Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,992
- 5,665
Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema ndiyo watakao ingia
Kumekuwa na idadi kubwa ya wajinga wanaopotosha dunia kuwa dini fulani ndiyo inayostahili mbele za Mungu na hata kusababisha dunia kuingia kwenye machafuko ya udini ikiwemo ubaguzi
Nataka kuwaasa watu kuachana na tabia hiyo ya kijinga kwani Mungu hatazami dini bali anatazama watu wema tu haijalishi ni kutoka dini au Taifa gani
Mashindano na mabishano ya udini ni ya kijinga na yanafaa kupuuzwa kwa nguvu zote