Wakuu nasikia na huko NSSF kwa dau ni juzi tu waliajiriwa wafanyakazi 23 nasikia 20 kati yao walikuwa waislamu.Afadhali na huko Elimu kwa NSSF ni balaaa.Nasikia jengo zima makao makuu ni salam haleikum tuu.Huyo dau aombewe asipate kazi sehemu nyingine kwani atapanda udini huko>
Kama umenisoma vizuri ndiyo maana nimesema tuna amani na ni tabia yetu..kwani pamoja na shuruba na taabu zote hizi bado hatuchachamai kuonyesha kutoridhishwa kwetu, na ndiyo maana nasema sisi ni watu wa Amani kwani pamoja na mabaya yote tunayofanyiwa tumekaa kimyaaaa!!! sasa kama si utamaduni wa Amani ni nini? Lakini naamina ipo siku watu watasema it is enough!!!!kuna amani au uoga tu ndio maana bado tunaibiwa tu na hawa mafisadi.
kuna amani gani ikiwa mimi nakosa dawa hospitali na ninajua aliyekula pesa ya kununulia dawa hizo na sina cha kumfanya,
kuna amani gani ikiwa mimi na mifugo yangu tunatumia maji yenye sunu na aliyetiririsha sumu hiyo mtoni namjua na siwezi kumfanya kitu,
kuna amani gani ikiwa mwanangu anakosa kiti cha kukalia shuleni[kama shule ipo]na ilhali najua serikali bado inanunua mashangingi ya anasa ambayo hayana tija,na siwezi kufanya kitu,
mifano ipo mingi ya uonevu tunaofanyiwa wananchi lakini hatufanyi kitu sio kwa sababu tumeridhika,bali tunaogopa tu
Sema kati ya Wabunge wa kuteuliwa Wakristo wangapi na Waislamu wangapi? Hawa wenye majimbo, ni wananchi wamewachagua hivyo hakuna biasness hapo na hakuna haja ya kukoment.Hesabu mwenyewe na utupe hesabu. Kumbuka 75% niliandika ni wabunge wakristo wa TZ bara. Nilifanya hivyo kwa sababu wao wana ZEC Nasi tuna yetu. Zingatia kuwa nilangalia Wabunge na sio baraza la wawakilishi.
Muongo na Mnafiki wewe mkubwa katika taasisi zenye Transparancy ya ajira ni NSSF ukiomba unaitwa kwenye INTERVIEW inaitwa kwenye Ukumbi unaletwa mtihani wa written ukipita hapo unaenda kwenye ORAL.
huu wa written unasimamiwa na watu wasomi kama kutoka Chuo kikuu cha Dar-es-Salaam.ni Shirika pekee ambalo atleast kila aombaye kazi anapata nafasi ya kusikilizwa au kuonwa uwezo wake kwanza kwa maandishi halafu Oral.naomba data za hao watu 23 ilikuwa lini na wapi ilifanyika INTERVIEW hiyo?huwezi kujiwekea post tu hapa kwa chuki zako za kidini.
UTARATIBU HUU ULITAKIWA TAASISI ZOTE ZIIGE ILI WATU WAONESHE UWEZO WAO.
Wana Jf mbona hawo akina nani sasa wanaona uchungu eti wizara ya elimu ina bagua dini, walikuwa wapi enzi za akina Bwana mgonja na wengine shule nyingi zilijengwa kwa akina wakiristo, scholoarship kwa akian hao tu hata wizara ya fedha ilitawaliwa na akina hao infact wizara na tasisi zote za serikali zilikuwa chini yao, hata leo temeblea wizara zote ana tasisi zote hususan TRA wenye cheo na nafisi nyeti ni wakina hao, kama muislamu ana nafisa hapo bisi yeye ni mesaja au cleaner.Haya wanajamii je huu ni haki?
Hold on kwanza Diva. Hapa you are getting emotional. Una ushahidi gani watu wanadhani muislamu hawezi kuongoza? Je Mkullo ni kihio or not? Na je viongozi wanao tuhumiwa kuwa na elimu feki ni wakiislamu pekee? Una taka kusema hakuna viongozi wa Kikristo ambao elimu zao zime hojiwa?
Hao wasomo walopewa kazi ya kusaili nao walikuwa waisilamu(Dr. Assad) unategemea nini na huenda walipewa maswali na majibu kabla.Hawa waislamu Kina dau wanajulikana hata walipokuwa UDSM walikuwa wanawapa wanafunzi waislamu maswali na kina kapuya>chuo cha morogoro ndo balaa wanataka kila mtu atoke na first class!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ANZA NA OFISI YA WAZIRI MKUU.MIZENGO PINDA,AKISAIDIWA NA WAZIRI PHILIPH MALMO-BUNGE,TAMISEMI YUKO KOMBANI,AKISAIDIWA NA NAIBU WAZIRI TAMISEMI-MWANRY katibu mkuu na naibu katibu mkuu wakristu.katibu wa bunge Mkristu.This did not just happen by chance, it was deliberate! Yaani waislam kukaa wizara moja namna hii msije mkadhani ni random selection, huu ni mpango mahsusi.
Sijafanya uchunguzi kuona kama pia kuna Wakristo katika wizara nyingine, yawezekana wapo lakini haitakuwa nyeti. Watakuwa wamewekwa kwa lengo la ku-counter, kama jibu la kujihami siku Wakristo wakilalamika waislam kukaa wizara ya elimu, lakini kimsingi wizara watakayopewa (kama ipo) haitakuwa na maslahi ya moja kwa moja kwa kikundi au mtu kama ilivyo wizara ya elimu.
Kikwete anacheza! Umwinyi wao ndio uliowafanya wasipeleke watoto shule na siyo Wakristo waliowazuia. Wamshukuru sana Nyerere (Mkristo)kwa kuamua kutaifisha shule za makanisa na kuzifanya za serikali vinginevyo leo tungekuwa tunampata mmoja katika ishirini.
Wafanye lolote lakini wajue Yesu ni Mungu na kamwe hajawahi kushindwa vita!
Mwanafalsafa, nimekuwa nikiangalia strings za attack against Muslim leaders nikaikuta na hiyo ya Mkullo. Inawezekana nimekuwa bit emotional. Kilichonishangaza ni mtu kudai eti Mkullo hana Bachelor degree so hawezi kupata MBA... Sikuamini kama mtu anaweza kusema kitu kama hicho. Sikuamini kuwa kuna watu wanadhani kigezo cha kupata MBA au shahada ya pili yeyote ni bachelor tuu. Nilidhani ni selective argument kumbagua Mkullo kama anavyoandamwa Dr Dau na sasa Maghembe na Dihenga. Wanaitwa hata alhaji na ilhali hawajaenda Hijja ( just to prove a certain unsound argument)... Anyway, back to Mkullo, amefanya ACCA papers akamalizia na CPA. ACCA ni professional qualification inaheshima Uingereza na duniani ya Uhasibu, nazo ndizo zilimpa njia ya kufanya MBA. Kw hiyo sio kihiyo. Wapo wataalamu wazuri tu wa uhasibu (na fani zingine) wa njia hiyo TZ na duniani...
Wakuu nasikia na huko NSSF kwa dau ni juzi tu waliajiriwa wafanyakazi 23 nasikia 20 kati yao walikuwa waislamu.Afadhali na huko Elimu kwa NSSF ni balaaa.Nasikia jengo zima makao makuu ni salam haleikum tuu.Huyo dau aombewe asipate kazi sehemu nyingine kwani atapanda udini huko>
Kardinal Pengo na waraka wa kanisa.wewe ni kama nani?