AMARIDONG
JF-Expert Member
- Jun 24, 2010
- 2,501
- 185
ina maana muungwana alifanya uzinduzi wakati miundombinu si bora?
safi sana hiyo ndio serikali ya mafisadi hawana hata fadhila kwa nyoka zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ina maana muungwana alifanya uzinduzi wakati miundombinu si bora?
FFU endeleeni ni kutoa dozi maaana hao ni wajinga wajinga tu na ccm yao,walimchangia JK pesa ya kuchukua fomu kama vipi wajichangie hiyo pesa ya kuboresha miundombinu.
Kwani TODO kafanyaje Jamani??
Nd. Hekima Ufunuo huyu TODO ni nani tena? Au ulikuwa unamaanisha TIDO MHANDO? Kama ni TIDO MHANDO basi habari ni kuwa mkataba wake umeisha na serikali haikuuongeza kama alivyokuwa akitarajia. Hivyo yeye si mkurugenzi mkuu wa TBC tena.