Udikteta Tanzania: Polisi ya Simon Sirro yazuia wanawake kufanya mazoezi ya Jogging

Ujumbe una shida gani ?
 
Kwa nini umchagulie mtu maandishi gani yawe kwenye tisheti yake, hii hata North Korea haipo. Hii nchi imekuwa takataka kwa hawa polisi ambao hawana tofauti na Interahamwe.
 
View attachment 1943298
View attachment 1943311
My Take:

Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira.

Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit.

Mwana kulitafuta mwana kulipata
Time will tell. Ni bahati mbaya wanawake wenye courage kama hao kuburuzwa kama kondoo.

Yatapita kama aliyeitisha mikutano na watendaji wote wa kata kabla ya 2020 election. Yupo anagombea ukuu wa malaika kumpisha Gabriel au Rusfer.
 
Time will tell. Ni bahati mbaya wanawake wenye courage kama hao kuburuzwa kama kondoo.

Yatapita kama aliyeitisha mikutano na watendaji wote wa kata kabla ya 2020 election. Yupo anagombea ukuu wa malaika kumpisha Gabriel au Rusfer.
Njia ya waovu ni ile ile, fupi.
 
Unakumbukaga ile picha alionyeshaga gari lililomteka Mo? Hivi huwa hapitii aliyoyafanya jana, juzi? Aibu sana kwa NCHI
 
Sawa mkuu, pamoja na kuwa Nyerere hakuwa mtu wa mjini lakini hakuwa na roho ya kimasikini na wala huwezi sema alikuwa bush boy. Maendeleo hayakufati kitandani mkuu.
 
Nakushauri ujipe muda kidogo usome tofauti ya ANC ya South Africa na vyama vya upinzani vya Tanzania hususan Chadema. Utagundua tofauti ni kama umbali kati ya dunia na Jua.
Tofauti gani ? jiweke wazi.
 
kwa mfano hizo t-shirt zingeandikwa "hapa kazi tu" ingekuwaje?
 
Mbona ukijogi huku umevaa suti kali ya vipande vitatu polisi hawakukamati!
 
Kizazi chako kina walakini....
 
Najaribu kutafakari, kwa mfano ingekuwa UVCCM JOGGING CLUB - TUME HURU - polisi wangewazuia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…