FredKavishe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,090
- 318
Cha msingi ni computer za kutosha. Hoja haipaswi kuwa laptop. DeskTop zinafaa zaidi kwa wanafunzi, pia laptop, ila kwa uwezo wetu laptop ni fedha nyingi sana.Pumbafu kabisa hawa , nia haki yao kabisa kufukuzwa , na inabidi wafukuzwe wengine wengi tu wewe mtu mziam unadai laptop
hivyo ni vitu vya anasa bwana, kama k chuo kina computers basi hizo zinatosha , wewe unataka upewe laptop ? Heh!!
huyu Pinda kwa nini amewaahidi uongo???????? na apeleke hizo hizo laptop, hakusema desk top,hawa viongozi wa sisiem sifa zitawaua na ahadi hewa zao.Cha msingi ni computer za kutosha. Hoja haipaswi kuwa laptop. DeskTop zinafaa zaidi kwa wanafunzi, pia laptop, ila kwa uwezo wetu laptop ni fedha nyingi sana.
Pumbafu kabisa hawa , nia haki yao kabisa kufukuzwa , na inabidi wafukuzwe wengine wengi tu wewe mtu mziam unadai laptop
hivyo ni vitu vya anasa bwana, kama k chuo kina computers basi hizo zinatosha , wewe unataka upewe laptop ? Heh!!
Cha msingi ni computer za kutosha. Hoja haipaswi kuwa laptop. DeskTop zinafaa zaidi kwa wanafunzi, pia laptop, ila kwa uwezo wetu laptop ni fedha nyingi sana.
Wewe kama huna cha kuongea you better shut up. It seems maisha yako bado stone age, hujui hata tofauti ya Laptops na Desktops. Hiyo ni College ya mambo ya IT, havin laptops is essential to their studies. Go to HELL
kwanza mimi sijaelewa , hio ahadi ni kuwa kila mtu aliahidiwa kupewa laptop mkononi au chuo ndio kiliahidiwa kupewa laptop??
au ina maana chuo kikubwa kama udom hakina computers za kutosha?
ok guys, i hope mtarudishiwa vitu vyenu, lakini hapo ni ngumu sana kuwalipakwa sababu haijulikani ni nani alipoteza laptop na nani hakupoteza , so hapo issue ni kubwa na inabidi wategemee maumivu kama hawana ushahidi wa kutoshaBaada ya vurugu zilizotokea katika mgomo, Pinda aliahidi kuwa vitu vilivyopotea kwenye vurugu vitalipwa. Na kuna baadhi walipoteza laptops.
Jamani hali tete udom more info zinakuja asubuhi kulikuwa na taarifa wamego collage of information and virtual study sasa mgomo wao umepelekea wanafunzi kumi kufukuzwa bila hatia walikuwa wanadai laptop walizohaidiwa na pinda more to come stay tuned
thanks but no one gonna give you a laptop, you better sell ya a**s to get it.and you will end up lossing your study and go back to your village.
ni kwamba kila mtu aliahidiwa laptop mkononi au chuo ndio kiliahidiwa?
You dont understand hivi vitu, probably una elimu but not in this field. I wont sell anything coz I've mine and it's everything as far as my studies are concerned.
ni kwamba kila mtu aliahidiwa laptop mkononi au chuo ndio kiliahidiwa?
Laptop sio kitu cha anasa ukumbuke, usikurupuke finya upumbavu wako na huonyeshe hekima yako