Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Kama lengo ni kutoa ujumbe wa kudai tume huru, basi polisi wangejulishwa.Usipotaka kuona jezi yenye maneno "TUME HURU" means unaficha weakness za tume na hivyo una conclude kwamba tume iliyopo sio huru. Sasa kwanini wananchi wasitafute namna ya kupata TUME ILIYO HURU.
Lakini kama lengo ni kutafuta wanachama zaidi wa jogging Club basi hakuna maana ya kuweka neno Tume Huru kwenye fulana zenu, kama nilivyoainisha hapo juu.
Kwa kifupi ni kwamba wapinzani sasa hivi mpo hoi na mnachofanya ni kujitutumua tu.
Tafuteni mikakati na mipango sahihi.