UDOM hapakaliki; wanafunzi kumi wamefukuzwa bila kosa

UDOM hapakaliki; wanafunzi kumi wamefukuzwa bila kosa

FredKavishe

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,090
Reaction score
318
Jamani hali ni tete udom more info zinakuja asubuhi kulikuwa na taarifa wamegoma kitivo cha collage of information and virtual study sasa mgomo wao umepelekea wanafunzi kumi kufukuzwa bila hatia walikuwa wanadai laptop walizohaidiwa na Pinda more to come stay tuned
 
kudadadeki hapo sasa na miahadi yao hewa isiyotekelezeka ndio watajuta....:director::director:
 
Pumbafu kabisa hawa , nia haki yao kabisa kufukuzwa , na inabidi wafukuzwe wengine wengi tu wewe mtu mziam unadai laptop
hivyo ni vitu vya anasa bwana, kama k chuo kina computers basi hizo zinatosha , wewe unataka upewe laptop ? Heh!!
Cha msingi ni computer za kutosha. Hoja haipaswi kuwa laptop. DeskTop zinafaa zaidi kwa wanafunzi, pia laptop, ila kwa uwezo wetu laptop ni fedha nyingi sana.
 
Hebo, hawana akili kabisa hawa wanafunzi. Na wakiendekezwa kasho wataai mkate na siagi.
 
Cha msingi ni computer za kutosha. Hoja haipaswi kuwa laptop. DeskTop zinafaa zaidi kwa wanafunzi, pia laptop, ila kwa uwezo wetu laptop ni fedha nyingi sana.
huyu Pinda kwa nini amewaahidi uongo???????? na apeleke hizo hizo laptop, hakusema desk top,hawa viongozi wa sisiem sifa zitawaua na ahadi hewa zao.
 
Pumbafu kabisa hawa , nia haki yao kabisa kufukuzwa , na inabidi wafukuzwe wengine wengi tu wewe mtu mziam unadai laptop
hivyo ni vitu vya anasa bwana, kama k chuo kina computers basi hizo zinatosha , wewe unataka upewe laptop ? Heh!!

Wewe kama huna cha kuongea you better shut up. It seems maisha yako bado stone age, hujui hata tofauti ya Laptops na Desktops. Hiyo ni College ya mambo ya IT, havin laptops is essential to their studies. Go to HELL
 
Cha msingi ni computer za kutosha. Hoja haipaswi kuwa laptop. DeskTop zinafaa zaidi kwa wanafunzi, pia laptop, ila kwa uwezo wetu laptop ni fedha nyingi sana.

kwanza mimi sijaelewa , hio ahadi ni kuwa kila mtu aliahidiwa kupewa laptop mkononi au chuo ndio kiliahidiwa kupewa laptop??
au ina maana chuo kikubwa kama udom hakina computers za kutosha?
 
Wewe kama huna cha kuongea you better shut up. It seems maisha yako bado stone age, hujui hata tofauti ya Laptops na Desktops. Hiyo ni College ya mambo ya IT, havin laptops is essential to their studies. Go to HELL

thanks but no one gonna give you a laptop, you better sell ya a**s to get it.and you will end up looosin your study and go back to your village.
 
kwanza mimi sijaelewa , hio ahadi ni kuwa kila mtu aliahidiwa kupewa laptop mkononi au chuo ndio kiliahidiwa kupewa laptop??
au ina maana chuo kikubwa kama udom hakina computers za kutosha?

Baada ya vurugu zilizotokea katika mgomo, Pinda aliahidi kuwa vitu vilivyopotea kwenye vurugu vitalipwa. Na kuna baadhi walipoteza laptops.
 
Baada ya vurugu zilizotokea katika mgomo, Pinda aliahidi kuwa vitu vilivyopotea kwenye vurugu vitalipwa. Na kuna baadhi walipoteza laptops.
ok guys, i hope mtarudishiwa vitu vyenu, lakini hapo ni ngumu sana kuwalipakwa sababu haijulikani ni nani alipoteza laptop na nani hakupoteza , so hapo issue ni kubwa na inabidi wategemee maumivu kama hawana ushahidi wa kutosha
 
Wakuu walihaidia kila mwanafunzi wa hiyo collage atapatiwa laptop sasa naona ahadi haijatimia leo hawakuingia class asubuhi wakaanza maandamano hadi kwenye ofisi pinda sasa kijana wangu sasa hivi hapatikani sijui kipi kinaendelea
 
Jamani hali tete udom more info zinakuja asubuhi kulikuwa na taarifa wamego collage of information and virtual study sasa mgomo wao umepelekea wanafunzi kumi kufukuzwa bila hatia walikuwa wanadai laptop walizohaidiwa na pinda more to come stay tuned

waache upumbavu wanajilostisha wenyewe, ivi bila kuwa na hizo laptop mambo yao hayatoenda? ebu wanafunzi acheni uzuzu basi komaeni na mambo ya msingi zaidi. ivi mtu anafukuzwa kisa eti alikuwa anaandamana kudai laptop.
 
thanks but no one gonna give you a laptop, you better sell ya a**s to get it.and you will end up lossing your study and go back to your village.

You dont understand hivi vitu, probably una elimu but not in this field. I wont sell anything coz I've mine and it's everything as far as my studies are concerned.
 
tena mamlaka husika tunaomba mchukue hatua kwa watoto hawa, naona wanatupotezea wakati, time ambazo watu wanaumiza vichwa kufikilia mambo makubwa ya kitaifa wao wamekomaa na utoto. anaitia hasara familia yake
 
You dont understand hivi vitu, probably una elimu but not in this field. I wont sell anything coz I've mine and it's everything as far as my studies are concerned.

kama ni laptop inabidi ununue mwenyewe, kuna laptop za wachina hata laki 2. hadi 5 unapata ....kila kitu sio lazima kuandamana mazee,hapa mnatia aibu sana na kukishushia chuo hadhi yake. and those are wrong decision..mambo ya high school msiyapeleke chuo hata kama some time mnahaki ya kudai haki yenu. ukihitaji kuuziwa laptop ni pm
 
ni kwamba kila mtu aliahidiwa laptop mkononi au chuo ndio kiliahidiwa?

Ndugu yangu unakuwa kama mgeni wa TZ hujui sera za hawa jamaa wa ccm.
Labda alifikiri ni kofia, kanga na mafulana. Wanafunzi sio wapumbavu kiasi hicho kuandamana bila kuwa na kigezo cha msingi. Kama Mh Pinda aliahidi na wanafunzi wanaona muda unazidi kusonga mbele bila kufanya au kuwa na mazoezi ya kutosha ni lazima wakumbushie.
 
udom ni chuo kinacho ongozwa kifisadi pinda hawezi kutatua mgomo kwa vile mwizi wa kompuyuta ni mlacha shemeji yake na kikwete .wanaiba kuanzia pesa za wananchi mpakaka za miradi acha tunasubiri majibu ya wizi wa hela zetu kesho kutwa ulikua sio mgomo mkubwa kwa hiyo sio wa kufukuza watu .lakini mlacha wanaweza ndio kazi yake.pia subiri jumamosi utapata tarifa kamili kwa vile watu wanaofukuzwa hupigiwa simu na huchukuliwa kama wanapelekwa detation sasa mtu huwezi kukurupuka na kusema tu si unajua kwenye mgomo watu wengine hutoroka huenda mbali kwa hiyo mtu usipomuona inatakiwa ufanye uchunguzi kama kakimbia mgomo au kajifungia kafukuzwau mgomo sio kazi rahisi
 
Laptop sio kitu cha anasa ukumbuke, usikurupuke finya upumbavu wako na huonyeshe hekima yako

kama sio anasa kwa nini kila mtanzania hana hii kitu basi?nyie mnataka mpewe ili muwe mnachati face book, but in other side offcourse laptop sio kitu cha anasa kama una uwezo wa kujinunulia mwenyewe , hivi unajua kunywa soda kwa watu wengine ni kitu cha anasa?
 
Back
Top Bottom