Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
- Thread starter
- #21
Sio majirani tu mpaka ndugu marafiki jamaa Na watu wengine usiowajua...Ukimuomba Roho anakufunuliaKupitia visions unawaona ni majirani zako ama uliwaonaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio majirani tu mpaka ndugu marafiki jamaa Na watu wengine usiowajua...Ukimuomba Roho anakufunuliaKupitia visions unawaona ni majirani zako ama uliwaonaje?
Neno linasema ukimtafuta Mungu Kwa bidii utamuonaNi kweli ni neema ila haiji kwa wavivu.
Nguvu za Mungu si mchezo nilikua kama nimegandishwa kbs kama nimepigwa shoti nahisi sumakuNakuunga mkono,ni vigumu sana mtu kuweza kuelewa nini hasa kinatokea Roho mtakatifu anapotenda kazi,unaweza kuonekana kama umechanganyikiwa wakati kumbe unaongea kitu halisi...
Mi nipo level ya hivi na zaidi...Sio majirani tu mpaka ndugu marafiki jamaa Na watu wengine usiowajua...Ukimuomba Roho anakufunulia
Kuna siku nilikuwa namuomba Roho Mtakatifu aje anishukuie...Nguvu za Mungu si mchezo nilikua kama nimegandishwa kbs kama nimepigwa shoti nahisi sumaku
Sanyingine MTU anaweza kukwambia Una roho za kiganga mapepo Ya utambuzi wakati Ni spirit of discernmentMi nipo level ya hivi na zaidi...
Kila kinachotaka kutokea kwa aliyekaribu na Mimi au familia yangu najua...
Tufungue kanisa Sasa uwe mama mchungaji niwe baba mchungaji... Wasemaje..?Kuna siku nilikuwa namuomba Roho Mtakatifu aje anishukuie...
Ghafla nikawa naimba wimbo ninmzuri sikumbuki...
Nikaambiwa karibu katika ufalme wa Mungu...
Nikaambiwa nilichotakiwa kujua
MUNGU atukuzwe siku zote
Mi mume wangu hanielewi...Sanyingine MTU anaweza kukwambia Una roho za kiganga mapepo Ya utambuzi wakati Ni spirit of discernment
Imani Imani...naamini kuwa roho anaishi ndani yangu..Na hata nkiwa naomba roho ndo Hua ananiongoza topic Ya kuombea Io siku Na mistari Ya biblia Ya kusimama kweny kuomba...niliamin Ni roho mtakatifu kabisa Sababu nilimwomba Kwa Imani bila mashaka ajidhihirishe ndani yangu Na hata nilipotaka kulala nilimuomba anifufunulie mambo flani Na kweli alinifunulia nlipolalaHiyo roho uliijaribu au ulipokea tuu bila kujua manake mida ya saa 7 usiku kuna viumbe wengi wanazunguka zunguka kwani pazia la walio hai na wafu linakuwa limefunuliwa na dunia inakuwa kwenye utulivu wa hali ya juu
Huaga iko hivo..huoni hawa wanaoleta shuhuda wanavopigwa vita Na kuambiwa wamechanganyikiwaMi mume wangu hanielewi...
Ila Nina rafiki nasali nae...
Yeye akipata changamoto najua...
Namwambia na ananiambia ni kweli...
Nampenda sana YESU...
Naomba anisaidie nisimpoteze...
Sasa Jana nimeomba Toba na rehema sana, nikaona mvua na mafuriko watu wanapelekwa...Imani Imani...naamini kuwa roho anaishi ndani yangu..Na hata nkiwa naomba roho ndo Hua ananiongoza topic Ya kuombea Io siku Na mistari Ya biblia Ya kusimama kweny kuomba...niliamin Ni roho mtakatifu kabisa Sababu nilimwomba Kwa Imani bila mashaka ajidhihirishe ndani yangu Na hata nilipotaka kulala nilimuomba anifufunulie mambo flani Na kweli alinifunulia nlipolala
Kuwa na juhudi na nidhamu. Hutampoteza.Mi mume wangu hanielewi...
Ila Nina rafiki nasali nae...
Yeye akipata changamoto najua...
Namwambia na ananiambia ni kweli...
Nampenda sana YESU...
Naomba anisaidie nisimpoteze...
Imani Imani...naamini kuwa roho anaishi ndani yangu..Na hata nkiwa naomba roho ndo Hua ananiongoza topic Ya kuombea Io siku Na mistari Ya biblia Ya kusimama kweny kuomba...niliamin Ni roho mtakatifu kabisa Sababu nilimwomba Kwa Imani bila mashaka ajidhihirishe ndani yangu Na hata nilipotaka kulala nilimuomba anifufunulie mambo flani Na kweli alinifunulia nlipolala
Unamaanisha mwezi wa nne mwakani mkoa wa Dar Es Salaam inawezekana ikajaa maji?Sasa Jana nimeomba Toba na rehema sana nikaona mvua na mafuriko watu wanapelekwa...
Na nikaona mpaka gari linaanguka na mtu sababu ya mafuriko...
YESU yupo na Ufalme wake tumtafute kwa bidiii
Mungu anamsema nikaribieni Mimi Nami nitawakaribia ninyi.....mtakeni bwana Na nguvu zake utafuteni USO wake kila siku..nawapenda wale wanipendao Na wale watakaonitafuta Kwa bidii wataniona....mtakaponitafuta Kwa Moyo wenu wote Nami nitaonekana kwenu...maneno Ya Mungu hayoNext preacher dah ila shetani c wazuri
Amina, ila tunavita sana sisi tunaomjua YESU...Kuwa na juhudi na nidhamu. Hutampoteza.
Nidhamu ni kujiset watu wa kuinteract nao, mada za kuchangia, mazingira ya kwenda.
Kikubwa ni kuchunga sehemu Tano za fahamu zisiangalie wala kusikiliza jambo lolote lililo kinyume na Maandiko matakatifu.
Roho Mtakatifu atakusaidia pia.
Nakazia.Mnachezewa akili zenu na majinni wa kishetani (mapepo).