NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
Nashangaa pale Msomi anapomuamini mwanasiasa 100%
Kwani hao ni wasomi au VICHOMI tu?Wasomi huwa hawakurupuki mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa pale Msomi anapomuamini mwanasiasa 100%
Kwani hao ni wasomi au VICHOMI tu?Wasomi huwa hawakurupuki mkuu
Kwani hao ni wasomi au VICHOMI tu?Wasomi huwa hawakurupuki mkuu
wawe kama wasomi wa udsm bana,wale jamaa wakat wanadai 10000 kwa siku walienda wakawapga maprofesa wao na wanafunz wa masters na kusababsha m1 kupata miscarriage,huo ndo mgomo wa kisomi bana.
kwani hao ni wasomi au vichomi tu?wasomi huwa hawakurupuki mkuu
wawe kama wasomi wa udsm bana,wale jamaa wakat wanadai 10000 kwa siku walienda wakawapga maprofesa wao na wanafunz wa masters na kusababsha m1 kupata miscarriage,huo ndo mgomo wa kisomi bana.
wewe inanekana hukusoma au elimu yako ni bookish,unakurupuka kuandika,hata mada yenyewe hujui.sasa kichomi si ni wewe unayeshindwa kutoa hoja nakufanya fitina humu.
udsm wanadai sh 10000 wanapewa kuponi alafu unawataja humu?
nyie jamaa , badala ya kutetea hoja zenu na kutoa information ili tuwasaidie nyie ndio mnatukakam sio fresh hata kidogo , hivi hatutafikaahadi ni deni jamani.... **** 'em up
wewe inanekana hukusoma au elimu yako ni bookish,unakurupuka kuandika,hata mada yenyewe hujui.Sasa kichomi si ni wewe unayeshindwa kutoa hoja nakufanya fitina humu.

Udsm wanadai sh 10000 wanapewa kuponi alafu unawataja humu?
Poleni sana wadogo zangu lakini ili kufikia demokrasia ya KWELI ni lazima kuwe na Sacrifice...so iwapo CCM Wanawanyanyasa wanavyuo wenye mlengwa wa CDM ..Then tuchukulie kama COST OF DEMOCRACY na kuangalia watasaidiwaje hata KISHERIA iwapo wananafunzi wana ushahidi wa kutosha
wawe kama wasomi wa udsm bana,wale jamaa wakat wanadai 10000 kwa siku walienda wakawapga maprofesa wao na wanafunz wa masters na kusababsha m1 kupata miscarriage,huo ndo mgomo wa kisomi bana.
Mkuu naona wewe unaenda mbali sana!tatizo hapa ni ahadi hewa,hawa jamaa hawakujiahidi bali waliahidiwa!!Hebo, hawana akili kabisa hawa wanafunzi. Na wakiendekezwa kasho wataai mkate na siagi.