Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,191
Unaweza kutupatia majina ya waliofukuzwa!
Muhimu sana hilo mkuu nakuunga mkono.
Wanafunzi kumi wa college of informatics wamefukuzwa kutokana na maandamano ya college hiyo yaliyofanyika hivi karibuni kupinga matokeo ambayo yamekuwa pigo kwao, taarifa inazidi kueleza kuwa, college hiyo haina practical ikiwa masomo yao ya information technology yanahitaji vitendo zaidi. Hivi sasa wanafunzi wa college of education wapo katika mkutano wa dharura kujadili hilo na ikiwezekana watoe kauli kwa chuo juu ya waliofukuzwa kwa uzembe wa utawala wa chuo, mbali na hayo, pia watajadili ubadhilifu wa fedha uliofanywa na serikali ya wanafunzi (UDOSO) ili wajue hatma ya fedha hizo, ikiwa vugu vugu hili litaendelea, kunaweza kutokea mgomo tena kwenye college ya education (COed). Chanzo ni college of informatics & COed.

Warurudishe digrii za bure walizompa kikwete(apewe dr.slaa) la sivyo acha wapigwe virungu tu.............
hvi haya manunda ya UDOM yatakua lini ki akili?
mkuu yaani ni kama vile chuo kifanya admission upya, hiyo faculty inahitaji wanafunzi wenye IQ level za juu, siyo wasioweza kuanalyse situation rahisi rahisi au wanaoweza kuamini uongo kirahisi rahisi hivyo. wanakuwa kama waandishi wa habari za udaku wanaoamini kila kitu wanachoambiwa.
Mbona hawajafanya maandamano ya kuunga mkono CCM kujivua Gamba?
kwa hiyo hapa mimi nafikiria kuwa mh Pinda angewaahidi kuwa kiLa mmoja atapewa gari let say jaguar wangeamini na kwenda kuandamana sio?wanashindwa kujua akili za wanasiasa !!!!!!!!!!!!!!!!! nimeiweka hapa down kama hawaijui
Utoto unawasumbua sana. Wakielimika wataacha ila sijui mwaka gani!
be serious 4 once, asshole
we ndio kilaza kushnda wote,we kiongoz wa serikal amap6waahid watu wazma wasomi alafu hatekelez unategemea nn..we bwabwa kumbuka hawa wanafunz wa COLLEGE hii wanasoma mambo ya IT,so laptos ni essential kwao
Nani alipapaswa kufukuzwa mkuu wa chuo anayetuandalia wataalamu wanaojua THEORY bila vitendo au wanafunzi wanaosukuma chuo ili wapate elimu bora?
BONGO SHAMBA LA BIBI HAKI ZA WANANCHI ZIKO PENDING MPAKA SERIKALI ITAKAPOENDESHWA NA WASIKIVU