Itoshe tu kusema, Mungu ni mwema daima na ametutendea mambo makuu.Habari wanajamvi!
Kifo cha Mwenda zake kimeleta kizungumkuti na kwa hakika kuna mahali tunachanganya mambo. Mimi nasema ukweli lazima usemwe hata kama utakuwa mchungu kwa baadhi yetu. Nitajaribu kuweka mambo sawa...
Sasa Mimi kila siku nikikuamsha asubuhi kwa nguvu uende ukalime viazi ili uje ule na familia yako...lazima utanichukia.....lengo ni kukusaidia ujitegemee uache kuomba omba.Kwenye hili la kulazimishwa kupendwa ni kweli na hakika, Jiwe alikua anajua kwa dhati kabisa hapendwi. Roho mbaya+chuki kwa wenye nacho ilikithiri, apumzike alipojichagulia.
Uzuri ulikuwa kitu kama 25% or even less kilichobakia kilkuwa shari, ubaya, chuki, uchu wa madaraka, uchu wa ukabila, kupenda kumwaga damu, kufurahia mauti ya wapinzani na wanaompinga ndani ya chama chake, kufurahia kufilisi wananchi, kuvuruga uchumi, kutukana akina mama na akina baba, kebehi, kujibu watu kunya, nk.nk.Ukweli lazima usemwe Magufuli alikuwa kiongozi mzuri....mitanzania ukiichekea hakuna kitu utafanya....
Sawa tajiriHabari wanajamvi!
Kifo cha Mwenda zake kimeleta kizungumkuti na kwa hakika kuna mahali tunachanganya mambo. Mimi nasema ukweli lazima usemwe hata kama utakuwa mchungu kwa baadhi yetu. Nitajaribu kuweka mambo sawa...
Ipo siku mtasema hatoshi tuItoshe tu kusema, Mungu ni mwema daima na ametutendea mambo makuu...
Sisi ni nani hata tusimshukuru kwa maamuzi yake?
Mama Samia anatosha, Kazi iendelee
Atakayemzingua, tutamzingua
Kwanini?
Unaosema wanodhurumu wakulima.... KWANI WALE WA KOROSHO ILIKUWAJE? UNADHANI KWA NINI JESHI LILITUMIKA KWENYE KOROSHO?na hawa wanaokwiba rasilimali za nchi waziwazi, wanaouza unga kuua nguvukazi ya taifa, wakwepa kodi, wanaodhulumu wakulima kwa kwa kupanga bei za kipigaji za masoko nk. hawa vipi?
binafsi sikuwahi kumkubali mze kwenye suala la kuminya demokrasia. lakini jinsi alivyodeal na magenge ya wapigaji niliyotaja hapo juu nadhani ni heri zaidi maana hawa ni madikteta wa uchumi wa nchi yetu yote kuliko magufuli ambae alikuwa anaonekana dikteta kwa kudeal na mtu mmoja mmoja.
Roho mbaya yako haitabadilisha ukweli. Rais gani alifanya mambo mengi hivi kwa muda mfupi wa miaka mitano? Wewe na wenzio mlikuwa wapigaji na wavivu, mlinenepa kwa njia haramu. Cha moto mmeonja. Msisahau kuwa maskini hafulii. Sisi maskini shida zetu alizifanyia kazi ikiwa ni pamoja na kugawana mali za matajiri.Habari wanajamvi!
Kifo cha Mwenda zake kimeleta kizungumkuti na kwa hakika kuna mahali tunachanganya mambo. Mimi nasema ukweli lazima usemwe hata kama utakuwa mchungu kwa baadhi yetu. Nitajaribu kuweka mambo sawa....