Udhihirisho wa roho mtakatifu akaae ndani yetu

Hiyo roho uliijaribu au ulipokea tuu bila kujua manake mida ya saa 7 usiku kuna viumbe wengi wanazunguka zunguka kwani pazia la walio hai na wafu linakuwa limefunuliwa na dunia inakuwa kwenye utulivu wa hali ya juu
 
Kuna siku nilikuwa namuomba Roho Mtakatifu aje anishukuie...

Ghafla nikawa naimba wimbo ninmzuri sikumbuki...

Nikaambiwa karibu katika ufalme wa Mungu...

Nikaambiwa nilichotakiwa kujua

MUNGU atukuzwe siku zote
Tufungue kanisa Sasa uwe mama mchungaji niwe baba mchungaji... Wasemaje..?
 
Hiyo roho uliijaribu au ulipokea tuu bila kujua manake mida ya saa 7 usiku kuna viumbe wengi wanazunguka zunguka kwani pazia la walio hai na wafu linakuwa limefunuliwa na dunia inakuwa kwenye utulivu wa hali ya juu
Imani Imani...naamini kuwa roho anaishi ndani yangu..Na hata nkiwa naomba roho ndo Hua ananiongoza topic Ya kuombea Io siku Na mistari Ya biblia Ya kusimama kweny kuomba...niliamin Ni roho mtakatifu kabisa Sababu nilimwomba Kwa Imani bila mashaka ajidhihirishe ndani yangu Na hata nilipotaka kulala nilimuomba anifufunulie mambo flani Na kweli alinifunulia nlipolala
 
Sasa Jana nimeomba Toba na rehema sana, nikaona mvua na mafuriko watu wanapelekwa...

Na wengine wanaokoa ndugu zao wakiwa wanapelekwa na maji...

Na nikaona mpaka gari linaanguka na mtu sababu ya mafuriko...

YESU yupo na Ufalme wake tumtafute kwa bidiii
 
Mi mume wangu hanielewi...

Ila Nina rafiki nasali nae...
Yeye akipata changamoto najua...

Namwambia na ananiambia ni kweli...

Nampenda sana YESU...

Naomba anisaidie nisimpoteze...
Kuwa na juhudi na nidhamu. Hutampoteza.

Nidhamu ni kujiset watu wa kuinteract nao, mada za kuchangia, mazingira ya kwenda.

Kikubwa ni kuchunga sehemu Tano za fahamu zisiangalie wala kusikiliza jambo lolote lililo kinyume na Maandiko matakatifu.
Roho Mtakatifu atakusaidia pia.
 
Imani Imani...naamini kuwa roho anaishi ndani yangu..Na hata nkiwa naomba roho ndo Hua ananiongoza topic Ya kuombea Io siku Na mistari Ya biblia Ya kusimama kweny kuomba...niliamin Ni roho mtakatifu kabisa Sababu nilimwomba Kwa Imani bila mashaka ajidhihirishe ndani yangu Na hata nilipotaka kulala nilimuomba anifufunulie mambo flani Na kweli alinifunulia nlipolala

1 Yoh 4:1-2

Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.
 
Sasa Jana nimeomba Toba na rehema sana nikaona mvua na mafuriko watu wanapelekwa...

Na nikaona mpaka gari linaanguka na mtu sababu ya mafuriko...

YESU yupo na Ufalme wake tumtafute kwa bidiii
Unamaanisha mwezi wa nne mwakani mkoa wa Dar Es Salaam inawezekana ikajaa maji?
Kuna watu wameota hivi pia.
 
Next preacher dah ila shetani c wazuri
Mungu anamsema nikaribieni Mimi Nami nitawakaribia ninyi.....mtakeni bwana Na nguvu zake utafuteni USO wake kila siku..nawapenda wale wanipendao Na wale watakaonitafuta Kwa bidii wataniona....mtakaponitafuta Kwa Moyo wenu wote Nami nitaonekana kwenu...maneno Ya Mungu hayo
 
Kuwa na juhudi na nidhamu. Hutampoteza.

Nidhamu ni kujiset watu wa kuinteract nao, mada za kuchangia, mazingira ya kwenda.

Kikubwa ni kuchunga sehemu Tano za fahamu zisiangalie wala kusikiliza jambo lolote lililo kinyume na Maandiko matakatifu.
Roho Mtakatifu atakusaidia pia.
Amina, ila tunavita sana sisi tunaomjua YESU...

Yaani vita zinainuka...

Ila kwa neema ya Yesu tunashinda...
 
Back
Top Bottom