Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

Status
Not open for further replies.

hahhahah hahahhaa eti huwa mnakatwa marks............hata mjitungie mtihani wenyewe mtafeli tu
nenda shule za kiislamu uone.hii ni dunia nzima sio tanzania tu.nyie mmezaliwa kwa ajili ya vita na ugomvi tu
si kwa ajili ya kwenda shule.kajiunge na boko haram na al shabaab utete dini yako
 

..............kuongezea ..... Vita ya kwanza na ya pili ya Dunia walikuwa wanaumana Wakristo kwa Wakristo wakichanganyika na wapagani, wakigombea Mali !
.... Mkristo mmjo mwnye asili ya Uyahudi, vita vikamchosha akaenda kumaliza shughuli Nagasaki na Hiroshima !
 

.........mzee ! wagala wasikushughulishe kiivyo !.......hawa ni viziwi, vipofu na ni Mwenyezi Mungu amesema kupitia Qur'an tukufu !
.....kama mtu na amini mungu kateswa kwa ajili yake, kweli huo si upofu wa imani !
 


Shule ya sekondari Bagamoyo ni ya Serikali, Wizara ya Elimu.
Serikali haina dini.
Msikiti umejengwa NDANI ya eneo la serikali.
Kuna thread humu inayosema sasa kuna matatizo mazito hapo shuleni, yanayohusiana na udini.
Najiuliza sasa, je msikiti huo ni mali ya serikali ambayo haina dini, au imekuwaje?
 
Binafsi sioni tatizo na pia sio islamu. Shule niliyosoma ambayo awali ilikuwa shule ya mission na baadaye kutaifishwa na serikali enzi za mwalimu ina kanisa katikati ya shule. Lakini pia kama shule ya Bagamoyo imejengwa na serikali kwa ajili ya wanafunzi wote na ikajenga msikiti katika eneo la shule hilo ni TATIZO!
 
Hawa Christian watakuwa wanajishtukia tu na wameondoka kwa sababu zao binafsi. Wasisingizie ubaguzi wa kidini.

Mkuu, mimi nlidhani ungewapongeza kwa hekima baada ya kusoma mazingira, unaonaje kama wangekomaa na kuwa ngangari? Mwisho wake ingekuwa nini? Kwa mujibu wa taarifa iliyobandikwa na kwa kuwa wao ndio wanajua mazingira yalivyokuwa, nadhani ili kuepusha maafa, ni bora wamefanya hivyo.
 

Hilo swali lako ni muhimu kujibiwa ili tuchangie tukiwa na uelewa mzuri.

Lakin jambo la msingi hapa ni funzo gani tunapata hapa; Hakuna umuhimu wa kuwa na haya makanisa ama misikiti kwenye taasisi za serikali kama shule!

Uvaaji wa miwani ya mbao kwenye mambo kama haya tutajuta uko tuendako!
 
Hilo jengo la msikiti ni la zamani sana, inawezekana eneo lilikuwa la jumuia ya kiislamu, wakaipa eneo serikali la kujenga shule, hapo sioni tatizo
 
Suala waislam kuwa na elimu dunia tena kubwa sana halina ubishi,na kufaulu kwao ni kukubwa sana.Ila hakuna ulinganifu na maslahi kwa ummah wa waislam.Wafanyacho ni ama wawatose ama wawaibie kwa kuwahadaa na kuwapotosha ili kukwepesha chanzo cha matatizo.Wengi wa viongozi wa kisiasa wa kiislam ndio hao wanaotoa sababua tofauti nyuma ya pazia na tofauti ktk public.Waislam wanaojikuta wanafanya mambo ya kushangaza hawa viongozi wanamumunya maneno.

Jamii ya kiislam si Bakwata tuu ila maeneo mengi Masheikh binafsi wana nguvu huru sana maeneo waliyoyashika vyema,Na hivyo kugeuza miradi mingi kuwa kama binafsi au ya familia zao.

Suala la walimu wa madrassat kuwa na kipato kidogo ni kwa vile waislam matajiri na wasomi hawapo tayari mix elimu dunia na elimu ingine ili waweze imarisha taasisi za Kiislam kwa moyo mmoja.Wameishia kuwa wanafiki na wenye kihimiza wenzao kwa maneno ila kwa vitendo hawaendi zaidi ya kutaka kura za waislam na support yao ili walinde himaya zao kisiasa.
 
Nimefurahishwa na kazi ya iPhone 5, picha utadhani inatembea wakati si video clip.
 

duh sasa hapa unajrahisi sana kuongelea mamabo yaliyopita na kwa njia iliyopotoka.Kwanini usjitahidi elezea shida tunazoziona ktk macho yetu leo.
 
Hilo jengo la msikiti ni la zamani sana, inawezekana eneo lilikuwa la jumuia ya kiislamu, wakaipa eneo serikali la kujenga shule, hapo sioni tatizo
Kama ndivyo basi sina tatizo maana ukristo wetu unaamini katika kuheshimu dini nyingine maana mungu pekee ndiye atakaye muhukumu yeye aabuduye kakika allah subhana wataala na kumwacha kumkana yesu kristo aliyemuumba!!!Ila mimi binafsi kama ningekuwepo ktk hiyo shule nadhani ningeandika historia ya kuuchoma moto msikiti huo ulipo kwenye wilaya ya Jakaya Kikwete...Potelea mbali motoni siku ya kiyama
 
.........mzee ! wagala wasikushughulishe kiivyo !.......hawa ni viziwi, vipofu na ni Mwenyezi Mungu amesema kupitia Qur'an tukufu !
.....kama mtu na amini mungu kateswa kwa ajili yake, kweli huo si upofu wa imani !

Sidhani kama unachojipa nacho matumaini ni sahihi kihivyo.Ni theology tuu zinapingana hapa ktk fikra za watu na hivyo si vymea sana kujipa moyo kwa kutofahamu theology inayopingana na yako.Mungu kuwa mungu wa haki basi naye ili kumkomboa Binadamu lazima naye alipe deni lote la binadamu alichokubali kuwa anastahili fanyiwa na shetani.pengine kutoona kwako kuwa Mungu anastahili pia lipa deni na mdaiwa kumefunikwa sana na fikra zako juu ya uwezo wa Mungu.

Si wengi waliwaelewa wale Wachungaji na mapadri waliokuwa wakiwanunua watumwa na kuwaachia huru.Kwa kiasi fulani kuna waarabu waliwanunua kwa wakamataji na hivyo ili waridhisha ili wakubali kuwauza ni kuwapa bei ambayo wangeipata kule Arabuni wakiwa hapa.Kwa haraka ingewashawishi kuwauza haraka na kupunguza risk ya kuwapoteza njia kwa magonjwa,vifo vya njaa, kuzama kwa merikebu zao au kujituma majini.

Ukitaka jua kwanini wasemayo wakristu yana maana pana sana tofauti na unavyofikiria.Imagine sheikh au padri anavyoambiwa kuwa anayejiunga na dini ayao ni kiongozi na msomi wa dini pinzani?Imagine ghaddafi angeambiwa Kuna nafasi ya kunchapa Pope benedict fimbo hadharani iwapo angetoa hela kiasi fulani na mafuta ya kiasi fulani..Pengine ndipo utaona angalau kwa mbali ni vipi shetani atafurahi kupata nafasi ya kudhalilisha Yesu au kuwaachia huru Binadamu wote watakaochagua kumfuata Mungu.
 
haya ni matunda ya mwalimu nyerere kila shule mkuu wa shule mkristo
sasa haya mkuu kila dini walikuwa wanampigia kampen mgombea wao kwanini amtoe wa waislam pekee wakati
hata wakristo walikuwa wanampigia kampeni mgombea wao nimeaamini waislam wakidai ndio inaonekanaa
udini la kwa wakristo kawaida na wangepigaje kura wakati mgombea ni mmoja yeye mkuu wa shule ameshachagua udini umefika mwisho na sis waislam tumestuka sasa kipindi cha zidumu fikra sahih za mwenyekiti umwekwishaaaa
 
Labda hilo tatizo liwe siku hizi, miaka hii.
Nakumbuka wakati nasoma O-level pale Azania secondary(early 90's), Head master, second master, displini master na academic master walikuwa ni Wakristo.
Kulikuwa na chumba maalumu ambacho kilitengwa kuwa ni sehemu ya kusalia waislamu na kilikuwa kinatumika exactly kama msikiti. kutokana na ibada za waislamu kuwa ni mara tano kwa siku so chumba kile kilikuwa hakitumiwi na watu wengine na palikuwa panaitwa msikitini.
Kwa Wakristo walikuwa wakitumia madarasa kuendesha ibada ambazo zilikuwa zinafanyika kila siku nyakati za jioni na sometimes hall la shule lilikuwa linatumika kuendeshea ibada za kikristo.
Lakini hakukuwa na maneno wala tatizo lolote kama leo hii.
 
Waislamu bwana. tatizo ni kwamba wakati tunawabeza utayari wao kuua mtu ni guaranteed kama jua kuchomoza asubuhi,I wish UN watoe resolution juu ya islamu

UN Hawataweza!!!!! Waulize wamarekani ni kwa nini wanakumbwa na kimbunga kila mwaka. Waambieni waache kuonea waislamu ndo majanga yatakoma kuwakumba.
 

Mbona IRAN inatechnolojia mpaka wagalatia wa amerika na uingereza wanaiogop??? Au wakristo ndo walikwenda kuelimisha waislamu vilaza wa huko ndo technology ikakua?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…