UDOM: MGOMO wa wanafunzi warindima

UDOM: MGOMO wa wanafunzi warindima

Kwani zile pesa walizomchangia jamaa akachukulie fomu za kugombea ukuu si zingewatosha kujigharimia PT? Vipaumbele 0!
 
Wanagomea nini sasa wkt ni tawi la CCM hilo au wamenyimwa mgao walivyo kuwa wakifanya kampeni?
 
Hao wanafunzi wa college nyingine wanasubiri nini. I understand that kule educatio ndo kuna tatizo kubwa la miondombinu hasa maji wanatakiwa waungane wote pamoja kudai haki. Nimeshangazwa sana na hili suala na kutokwenda mafunzo kwa vitendo!!! Inakuaje mwanafunzi anamaliza miaka 3 hajafanya mafunzo kwa vitendo? Hiyo assessment inafanyika vipi! Hao watakua wahitimu wa chuo kikuu au sekondari. Serikali iache uswahiba hao viongozi wa juu wanapaswa kuchunguzwa inawezekana wanafanyia biashara pesa za wanafunzi.
 
Serikali ya CCM,chuo cha CCM.Sasa wanamgomea nani?wasitupotezee muda,hawana maana kabisa!!!
 
FFU endeleeni ni kutoa dozi maaana hao ni wajinga wajinga tu na ccm yao,walimchangia JK pesa ya kuchukua fomu kama vipi wajichangie hiyo pesa ya kuboresha miundombinu.
 
Jinamizi la Propaganda za CCM kukashifu nguvu za umma kudai mabadiliko zatafuna Chuo kikuu cha Dodoma.
 
ccm inawenyewe jipendekeze uone! WAMUULIZE TIDO MHANDO!
 
FFU endeleeni ni kutoa dozi maaana hao ni wajinga wajinga tu na ccm yao,walimchangia JK pesa ya kuchukua fomu kama vipi wajichangie hiyo pesa ya kuboresha miundombinu.


Acha wapigwe virungu nyambafu zao. Maziwea kwenye kibuyu bila kuyatikisa hayanyweki mpwa, so waache waipate fuleshi japo nawahurumia.

Natarajia karibuni kusikia na MuHAS, maana wanatoa mishahada ya heshima vipaumbele na miundombinu zero
 
Kwani TODO kafanyaje Jamani??

Nd. Hekima Ufunuo huyu TODO ni nani tena? Au ulikuwa unamaanisha TIDO MHANDO? Kama ni TIDO MHANDO basi habari ni kuwa mkataba wake umeisha na serikali haikuuongeza kama alivyokuwa akitarajia. Hivyo yeye si mkurugenzi mkuu wa TBC tena.
 
Ahaha aaaaaaaaaaa.....watoto wa mama wanataka nyonyo!!!!

Hao hawawezi mgomo, waje daruso huku kujifunza migomo ya ki solidarity ndo warudi dom siyo wanakalia kusifia wezi tuu.
 
Nd. Hekima Ufunuo huyu TODO ni nani tena? Au ulikuwa unamaanisha TIDO MHANDO? Kama ni TIDO MHANDO basi habari ni kuwa mkataba wake umeisha na serikali haikuuongeza kama alivyokuwa akitarajia. Hivyo yeye si mkurugenzi mkuu wa TBC tena.

Hivi amestaafu? Kama ndivyo namkaribisha kwenye kipensheni uchwara cha watumishi wa Umma.....
Masikini Mzee mwenzangu, kutoka ukurugenzi mpaka kufukuzwa !
Halafu hakujiandaa, alitoa machozi......aibu TIDO, Aibu!
 
Kama swala ni maji si watembee kwa miguu wakachote hayo maji? Watakoma mpaka wakomae! FFU tembeza mkong'oto kwa hao wachovu na chuo chao cha KATA!!Teh teh teh CCM Bwana kiboko!!!!!!!!!!!
 
Hadi kufikia hapo naamini wameshajua rangi zote za utawala walioushabikia kwa mbwembwe....
 
Hatari sana. Kama chuo cha kata kitaanza migomo ni ishara ya kutisha maana uwezo wao wakuchambua mambo ni mdogo na wengi ni wahuni walioshindwa au waliokataa kusoma vyuo serious kama UDSM na SUA
 
Ni haki yao kuwa na field.
Nyie mnaowaponda hawa madogo mna ajenda gani? Toeni mawazo ya kujenga na sio habari za kuwablame.
Kumbukeni wanafunzi hao hao mnaowashutumu inawezekana ndio watakaosafisha njia ya mafanikio kwa vizazi vyenu vijavyo.
Inanipain sana.
 
Hahahaha! Chuo cha Kata cha CCM kimesahaulika jamani! FFU wape mkongoto mpaka mbavu zivunjike
 
Back
Top Bottom