Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubaguzi ni kitu kibaya sana,kaka nikijuzu kuwa katika mapinduzi ya 1964 hapa Zanzibar kuna baadhi ya wazanzibari wenye asili ya warabu walishirikiana na wazanzibari wenye asili ya kiafrika kumpindua Sultan,Usichukie rangi au kabila la mtu,chukia vitendo vya mtu...Yaani naichukia na kuikataa ccm kwa kila hali lkn kutawala mwarabu Zanzibar bora ccm atawale Zanzibar maisha yooooote yaliyobaki ktk mgongo huu dunia....nasema kweli iliyopo moyoni kwangu...nawachukia sana waarabu[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Maalim Mohamed Said, kwanza asante kwa picha hii nimeisoma. Huyu ni shuhuda wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, amesema wakati wa mapinduzi Zanzibar ilikuwa na watu 300,000 na waliouawawa ni watu 10,000. Taarifa hii inatosha kuianzishia thread. Jiandae tutakutana kwenye thread hiyo tuendelee kuyachambua Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa vile hii sio thread kuhusu Mapinduzi Matukufu, bali ni thread ya madhila yaliyowakuta babu zetu na bibi zetu Wamatumbi chini ya mikono ya madhalimu wachache wa Kiarabu.Omary,
Haya mbona yanarejeshwa tena na tena kwa maana tulishajadili
siku zilizopita.
Hebu tujikumbushe hali ilivyokuwa baada ya mapinduzi:
![]()
95% ya jamii hiyo INA ubaguzi wakutisha maana nimekaa nawo kila pembe ya nchi hii tabia zao zinafanana....tabora nilikozaliwa nimekuwa na nimesoma nao shule moja darasa moja ni hatari kwa unyanyasaji na ubaguzi wa rangi...[emoji35]Ubaguzi ni kitu kibaya sana,kaka nikijuzu kuwa katika mapinduzi ya 1964 hapa Zanzibar kuna baadhi ya wazanzibari wenye asili ya warabu walishirikiana na wazanzibari wenye asili ya kiafrika kumpindua Sultan,Usichukie rangi au kabila la mtu,chukia vitendo vya mtu...
Zote wamoja.....
Hawa watu wenye tabia ya ubaguzi wa rangi lazima wapigwe vita kwa aina yoyote ile,Tanzania ni nchi yenye mchanganyiko wa watu,tukitaka maendeleo katika nchi yetu lazima tuwakubali jamii zote bila kujali rangi ya ngozi zao au makabila yao,bila hivyo tutatengeneza tabaka katika jamii....95% ya jamii hiyo INA ubaguzi wakutisha maana nimekaa nawo kila pembe ya nchi hii tabia zao zinafanana....tabora nilikozaliwa nimekuwa na nimesoma nao shule moja darasa moja ni hatari kwa unyanyasaji na ubaguzi wa rangi...[emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanakua blind ikiguswa dini yao.Et wazanzibar hawakufanywa watumwa due nashindwa kuelewa MTU anayetoa hoja ya namna hii alisoma shule gan? Probably ameishia madrasa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
95% ya jamii hiyo INA ubaguzi wakutisha maana nimekaa nawo kila pembe ya nchi hii tabia zao zinafanana....tabora nilikozaliwa nimekuwa na nimesoma nao shule moja darasa moja ni hatari kwa unyanyasaji na ubaguzi wa rangi...[emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Maalim Mohamed Said, kwanza asante kwa picha hii nimeisoma. Huyu ni shuhuda wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, amesema wakati wa mapinduzi Zanzibar ilikuwa na watu 300,000 na waliouawawa ni watu 10,000. Taarifa hii inatosha kuianzishia thread. Jiandae tutakutana kwenye thread hiyo tuendelee kuyachambua Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa vile hii sio thread kuhusu Mapinduzi Matukufu, bali ni thread ya madhila yaliyowakuta babu zetu na bibi zetu Wamatumbi chini ya mikono ya madhalimu wachache wa Kiarabu.
Asante.
Paskali
Paskali hujui chochote kuhusu mapinduzi ya Zanzibar,hao unaowaita wamatumbwi hawakupata shida kama unavyoizungumzia,akina Aboud Jumbe Mwinyi aliekuwa raisi wa Zanzibar,Ali Hassani Mwinyi aliekuwa raisi wa Zanzibar halafu Tanzania wote wamesoma wakati wa Sultan lakini walipata elimu ya juu mapaka kufika chuo kikuu cha Makerere kule Uganda.Mkuu Maalim Mohamed Said, kwanza asante kwa picha hii nimeisoma. Huyu ni shuhuda wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, amesema wakati wa mapinduzi Zanzibar ilikuwa na watu 300,000 na waliouawawa ni watu 10,000. Taarifa hii inatosha kuianzishia thread. Jiandae tutakutana kwenye thread hiyo tuendelee kuyachambua Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa vile hii sio thread kuhusu Mapinduzi Matukufu, bali ni thread ya madhila yaliyowakuta babu zetu na bibi zetu Wamatumbi chini ya mikono ya madhalimu wachache wa Kiarabu.
Asante.
Paskali
Mbona hueleweki mkuu thread iliyopo ubaoni na unachokiongea bingu la ardhi[emoji15] [emoji15]Hivi hawa wanaotiwa magerezani na kuteswa hivi sasa bila hatia kwa sababu ya dini yao , kama si ubaguzi tuite kitu gani ???
Mkuu una mahaba makali sana na waarabu...usichanganye uislam na uarabu uislam..Paskali hujui chochote kuhusu mapinduzi ya Zanzibar,hao unaowaita wamatumbwi hawakupata shida kama unavyoizungumzia,akina Aboud Jumbe Mwinyi aliekuwa raisi wa Zanzibar,Ali Hassani Mwinyi aliekuwa raisi wa Zanzibar halafu Tanzania wote wamesoma wakati wa Sultan lakini walipata elimu ya juu mapaka kufika chuo kikuu cha Makerere kule Uganda.
Zanzibar chini ya Sultan ilikuwa inaongozwa na mfumo wa "capitalism", maana ake mwenye uwezo ndio alieweza kufika anakotaka,uwezo wako ndio mtaji wako hakuna cha kukuzuia,kulikuwa ahakuna ubaguzi wa Dini wala ukabila.Je unajua kuwa dini ya kikiristo ilianza Zanzibar ndio ikafika Tanganyika.
Ndio maana mtu mgeni kama Ali Hassan mwinyi aliekuja zanzibar kusoma Kuran ameweza kupata elimu kubwa sana bila ya kizuizi chochote kile,uwezo wa kusoma alikuwa nao alikuwa nao,nikizungumzia uwezo sio uwezo wa Pesa bali ni wa akili
Hizi propaganda za kuwa wazanzibar wenye asili ya kiafrika walikuwa wanabaguliwa na warabu au mtawala wa kisulatani ni uongo mtupu,Unajua kuwa wenyeji wa zanzibar ndio waliowaita waarabu kuja kwasaidia kuwaondo wareno,halafu hao hao wenyeji ndio waliomruhusu Sulltani Ahamishie makao yake makuu Zanzibar....
Paskali somo historia ya Zanzibar,usiwe unajisemea tu maneno kwa kitu usichokijua,Utawala wa CCM umejaa ubaguzi watanzania hasa wazanzibari wanabaguna kwa sababu wamejazwa propaganda zisizo na kichwa wala miguu,watanzania wanasahau kuwa hawa wanasiasa ambao wanataka watu wababaguena wanafanya hivyo kwa maslahi yao...
Paskali,Mkuu Maalim Mohamed Said, kwanza asante kwa picha hii nimeisoma. Huyu ni shuhuda wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, amesema wakati wa mapinduzi Zanzibar ilikuwa na watu 300,000 na waliouawawa ni watu 10,000. Taarifa hii inatosha kuianzishia thread. Jiandae tutakutana kwenye thread hiyo tuendelee kuyachambua Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa vile hii sio thread kuhusu Mapinduzi Matukufu, bali ni thread ya madhila yaliyowakuta babu zetu na bibi zetu Wamatumbi chini ya mikono ya madhalimu wachache wa Kiarabu.
Asante.
Paskali
Unazungumza nini,mbona sijakufahamu kuna sehemu yoyote kwenye haya niliyoandika umeona neno "Uislam",acha ubaguzi,hautokusaida chochote kama unataka Tanzania yetu pamoja na Zanzibar iendelee tuachane ni hizi propaganda,sote ni wa moja....Mkuu una mahaba makali sana na waarabu...usichanganye uislam na uarabu uislam..
Uislam haukumtuma mwarabu kumbaka mnyamwezi au mama wakidengereko akapatikana chotara la kipemba hapana Bali chambua madhila waloyapata babu zetu kutokana na unyama wa mwarabu nasi dini utaharibu thread yako yote[emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Thats what History taught us! Mwarabu mtu mbaya,mwarabu anaingilia watu kinyume na Maumbile,mwarabu anajitoa mhanga na mabaya yote! Kuna mtu mmoja alipata kuniambia,tazama picha zote hatopata picha ya kupiga ambayo mwarabu anamtesa Mwafrika,zilizopo ni za kuchora tu! Anae pigwa vita hapo sio Mwarabu laa hasha! Ni UISLAMU! Na wala hatushangai, laiti tungeyaona yaliyo vifuani mwao ni makubwa zaidi ya haya! Vipi watu walio uawa kwenye vita ya kwanza na ya pili ya Dunia! Vipi watu walio uawa na Bush na Obama Libya,Iraq,Afghanstan,Kosovo nakadhalika! History ni Uongo wa kuwatukuza wakristo zidi ya Uislamu!
Fanya kazi,acha uvivu utafanikiwa...Warabu wamekuja Afrika kutafuta kama baadhi ya Waafrika wamekwenda Ulaya au ughaibuni kutafuta...Mwarabu ana roho MBAYA SANA
Ben yuko wapi? Ina tofauti gani na waarabu?Halafu anatokea mjinga mmoja wa kutaka kuwarudisha waarabu kwenye visiwa vyetu!
Sipo maskani nipo nyumban najisomea baada ya kutoka kanisani haya MAARAB yanaroho mbaya sanaFanya kazi,acha uvivu utafanikiwa...Warabu wamekuja Afrika kutafuta kama baadhi ya Waafrika wamekwenda Ulaya au ughaibuni kutafuta...
Anaeongoza kwa roho mabya ni mwafrika,angalia hapo ulipo,jiangalie wewe mwenyewe una maendeleo yoyote au umekaa maskani kusema na kusengenya watu,angalia hapo unapoishi nani kafanikiwa kimaisha,kaa ujiulize kwanini kafanikiwa kimaisha,je kuna tafauti gani baina ya yule aliefanikiwa na wewe,jiulize kwanini warabu na wahindi wanafanikiwa kimaisha lakini sisi wenye asili ya kiafrika tupo tupo tu.......
Ukishajibu maswali hayo ndio utajua kwanini hujafanikiwa kimaisha na yule kafanikiwa kimaisha....tafakari