Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

Status
Not open for further replies.
Dini ya kiislamu ni janga la dunia.

Ugaidi wao(Alqaida,bokoharam,alshaabab na makundi mengine meng)

Wao siku zote hawapend Aman wanataka shari tu
Thank u God nlzaliwa mkristo

kama wakristo watu wa amani kwanini wametengeneza silaha za maangamizi.jetfighter,nuclear missile,atomic bomb,bunduki,pinde,submarine .silaha zote za kuuwa wanadamu .na zinatumika.kama ni watu wa amani why did they make them.?
And they use them to kill millions of innocent peoples.
 

Acha uongo wewe!!!! Tangu lini wavulana huwa wanasoma Korogwe girls. Yaani unauchukia Uislamu mpaka unasema uongo bwana. wewe vipi? Nani asiyekujua kuwa wewe ni mwanaume? Leo unajifanya msichana, lo!!!!
 

Kweli kabisa!!!! Ila wakiona nchi ya kiislamu intechnologia kama wao ya kutengeneza silaha wanaiita ni ugaidi. Maana yake ni kwamba mkristo akimuua mwislamu ni sawa ila muislamu akimuua mkristo ni ugaidi!!!!!!Tena wanaiita "dini ya kigaidi". Swali, unaposema ukristo ni dini ya amani wakati nchi za kikristo ndo zinaongoza kutengeneza silaha hatari, kati ya mwislamu asiyesoma na wewe uliyesoma lakini hulioni hili nani ni mbumbumbu???? Wakristo ndo wanaongoza kwa kuua watu duniani. yaani silaha zao zimetengenezwa specifically kwa kumuua mwislamu!!!! Mfano, vita ya Iraq na Afghanistani watu hushabikia wakisikia mamia wamekufa. Lakini mmarekani mmoja tu akitekwa na magaidi (ambao hawana uhusiano na dini) utasikia wanasema magaidi wa kiislamu wamteka Mmarekani!!!!!
 
Wanakimbia harufu ya minyama yenu ya nguruwe mnayokulaga pale ubungo!!!!!

hahahha ahahhaha ahahahha ahahahha ahahha kweli akili kumkichwa
mbona walikuwa hawatukimbii darasani,mbona hostel walikuwepo
kwa akili km zako ndo napata majibu kuwa na wala nguruwe wakifanya kazi waislamu huwa wanawakimbia kwa sababu ya harufu na kwenda kukaa vibarazani na kunywa kahawa.........
 
Dini ya kiislamu ni janga la dunia.

Ugaidi wao(Alqaida,bokoharam,alshaabab na makundi mengine meng)

Wao siku zote hawapend Aman wanataka shari tu
Thank u God nlzaliwa mkristo

kama wakristo watu wa amani kwanini wametengeneza silaha za maangamizi.jetfighter,nuclear missile,atomic bomb,bunduki,pinde,submarine .silaha zote za kuuwa wanadamu .na zinatumika.kama ni watu wa amani why did they make them.?
And they use them to kill millions of innocent peoples.
 
they make them because they see very far away called today
 
Mkuu hii shule ina milikiwa na taasisi gani ya kiislamu? Naona kwa mara ya kwanza shule ya taasisi ya kiislamu ikiajili walimu wa kikiristu, ni hatua nzuri kwa kweli, nadhani ni mwamko mzuri sana, naipongeza taasisi husika. Ila sijajua kama siye wa dini ya asili tutawekwa kundi gani hapo.
 


Kumbe mbumbumbu wako wengi japokuwa wanasema wao kwa kuwa ni wakristo wana akili na wamesoma!!! Aliyekwambia kufungua nut ni kuiharibu ni nani? Wewe ndo unajiita msomi wewe? Pole sana.... na je kususu kitasa kinafungwa na kufunguliwaje? Si kutoka kulia kwenda kushoto au vice versa? kwa hiyo kama kufungua inamaanisha ni "kuharibu" je linapokuja suala la kufunga kitasa kwa kukizunguusha kutoka kushoto kwenda kulia maana yake pia hapo ni kuharibu? Pole sana wasomi wa kikristo mnaogawiwa majibu ya mitihani na Dr. ndalichako ili mfaulu vizuri kushinda wailsamu. Pole sana. Mnajifanya mnaelimu kumbe hamna kitu bali mmejaa chuki dhidi ya Waislamu!! na hasa mkigundua kuwa na wao wameelimika kama ninyi (japo wao hawapewi majibu ya mitihani bali hunyang'anywa maksi kwa kisingizio kuwa "kompyuta ilikosea"). Hamtuwezi kielimu kabisa. tunaupeo mkubwa sana japo tukivaa kanzu tunaonekana kama washamba.
 

Tofautisha kusoma kwa discussion na kufanya kazi!!!! Kwenye discussion lazima mtakaa kama kikundi na kila mmoja anachangia hoja kwa both kuongea na kuandika. Sasa wala nguruwe na wanywa pombe midomo yao huwa inanuka sana tofauti na wasiokula ama kunywa pombe. Ndo kisa cha kuwakimbia. Sasa ofisini huwa watu wanafanya kazi katika meza moja wameizunguuka kama inavyokuwa chuoni kwenye discussion? Wewe vipi? Ndo akili za mkristo aliyesoma zinakuwaga kama zako? Rudi ukasome tena maana usomi wako ni ule wa kugawiwa maksi na Dr Ndalichako katika shule za kikristo. sisi huwa tunafaulu kwa akili zetu tena kwa kukatwa maksi na ndo maana maksi zetu huwa za chini lakini upeo ni mkubwa maana tulitumia akili zetu katika kuzipata hizo maksi!!!!!. Hebu jiulize, mwislamu anaonewa kwa kukatwa maksi lakini pamoja na kukatwa anapata B!!! Je, asingekatwa (kudhulumiwa) maksi zake unafikiri angepata maksi ngapi???????
 
Ni matunda ya quran hayo kama walishauriwa kuacha kampeni za udini sasa tatizo ni nini hapo, na daima tunatangaza Upendo na amani kwani vyote vinapatikana kwa kuondoa udini, ukabila na ufisadi, sasa kama vijana wetu wadogo hawa wakianza mambo ya Udini na Ukabila si wataishia kuwa Uamsho na U Pondazii, then Alshabaab = Ugaidi, Thibiti hao Mapemaaaa
 

but hey..slow down.NImeakuambia tamaduni zao zinawapa changamoto tofauti.Sasa unakimbia mbali mpaka kwenye chuki binafsi kwanini?Usiwe mwepesi kama waislam wengi wanaopenda kuangalia viashiria fulani kwa wengine na kukimbilia kuvitumia kusupport dini yao.

Huyo jamaa alisema hivyo kwa kutojua na pia pengine yeye binafsi hapendezi na uandishi huo.Pengine unampa shida kifikra na pia anaweza kuwa si spekee hata waislam wengi waliofundishwa kwa misingi ya kuanzia kushoto kwenda kulia,nao wanaweza kuwa hawawezi uelewa uislma maisha yao yote, na kuishia laumu wengine.

Uislam una vionjo vingi vya tamaduni,dini na imani nyingine ambvayo hata kwenye vitambu original hizo habari hazipo au ni tofauti sana.Na hii ndio inayowapa waislam shida zaidi.Kwani wana kazi ya kudanganya dunia kuwa vitabu vyao ndivyo original.Wakati kimeandikwa miaka ya karibuni kuliko wengine.

Kwa ujumla sioni kuko kuthibitika unapokusema.Jaribu jadili hoja kwa uwazi na uadilifu ndugu yangu.Ndio maana nilisema nilijualo hata kama nilijua waislam wasiopenda fikiri mbali watalitumia kama proof kuwa dini yao itakuwa ya kweli au inafanyiwa chuki na fitna.Kwa kiasi fulani mtu anaweza sema sikuwa responsible writer,ila bado nitakuwa nimesimamia kweli .Pia hii si big deal kihivyo ndugu yangu.pengine mhoji zaidi mhusika kwa nini kadharau kusoma tokea kulia.Lugha nyingi zina vitu awkward kwa mitazamo ya wengine.
 

Kwanini usingeuliza.Kama hawa jamaa wana kila uwezo wa kutengeneza maangamizi kiasi hiki na hawataki vita kwanini waislam wanawalizimisha vita?

Nakumbuka my friend from German aliniambia Historia inaonyesha watu weupe wakiamua kuua wanaua more efficiently.Thanx God vita ya Iraq,Afghanisatan, Libya na Bosnia.Wameperfect silaha zao vyema.Juhudi za waislam ktk nchi hii si kwamba hazionekani,nakujulikana zimekuwa thwarted kwa njia rahisi sana.

Ila wajue vita ikianza mara nyingi silaha hufika mapema sana tofauti na mtu yeyote anavyoweza hisi.Kuna nchi nyingi sana dunia zina database ya kila event na habarai za nchi nyingine.Hawa huwa wanahamisha uwekezaji wao mapema,halafu wanaweka watu maaalumu kwa kusupply silaha na kufanya training za haraka kwa watu wa makundi yao.
 

Tena cha ajabu kamanda anadiriki kusema mwalimu hatakiwi na WANAFUNZI wakati ni waisilamu pekee ndo hawamtaki ... doh! Kaaaazi kweli kweli
 
Hivi tunaelekea wapi sasa?
Mwisho wake nini?
Inasikitisha sana pale damu yenye virusi inapoingizwa kwnye damu safi, matokeo yake mgonjwa anakuwa anafanya kosa bila kujua kuwa wakati akitenda hilo kosa alikosea. INSANITY
 
Ni matunda ya quran hayo kama walishauriwa kuacha kampeni za udini sasa tatizo ni nini hapo, na daima tunatangaza Upendo na amani kwani vyote vinapatikana kwa kuondoa udini, ukabila na ufisadi, sasa kama vijana wetu wadogo hawa wakianza mambo ya Udini na Ukabila si wataishia kuwa Uamsho na U Pondazii, then Alshabaab = Ugaidi, Thibiti hao Mapemaaaa
 

NUT, KITASA, ....

tiririka mkuu na vingine vyote. Ndo elimu gani hiyo? Hata kuendesha gari kwa reverse tairi inazunguka kutoka kulia kwenda kushoto ... ha ha ha ha haaa
 

hao walimu hupewa kazi kama propaganda za CUF, au wengine ni weledi wao ili kuwafaulisha hawa vijana ambao tayari wameshahitimu kuwa mujaheedin.Baadaye hujengewa mazigira yote ya kuondoka na shule kurudi kwenye equilibriuma yake.
 

Wewe utakuwa umenielewa VEMA. Mimi huwa sipendi dharau ndo maana hata ukristo huwa siudharau bali huwa namdharau mkristo anayepindisha ukweli. Jamaa ameibeza koran mpaka nikamshangaa. kwani kuanza kushoto kisha kumalizia kulia tatizo liko wapi? Kwani mungu aliyeumba kulia na kushoto hakuwa na akili? (hapa sina maana namtukana-nataka ujumbe ufike kwa mlengwa). Yaani kuna watu wakiiona biblia tu wanachukia kisa eti ina rangi nyeusi. Ukiwauliza ni andiko gani linakukataza kuigusa biblia nyeusi? Jibu hakuna....Vivyo hivyo kuna watu wakiiona qurani hataki hata kuigusa! Kisa inamandishi ya kiarabu na eti ni kitabu cha majini!!! Ukiwauliza andiko gani limesema ni kitabu cha majini jibu hawana bali ni chuki tu... Kuna watu hata kupita uwanja wa msikitini hawapiti eti wanaogopa majini. Sasa vitu hivi mimi vinaniudhi. Kwa nini watu wanakuwa apumbavu kiasi kile? Kwa nini wasisome kitu wakielewe ndipo waki challenge?
Mtu anayewadharau waislamu atakuwa hawajui vizuri na uislamu wao haujui. Wamefundishwa elimu kuliko watu wanavyoweza kuwafikiria. kinachotokea ni "frustration" tu. Nitafafanua... Mtu baada ya kupata elimu ya korani tunategemea ya kwamba aifanyie kazi katika maisha yake ya kila siku. Sasa bahati mbaya Taasisi tunayoitegemea inaitwa Bakwata. Taasisi hii inaendesha mambo yake kienyeji sana. Haijiendeshi kibiashara bali inajiendesha kwa kumsikiliza mtu mmoja. Wacha nikupe mfano; BAKWATA inamajengo mengi sana imepangisha lakini Rent hailipwi kwa njia au utaratibu wa misingi ya business. utakuta jengo fulani ni sheikh fulani ndo anakusanya kodi. Utakuta jengo la thamani ya pango la milioni 50 kwa mwaka linatoa milioni sita tu au chini ya hapo. Fedha zinakusanywa kwa utaratibu usioleweka. sasa kama BAKWATA ingekuwa na utaratibu mzuri kijana huyu aliyesoma koran angeajiriwa katika hata kusimamia estates za waislamu. lakini hili haliwezekani maana hata kama ataajiriwa mshahara wa kulipa hautakuwapo. Utatoka wapi? Sasa matokeo yake mwislamu anakuwa na elimu kubwa sana lakini mwisho wa siku anaishia katika kujua mambo ya ibada tu ! mambo mengine ya dunia elimu hii inakuwa haimsaidii. Hapa mwisho wa siku ni frustration!!!! Kwa taarifa tu ni kwamba elimu korani inatosha kabisa kundesha maisha. Elimu dunia yenyewe inakuwa tofauti kidogo kwa kuwa ina zungumzia mchanganyiko wa dunia. Korani yenyewe inazungumzia kanuni na sheria za uislamu tu. Kumbuka hata elimu ya sahihi (signatures) inapatikana katika korani pekee. Huwezi kukuta syllabus yoyote katika elimu hizi zingine inayofundisha mambo ya signature. Kwa hiyo korani inajitosheleza. Na ndo maana mtu aliyesoma korani vizuri kisha akasoma na elimu dunia vizuri, huwa yuko fit sana.
Threads nyingi sana zinadai waislamu waende wakasome kama ilivyo kwa wakristo. Mimi nakubaliana na threads hizo.... lakini waislamu watasoma kwa fedha gani sasa? au shule zao zitajiendeshaje bila ya kuwa na fedha? Maana fedha inayopatikana kutoka miradi ya WAISLAMU (BAKWATA) haitoshi maana haiendeshwi kwa kufuata kanuni za biashara (kama ilivyo kwa wakatoliki-they are pure business oriented). Assume hata kama tutaajiri waalimu wa kikristo wasomi wazuri tu, je watavumilia kufundisha bila ya kulipwa??? Maana wakati mwingine hata waalimu wa shule za kiislamu huwa wanakosa mshahara mpaka tunachangishana misikitini ili walipwe. Kwa kifupi miradi ya kiislamu haina usimamizi wa kibiashara. Na ukijitokeza kijana ukawa na msimamo wa kutaka miradi ya waislamu iendeshwe kibiashara utapigwa vita mpaka utajuta kwa nini ulizaliwa mwislamu. Ndipo makundi ya kutetea waislamu yanapoibuka. Ila kwa kuwa tatizo la mali za waislamu halijulikani (maana mwenye haki ya kusimamia ni BAKWATA ambaye ndiye mfujaji mkuu) makundi haya yanashindwa hoja... yanaonekana ni wahuni na hawana haki. Sorry, nashindwa kuendelea maana hata sijui nikueleze vipi unielewe. Historia ya waislamu kuwa nyuma kielimu hakuletwi na serikali pekee ama ukristo bali hata taasisi za kiislamu (specifically hapa ni BAKWATA). Fikiria waalimu wa madrasa hawana mshahara. Wanachangiwa na wazazi wa watoto wanaosoma madrasa hizo kwa kulipa shilingi 500 (miatano) kwa wiki kwa kila mtoto.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…