako humu, mada iliyoko Mezani ni "
Udhalimu wa Waarabu Unguja na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, Wanaume walihasiwa, wanawake walibakwa, na kuuawa kinyama na kikatili na Waarabu enzi za Biashara ya Utumwa!.
Kwenye hili la utumwa, naomba kukiri, sinalo nilijualo bali naandika kile tuu kilichoandikwa na hao mashuhuda walioshuhudia kama huyu A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba ..., Hatuzungumzii utumwa wa wazungu, wala utumwa wa wa Afrika kwa Waafrika, mtu yuko huru kuanzisha uzi kuuzungumzia utumwa wa wazungu, ila huu uzi ni madhila ya utumwa wa Waarabu!.
Nimeisoma baadhi ya michango ya wachangiaji humu, kusema ukweli ni vichaa kabisa!, kuwa kichaa sio mpaka mtu uokote makopo!. Naomba kumpongeza mode kwa kutoufunga uzi huu, ni muhimu sana kuwaacha watu wenye hasira, wafunguke kutoa hasira zao!.
Endeleeni kufunguka, wenye hasira kuhusu udhalimu wa Waarabu kwa mababu zetu, endelee kufunguka kwa kukashifu dini, kutukana na yote msemayo, as long as they'll make you happy and feel good!, nothing will change the fact of what really happened!.
Pasco
Pasco
Mkuu Riz, kwenye bandiko langu kuna popote nimesema hizo ni picha za Zanzibar?!.Pasco haya ni maneno yako wakati unaleta huu uzi na hizo picha.
"Hizi picha wajemeni sio picha ya kuchorwa, ni picha za kweli na halisi zilizopigwa na kamera za wadhungu!."
Baada ya watu kukubana umebadilika umakuja na maneno mapya ya hizo picha.
"Kwenye bandiko langu it is the contents that matter!, hizo picha ni kama cover tuu, sasa msomi kama wewe badala ya kupangua hoja kwa hoja,unapangua cover tuu ya hoja zangu!."
Teh teh teh teh! Kumbe hizi picha siyo za kweli kwa nini sasa unawambia watu hapo ni Zanzibar mfano hizi picha za mauaji Congo yana uhusiano gani na Zanzibar kama siyo kupotosha watu.
View attachment 340584
View attachment 340585
Mauaji ya Waafrica wayafanje wazungu huko Congo halafu wewe unataka kutuaminisha kuwa hawa ni Wazanzibar wamefanyiwa unyama na waarabu.
Hawa jamaa wazungu wana roho nzuri sana hata mtoto wako akifanyiwa hivi utafurahi sana mkuu.Siko upande wowote, lakini waislam baadhi yao ni wanyama kuliko hata wanyama wa porini. Nikimkuta binti yangu anatongozwa magaidi, nampeleka POLISI.
Vizuri kama umekiri hizo picha siyo za Zanzibar.Mkuu Riz, kwenye bandiko langu kuna popote nimesema hizo ni picha za Zanzibar?!.
Kama unahoja kuhusu waliyoyafanya Waarabu, toa hoja, hayo ya Congo au Marekani, yafungulie thread yake!.
Pasco
Muulize mama vizuri aisee unaweza kukuta mzee wako yupo Oman unapoteza bahati yako kijana unaweza kukuta jina lako ni ILAN El JABR.Mkuu Kahtaaan,hata mimi na nywele za singa ila sina dam ya mwarabu wala mhindi