Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
-
- #61
Kwani haujawahi kusikia tetesi kuwa mchonga nae ni dikteta .... kilichokuwa kina mfanya mchonga asionekane ni dikteta ... ni kwa sababu wakati wa utawala wake " alikuwa anaongoza watanzania wengi ambao walikuwa bado wapo kwenye kundi la ujinga ..so kwakuwa ujinga uliwapofusha akili walishindwa kuzitambua haki zao nyingi za msingi hata pale ambapo nyerere alipokuwa anacheza blunder .....
Ndio maana kwakuliona hilo jeshi la wananchi liliwahi kujaribu kumtoa madarakani kwa sababu walikuwa wanauona udikteta wake .. kutokana na elimu waliyonayo " ambayo wananchi wengi waliikosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kiboko yako ni Makonda. Na usifikiri alivyokaa kimya ndio karuhusu, ukikamatwa jela tu.Jadili hoja. Achana na kilichomo tumboni mwangu!
Mkuu nahisi haupo sawa hivi enzi za Nyerere kulikuwa na media na watu walikuwa na hizo TV majumbani kwao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa huru usingejiita Nyani
Asilimia 90 ya ukosoaji wa kwenye mitandao hufanywa kwa ID feki au na watu wanaojiona wapo mbali na ule mkono wa wasiojulikana na sheria tulizoletewa siku hizi.Wiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta.
Hapa Tanzania kuwekuwepo na kila aina ya lawama kwa utawala wa Rais Magufuli.
Rais Magufuli keshaitwa kila aina ya majina. Jina ambalo limekuwa likijirudia rudia ni ‘dikteta’.
Nikiri kuwa hata mimi mwanzoni mwanzoni mwa utawala wake kuna mambo sikuyapenda na niliutumia huo utambulisho wa ‘dikteta’ kuelezea kutopendezwa kwangu na baadhi ya mambo .
Lakini kwa kadri siku zinavyokwenda, yajiriyo hapa nchini na nje ya nchi, yananifanya nianze kujiuliza kama ni jambo sahihi kumwita Rais Magufuli dikteta.
Kuna watu humu mitandaoni wanapenda kulalamika kuwa eti Tanzania sasa hivi hakuna uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa kujieleza.
Mara nyingi watu hawa hutoa malalamiko yao kupitia mitandao ya kijamii.
Sasa kilichotokea huko Zimbabwe wiki iliyopita kimenfanya nijiulize upya kuhusu huu udikteta wa Rais Magufuli.
Hivi ni lini hapa Tanzania tumewahi kufungiwa kabisa huduma ya intaneti kutokana na maandamano au sababu ingine yoyote ile?
Kilicho ironic ni kwamba hao wakosoaji wa Magufuli kuhusu uminywaji wa haki za kidemokrasia za kutoa maoni na kujieleza, hutumia intaneti kutoa maoni yao wakiwa hapa hapa nchini.
Huyu Magufuli ni dikteta gani anayeruhusu watu wamkosoe, kumpinga, na hata kumtukana huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hachukui hatua kali za kuifungilia mbali intaneti kama alivyofanya Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye kaingia madarakani majuzi tu hapa?
Watanzania wakati mwingine huwa tunabweteka sana na uhuru tulionao!
EMPTY SET...BEN,AZORY WAKO WAPI KAMA KUNA UHURU? LISSU KAFANYAJWE?Wiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta.
Hapa Tanzania kuwekuwepo na kila aina ya lawama kwa utawala wa Rais Magufuli.
Rais Magufuli keshaitwa kila aina ya majina. Jina ambalo limekuwa likijirudia rudia ni ‘dikteta’.
Nikiri kuwa hata mimi mwanzoni mwanzoni mwa utawala wake kuna mambo sikuyapenda na niliutumia huo utambulisho wa ‘dikteta’ kuelezea kutopendezwa kwangu na baadhi ya mambo .
Lakini kwa kadri siku zinavyokwenda, yajiriyo hapa nchini na nje ya nchi, yananifanya nianze kujiuliza kama ni jambo sahihi kumwita Rais Magufuli dikteta.
Kuna watu humu mitandaoni wanapenda kulalamika kuwa eti Tanzania sasa hivi hakuna uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa kujieleza.
Mara nyingi watu hawa hutoa malalamiko yao kupitia mitandao ya kijamii.
Sasa kilichotokea huko Zimbabwe wiki iliyopita kimenfanya nijiulize upya kuhusu huu udikteta wa Rais Magufuli.
Hivi ni lini hapa Tanzania tumewahi kufungiwa kabisa huduma ya intaneti kutokana na maandamano au sababu ingine yoyote ile?
Kilicho ironic ni kwamba hao wakosoaji wa Magufuli kuhusu uminywaji wa haki za kidemokrasia za kutoa maoni na kujieleza, hutumia intaneti kutoa maoni yao wakiwa hapa hapa nchini.
Huyu Magufuli ni dikteta gani anayeruhusu watu wamkosoe, kumpinga, na hata kumtukana huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hachukui hatua kali za kuifungilia mbali intaneti kama alivyofanya Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye kaingia madarakani majuzi tu hapa?
Watanzania wakati mwingine huwa tunabweteka sana na uhuru tulionao!
Kama rais yuko tayari kuua kwenye maandamano ya amani ambayo kikatiba ni haki ya wananchi huoni kama ni afadhali ya udikteta wa huyo rais wa Zimbabwe kuliko udikteta wa magufuli?Wiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta.
Hapa Tanzania kuwekuwepo na kila aina ya lawama kwa utawala wa Rais Magufuli.
Rais Magufuli keshaitwa kila aina ya majina. Jina ambalo limekuwa likijirudia rudia ni ‘dikteta’.
Nikiri kuwa hata mimi mwanzoni mwanzoni mwa utawala wake kuna mambo sikuyapenda na niliutumia huo utambulisho wa ‘dikteta’ kuelezea kutopendezwa kwangu na baadhi ya mambo .
Lakini kwa kadri siku zinavyokwenda, yajiriyo hapa nchini na nje ya nchi, yananifanya nianze kujiuliza kama ni jambo sahihi kumwita Rais Magufuli dikteta.
Kuna watu humu mitandaoni wanapenda kulalamika kuwa eti Tanzania sasa hivi hakuna uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa kujieleza.
Mara nyingi watu hawa hutoa malalamiko yao kupitia mitandao ya kijamii.
Sasa kilichotokea huko Zimbabwe wiki iliyopita kimenfanya nijiulize upya kuhusu huu udikteta wa Rais Magufuli.
Hivi ni lini hapa Tanzania tumewahi kufungiwa kabisa huduma ya intaneti kutokana na maandamano au sababu ingine yoyote ile?
Kilicho ironic ni kwamba hao wakosoaji wa Magufuli kuhusu uminywaji wa haki za kidemokrasia za kutoa maoni na kujieleza, hutumia intaneti kutoa maoni yao wakiwa hapa hapa nchini.
Huyu Magufuli ni dikteta gani anayeruhusu watu wamkosoe, kumpinga, na hata kumtukana huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hachukui hatua kali za kuifungilia mbali intaneti kama alivyofanya Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye kaingia madarakani majuzi tu hapa?
Watanzania wakati mwingine huwa tunabweteka sana na uhuru tulionao!
Ndugu usitetee ujingaWiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta.
Hapa Tanzania kuwekuwepo na kila aina ya lawama kwa utawala wa Rais Magufuli.
Rais Magufuli keshaitwa kila aina ya majina. Jina ambalo limekuwa likijirudia rudia ni ‘dikteta’.
Nikiri kuwa hata mimi mwanzoni mwanzoni mwa utawala wake kuna mambo sikuyapenda na niliutumia huo utambulisho wa ‘dikteta’ kuelezea kutopendezwa kwangu na baadhi ya mambo .
Lakini kwa kadri siku zinavyokwenda, yajiriyo hapa nchini na nje ya nchi, yananifanya nianze kujiuliza kama ni jambo sahihi kumwita Rais Magufuli dikteta.
Kuna watu humu mitandaoni wanapenda kulalamika kuwa eti Tanzania sasa hivi hakuna uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa kujieleza.
Mara nyingi watu hawa hutoa malalamiko yao kupitia mitandao ya kijamii.
Sasa kilichotokea huko Zimbabwe wiki iliyopita kimenfanya nijiulize upya kuhusu huu udikteta wa Rais Magufuli.
Hivi ni lini hapa Tanzania tumewahi kufungiwa kabisa huduma ya intaneti kutokana na maandamano au sababu ingine yoyote ile?
Kilicho ironic ni kwamba hao wakosoaji wa Magufuli kuhusu uminywaji wa haki za kidemokrasia za kutoa maoni na kujieleza, hutumia intaneti kutoa maoni yao wakiwa hapa hapa nchini.
Huyu Magufuli ni dikteta gani anayeruhusu watu wamkosoe, kumpinga, na hata kumtukana huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hachukui hatua kali za kuifungilia mbali intaneti kama alivyofanya Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye kaingia madarakani majuzi tu hapa?
Watanzania wakati mwingine huwa tunabweteka sana na uhuru tulionao!
Asilimia 90 ya ukosoaji wa kwenye mitandao hufanywa kwa ID feki au na watu wanaojiona wapo mbali na ule mkono wa wasiojulikana na sheria tulizoletewa siku hizi.
Wanaodhubutu kukosoa kwa uwazi wapo wapi? Huku kwetu, bado ujasiri wa raia ni mdogo sana. Afadhali Zimbabwe hakuna wanaopotezwa kimya kimya.
kuna stagesIntaneti ishawahi kuzimwa kabisa Tanzania?
Idd Amin hakupendwa na watu kwa vile alikuwa MUUAJI. Watu walikuwa wanaokotwa mto Kagera, hivyo hawakumpenda.Hakuna raisi ambaye amewahi kupendwa na raia wote...na hawezi kutokea kamwe...
kuna stages
acha kuongea mapema
alishaeleza kusudi lake la kuzima intaneti...tusubiri
udikteta sio kutokuruhusu intaneti peke yake,unaweza kuruhusu halafu ukatengenezea sheria kali za kuregulate kama zilizopo sasa
kwa sheria za sasa ni kama technically kazima intaneti sababu unaogopa kutoa mawazo huru kutokana na vifungo vinavyoambatana na hizo sheria
think!!!
Hata sisi ndiko tunakoelekea. Kongo walizima hata SMS za kwenye simu. Sisi bado kizazi cha watukutu ndio kwanza kinazaliwa. Wengi wetu wa sasa (vijana wa sasa) tumetoka kwenye matumbo yaliyokuwa yameshibishwa ujamaa. Watoto wengi wanaozaliwa sasa wakitoka wanaonyeshwa vidole viwili. Sisi huku tunaenda ki-mafia mafia. Mafia haweki wazi anachofanya.Ndo maana wengine wanatungia mazima intaneti.
Tanzania ishatokea hiyo?
Hebu acha utaahira hapa hoja iko wapi hapa?kwani udikteta mpaka afanane na huyo hayawani wa Zimbabwe?Jadili hoja. Achana na kilichomo tumboni mwangu!
Ili iweje?kwako wewe udikteta mpaka intanet izimwe?Nilikuwa nakuheshimu sana sasa naona kama unaitikisa heshima yangu kwako ,hebu achana na huu ubwege wa mawazo!Intaneti ishawahi kuzimwa kabisa Tanzania?