Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Mkuu Battawi, kwanza asante kwa vitabu.
Kuhusu hizi propaganda ushahidi upo, sii ile milingoti ipo, enzi zile kulikuwa hakuna metal scanner, sasa kuna mobile scanner zile za containers bandarini, tulete, tuscan, propaganda hizo zifutwe, kwa sababu zamani ma Pharao, walizikwa na watumwa hai kule kwenye ma pyramids, wafalme walizikwa na mke anayempenda sana. Machifu walizikwa na mtu hai, India, mume akifa, ile siku anachomwa, mke shujaa, kukimbilia na kujitupa kwenye moto akiwa hai na kuteketea na mumewe etc. Hivyo japo ni propaganda, ila pia inaweza kuwa kweli, lolote linawezekana, kwani mtumwa alikuwa sii mtu ni bidhaa!.

P

Mkuu Paskali kwa hili la milingoti kuwa na vichwa vya watu ndani yake ni uongo uliopitiliza, kwasababu hivi karibuni hiyo milingoti unayoizungumzia ilivunjika, cha ajabu hapakuonekana hivyo vichwa vya watu kama tulivyolishwa hizo sumu za chuki na propaganda dhidi ya Waarabu.

Na ukitaka uhakika zaidi tembelea leo pale Forodhani Unguja ujionee kwa macho yako kwenye hilo jengo,haina hata ulazima wa kutafuta scanner, kwasababu bado ukarabati wa jengo hilo unaendelea.
 
Huu uzi nimeuona tu hapo juu nikadhani ni mpya kumbe tangu 2016.Sijaweza kusoma michango yote lakini kurasa tatu tu za mwanzo naamini aliyeuanzisha hatimae alijuta kujidhihirisha ujinga wake na jinsi alivyotafuta kashfa za wazungu na wakristo dhidi ya binadamu.Hii ni kwa vile mada za aina hii ni kongwe sana hata hapa jamii forums na zimeshajibiwa sana kwa hoja nzito kuliko ule upupu wa muanzisha mada.

Baada kusoma hoja zake zote nimegundua yeye mwenyewe hata katika kuwasilisha baada ya kuandika ndoto zake na mapokezi kutoka kanisani kwake ameshindwa hata kujiamini kuwasilisha alichokusudia. Mara si waarabu wote mara hivi mara vile....wakati mada yenyewe inawataja waarabu.
 
Huu uzi nimeuona tu hapo juu nikadhani ni mpya kumbe tangu 2016.Sijaweza kusoma michango yote lakini kurasa tatu tu za mwanzo naamini aliyeuanzisha hatimae alijuta kujidhihirisha ujinga wake na jinsi alivyotafuta kashfa za wazungu na wakristo dhidi ya binadamu.Hii ni kwa vile mada za aina hii ni kongwe sana hata hapa jamii forums na zimeshajibiwa sana kwa hoja nzito kuliko ule upupu wa muanzisha mada.
Baada kusoma hoja zake zote nimegundua yeye mwenyewe hata katika kuwasilisha baada ya kuandika ndoto zake na mapokezi kutoka kanisani kwake ameshindwa hata kujiamini kuwasilisha alichokusudia. Mara si waarabu wote mara hivi mara vile....wakati mada yenyewe inawataja waarabu.


Hawa jamaa wanachuki sana na waarabu na kuwapenda wazungu hilo halihitaji mjadala, mbona liko wazi mwarabu anachukiwa bila sababu yoyote, na ukiwauliza nini sababu ya kuwachukia hawana jibu lilonyooka na lakweli,, sana sana watakujibu kunya au walitesa babu zetu na kuwafunga minyororo na kutesa housegirls. Yani hawa viumbe hawana hoja za msingi babaa,, wakuwaonea huruma masikini ya Mungu.

Kiboko yao Mazinge huwa anawanyoosha kweli kweli na wao wanamjua 😁

Chuki dhidi ya waarabu haitaisha mpaka Qiyamah kitakaposimama.
 
Mateso waliyopewa Babu zetu na Waarabu sasa wanayapata Watanzania kutoka kwa CCM wakishirikiana na vombo vya dola!
 
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tutayalinda kwa gharama yoyote.

Nawatakia maadhimisho mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Japo sasa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanaelekea miaka 60, Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Kazi Iendelee!.

Paskali
 
Wazanzibari wangekuwa na akili, wangeshikamana na sisi ndugu zao Watanganyika, badala ya hao Waarabu waliowatesa na kuwanyanyapaa miaka nenda.
 
Idadi kubwa kizazi chotara cha machotara wa Zanzibar, Pemba na Arabuni, kulitokana na wanaume dhalimu wa Kiarabu, kuwaingilia kwa nguvu watumwa wa kike ambao walinunuliwa mahsusi kama wajakazi, na pale waliposhika ujauzito, wamiliki walikuwa huru, kuwafanya chochote watumwa wao, ikiwepo kuwatesa, kuwapiga hadi kuwaua kwa ukatili wa hali ya juu! Mtumwa mwanamke baada ya kuingiliwa ki nguvu, yaani kubakwa, ikitokea akashika ujauzito, mwanamke yule aliuwawa kwa kutobolewa tumbo, kutoa, kiumbe ambacho ndicho kilizikwa kama binadamu si ridhki, na mwili wa mtumwa ulifukiwa tuu kama mzoga!.
Sasa hao machotara walipatikana wapi kama hao wanawake waliuawa kwa kutobolewa matumbo? Huu mwengine ni uongo uliokithiri jamani hebu punguzeni.

Hatukatai kwamba baadhi ya wamiliki waliwatesa watumwa wao lakini hii imeongezwa chumvi sana. Kwanza tukwambie kuwa muarabu akizaa na mjakazi basi yule mwanamke alikuwa tayari amejipatia uhuru wake. Pili ni kwamba yule mtoto huwa ni moja kwa moja wa yule bwana (na wala siyo mtumwa kama ilivyokuwa kwa Wazungu wamarekani). Kwa hivyo kumuua mwanamke ni sawa na kuua mtoto wake.

Tatu kama angeua hao watoto hiyo manpower angeitoa wapi?
 
je, wajua kuwa hata baada ya kupigwa marufuku kwa biashara haramu ya watumwa duniani kote, biashara hii iliendelea kufanyika Zanzibar kwa siri na kificho?!. Jee wajua kuna njia za chini kwa chini zimechimbwa Bagamoyo na Zanzibar ambapo watumwa walifichwa kwenye mapango na kupitishwa chini kwa chini hadi baharini?.
Biashara hii ni kweli iliendelea kwa siri na kficho kwa ushirikiano wa waarabu na wazungu (hasa French) ambao walikuwa wakipeleka watumwa Mauritius na Madagascar. Meli zao zilikuwa zinapita Zanzibar kubeba watumwa kupeleka huko kwa ajili ya shughuli za kilimo.

Na mbona hao wamishionari walificha yale aliyokuwa anayafanya Mfalme Leopold wa Belgium kwa kisingizio cha kueneza dini na ustaarabu?

Kitu kinachopingwa hapa ni kama vile stori hizi kwa upande wa Tz zinakuwa one sided, upande wa wazungu hakuna baya lililofanyika lakini kiuhalisia ni mambo mengi wamefanya pamoja na hao waarabu halafu kwa vile wao walikuwa ndiyo waandishi wakayaficha yao.
 
Mada inasema kuhusu ukatili wa wavamizi wa Kiarabu dhidi ya watu wa Zanzibar na kwingineko hapa nchini.
Mada haina uhusiano na dini hata kidogo.

Nadhani kutatokea mwinginge ataandika mema ya Waarabu katika hii nchi.

Uislamu hautakiwi kuguswa kwenye hii mada.
 
Back
Top Bottom