huyu Pinda kwa nini amewaahidi uongo???????? na apeleke hizo hizo laptop, hakusema desk top,hawa viongozi wa sisiem sifa zitawaua na ahadi hewa zao.
hapo mimi mwenyewe nimechoka,ahadi ni deni lakini sio kihivyo kama hawa madogo wanavyolazimishahapo ndipo najiuliza IQ level za wasomi wetu walio vyuo vikuu siku hizi, tena wasomi wa computer science! unashindwaje kujua au kutofautisha kuwa hapa mkuu amenena kweli au hapa anadanganya au anatafuta umaarufu tu na au anatudanganya? kweli CCM inayoshindwa hata kununua vifaa vya kuhudumia wamama wajawazito dispensaries inaweza kukununulia laptops ambazo kila moja thamani yake ni zaidi ya 1ml sh?
Hao wanafunzi wanastahili BAN!
hapo mimi mwenyewe nimechoka,ahadi ni deni lakini sio kihivyo kama hawa madogo wanavyolazimisha
Sasa aliwaahidi ili iweje...kama aliwaahidi laptop atoe laptop asilete kulia liaCha msingi ni computer za kutosha. Hoja haipaswi kuwa laptop. DeskTop zinafaa zaidi kwa wanafunzi, pia laptop, ila kwa uwezo wetu laptop ni fedha nyingi sana.
kwa hiyo hapa mimi nafikiria kuwa mh Pinda angewaahidi kuwa kiLa mmoja atapewa gari let say jaguar wangeamini na kwenda kuandamana sio?wanashindwa kujua akili za wanasiasa !!!!!!!!!!!!!!!!! nimeiweka hapa down kama hawaijuimkuu yaani ni kama vile chuo kifanya admission upya, hiyo faculty inahitaji wanafunzi wenye IQ level za juu, siyo wasioweza kuanalyse situation rahisi rahisi au wanaoweza kuamini uongo kirahisi rahisi hivyo. wanakuwa kama waandishi wa habari za udaku wanaoamini kila kitu wanachoambiwa.
unaweza kupata TZS 750,000...je kwa kuwa waliahidiwa walipaswa wafanye nini? dawa ya hawa wanasiasa waongo ni kuwa bana tu...hapo ndipo najiuliza IQ level za wasomi wetu walio vyuo vikuu siku hizi, tena wasomi wa computer science! unashindwaje kujua au kutofautisha kuwa hapa mkuu amenena kweli au hapa anadanganya au anatafuta umaarufu tu na au anatudanganya? kweli CCM inayoshindwa hata kununua vifaa vya kuhudumia wamama wajawazito dispensaries inaweza kukununulia laptops ambazo kila moja thamani yake ni zaidi ya 1ml sh?
Hao wanafunzi wanastahili BAN!
sijui unataka kusemanini mkuu, Pinda kama alivyo Ki kwete amewaahidi wanafunzi/ wananchi vitu chungu mzima..je nini wajibu wa wanafunzi/wananchi au siku nyingine wakitudanganya tulianzishe pale pale au tusubilie akishindwa kutekeleza tuhoji...kwa hiyo hapa mimi nafikiria kuwa mh Pinda angewaahidi kuwa kiLa mmoja atapewa gari let say jaguar wangeamini na kwenda kuandamana sio?wanashindwa kujua akili za wanasiasa !!!!!!!!!!!!!!!!! nimeiweka hapa down kama hawaijui
kama sio anasa kwa nini kila mtanzania hana hii kitu basi?nyie mnataka mpewe ili muwe mnachati face book, but in other side offcourse laptop sio kitu cha anasa kama una uwezo wa kujinunulia mwenyewe , hivi unajua kunywa soda kwa watu wengine ni kitu cha anasa?
ndio ushachangia sasa.....sichangii hii sredi imekaa kitotototo sana
mkuu Crashwise , CCM kutotimiza ahadi ni jambo la kawaida sana na ni mara nyingi tu wanafanya hivi, hapa najaribu kuwaasa vijana kuwa wasipoteze mda wao bure kwani hata wakipewa hizo laptop sio kwamba wote watapata first class, kama chuo kina computers au kwenye facult yao kuna computers ambazo zinatumiwa kwenye kufundishia basi hakuna haja ya kila mtu kupewa laptop mkononi, na mimi nina wasiwasi hawa jamaa watakuwa wamemqoute mh. Pinda vibaya kama sikosei.sijui unataka kusemanini mkuu, Pinda kama alivyo Ki kwete amewaahidi wanafunzi/ wananchi vitu chungu mzima..je nini wajibu wa wanafunzi/wananchi au siku nyingine wakitudanganya tulianzishe pale pale au tusubilie akishindwa kutekeleza tuhoji...
Wewe ulikuwa nje ya nchi ukiwa unatumikia kifungo jela tangu 2007, nashangaa unakuja humu na kuanza kutukana watu bila hata kufikiria. Utajuaje kilichokuwa kinaendelea duniani wakati upo jela? Wewe si una ID nyingine ya Kitanga?Pumbafu kabisa hawa , nia haki yao kabisa kufukuzwa , na inabidi wafukuzwe wengine wengi tu wewe mtu mziam unadai laptop
hivyo ni vitu vya anasa bwana, kama k chuo kina computers basi hizo zinatosha , wewe unataka upewe laptop ? Heh!!
Wewe ulikuwa nje ya nchi ukiwa unatumikia kifungo jela tangu 2007, nashangaa unakuja humu na kuanza kutukana watu bila hata kufikiria. Utajuaje kilichokuwa kinaendelea duniani wakati upo jela? Wewe si una ID nyingine ya Kitanga?
Mtu mzima anapopayuka kuwa laptops ni anasa, me namshangaa. Kila kitu kina mahala pake na wakati wake. Desktops kwenye vyuo vini zipo labs, ambako kunafunguliwa kwa ratiba. Remember hiyo ni college inayo deal na IT, it demands practise to be competent. Dont call laptops Anasa!! Labda kwa watu wanaosoma mambo mengine.
yaani yeye kusoma IT ndio anajiona sijui ndio kafika, bora wangeomba watu wanaosoma medicinebasi jinunulieni!
waache upumbavu wanajilostisha wenyewe, ivi bila kuwa na hizo laptop mambo yao hayatoenda? ebu wanafunzi acheni uzuzu basi komaeni na mambo ya msingi zaidi. ivi mtu anafukuzwa kisa eti alikuwa anaandamana kudai laptop.
tena mamlaka husika tunaomba mchukue hatua kwa watoto hawa, naona wanatupotezea wakati, time ambazo watu wanaumiza vichwa kufikilia mambo makubwa ya kitaifa wao wamekomaa na utoto. anaitia hasara familia yake