akilinene
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 516
- 436
Hivi ndiyo akili za Bawacha ndiyo zimefikia hapa, Soma fulana hizo ndiyo ujue polisi wako sahihi kuwazuia. Polisi yetu ni ya wasomi hizo mbinu za kitoto wanazing'amua haraka.View attachment 1943298
View attachment 1943311
My Take:
Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira.
Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit.
Mwana kulitafuta