UDOM hapakaliki; wanafunzi kumi wamefukuzwa bila kosa

UDOM hapakaliki; wanafunzi kumi wamefukuzwa bila kosa

Wakuu walihaidia kila mwanafunzi wa hiyo collage atapatiwa laptop sasa naona ahadi haijatimia leo hawakuingia class asubuhi wakaanza maandamano hadi kwenye ofisi pinda sasa kijana wangu sasa hivi hapatikani sijui kipi kinaendelea
maisha bora kwa kila mtanzania sio?hivi JK si naye aliahidi watasambaza internet kwenye shule zote? kwa hiyo watu waandamane sio?
udom ni chuo kinacho ongozwa kifisadi pinda hawezi kutatua mgomo kwa vile mwizi wa kompuyuta ni mlacha shemeji yake na kikwete .wanaiba kuanzia pesa za wananchi mpakaka za miradi acha tunasubiri majibu ya wizi wa hela zetu kesho kutwa ulikua sio mgomo mkubwa kwa hiyo sio wa kufukuza watu .lakini mlacha wanaweza ndio kazi yake.pia subiri jumamosi utapata tarifa kamili kwa vile watu wanaofukuzwa hupigiwa simu na huchukuliwa kama wanapelekwa detation sasa mtu huwezi kukurupuka na kusema tu si unajua kwenye mgomo watu wengine hutoroka huenda mbali kwa hiyo mtu usipomuona inatakiwa ufanye uchunguzi kama kakimbia mgomo au kajifungia kafukuzwau mgomo sio kazi rahisi
kwa hiyo tatizo ni JK sio?
Ndugu yangu unakuwa kama mgeni wa TZ hujui sera za hawa jamaa wa ccm.
Labda alifikiri ni kofia, kanga na mafulana. Wanafunzi sio wapumbavu kiasi hicho kuandamana bila kuwa na kigezo cha msingi. Kama Mh Pinda aliahidi na wanafunzi wanaona muda unazidi kusonga mbele bila kufanya au kuwa na mazoezi ya kutosha ni lazima wakumbushie.
point taken
 
Kwa ulimwengu wa Teknolojia laptop si kitu cha anasa ila wewe umeamua kuisemea mioyo ya wenzako, facebook hayo pia ni mawazo yako binafsi ila laptop kwa mwanafunzi wa elimu ya juu ni muhimu, soda ni mfano ambao hauna uwiano na hili swala mpwa
kama sio anasa kwa nini kila mtanzania hana hii kitu basi?nyie mnataka mpewe ili muwe mnachati face book, but in other side offcourse laptop sio kitu cha anasa kama una uwezo wa kujinunulia mwenyewe , hivi unajua kunywa soda kwa watu wengine ni kitu cha anasa?
 
jamani wewe unayesema watu wasome kumputa bila kumpuyuta hii sio histori utatengeneza wasomi wasio ajirika tuache ushabiki au unataka chuo kiwe kama shule ambazo hazina labatory mimi nawakosoa kumfwata pinda wange goma mpaka wapate kompyuta kwanza alisema mwizi mlacha atajiuzulu alafu CAG Akamsafisha sisi education tuliteka msafara wake.pinda hatatui matatizo ya wasomi bila huyaongeza labda wange muita diwani wa makulu udom sio pinda hawezi mdahalo huwa wanafunzi hawapendi kuhutubiwa bali watampiga maswali alafu ukizingatia makinda hayupo amuokoe atapoteza sifa tena
 
Huyo mtoto wa mkulima akaunti yake haizidi hata milioni 20 anaahidi laptop za nini si kutafuta lawama tu jamani ?
 
Kwa ulimwengu wa Teknolojia laptop si kitu cha anasa ila wewe umeamua kuisemea mioyo ya wenzako, facebook hayo pia ni mawazo yako binafsi ila laptop kwa mwanafunzi wa elimu ya juu ni muhimu, soda ni mfano ambao hauna uwiano na hili swala mpwa

kwa nini ununuliwe laptop? kwa nini msiseme kuwa chuo kinunue computers za kutosha ziwe ni laptop au desktop, lakini ziwe za kutosha nz mwanafuzni yoyote akitaka kutumia computer awe anaweza kwenda kwenye computer classes na kuweza kutumia kwa mda wowote ule, hapo kila mtu angewaona kuwa nyinyi ni watu wa maana, lakini mnataka laptop mpewe kila mtu mkononi sio? who are you guys?? mkimaliza hiyo IT yenu ndio nchi itakuwa developed suddenly?
 
Poleni sana...kwa hiyo wameshafungasha virago vyao.
 
Jamani hali tete udom more info zinakuja asubuhi kulikuwa na taarifa wamego collage of information and virtual study sasa mgomo wao umepelekea wanafunzi kumi kufukuzwa bila hatia walikuwa wanadai laptop walizohaidiwa na pinda more to come stay tuned
Hawawezi kufukuzwa bila kosa, lazima watapewa barua zitakazoonyesha makosa yao

sometimes biased emotions hazisaidii kutatua tatizo

tusihukumu, tusubiri wa-share hizo barua zao

kumbe madogo wamekua mcharuko hivi??? wandhani solution ya laptops promise ndio hiyo?
 
Mtu mzima labda alijilopokea tu...madent wakajua yuko serious..lol.
 
kama sio anasa kwa nini kila mtanzania hana hii kitu basi?nyie mnataka mpewe ili muwe mnachati face book, but in other side offcourse laptop sio kitu cha anasa kama una uwezo wa kujinunulia mwenyewe , hivi unajua kunywa soda kwa watu wengine ni kitu cha anasa?

Mtu mzima anapopayuka kuwa laptops ni anasa, me namshangaa. Kila kitu kina mahala pake na wakati wake. Desktops kwenye vyuo vini zipo labs, ambako kunafunguliwa kwa ratiba. Remember hiyo ni college inayo deal na IT, it demands practise to be competent. Dont call laptops Anasa!! Labda kwa watu wanaosoma mambo mengine.
 
kama mheshimiwa Pinda aliwaiidi kuwanunulia laptop,komaeni mpaka kieleweke..uwezo anao,coz ni fisadi.na mdai pentium M kabisa, hata kama mlikua mnamiliki pentium R Pro..
 
Warurudishe digrii za bure walizompa kikwete(apewe dr.slaa) la sivyo acha wapigwe virungu tu.............
 
images

hizi zitawafaa ngoja nimtafute pinda tuongee dili la tenda hapa
 
Mtu mzima anapopayuka kuwa laptops ni anasa, me namshangaa. Kila kitu kina mahala pake na wakati wake. Desktops kwenye vyuo vini zipo labs, ambako kunafunguliwa kwa ratiba. Remember hiyo ni college inayo deal na IT, it demands practise to be competent. Dont call laptops Anasa!! Labda kwa watu wanaosoma mambo mengine.
ok, ivuga katuma aina za comp hapa down,ok chagua
images

hizi zitawafaa ngoja nimtafute pinda tuongee dili la tenda hapa

au apple i-mac nini?
images

oo nop. i pad zitawafaa zaidi
images
 
Back
Top Bottom