Degree ya Kwanza ya Jafo sio ya mapishi. Ni degree haswa ni Bsc human nutrition SUA . Usilione jina la degree ukafikiri ni degree ya kwenda na kurudi nayo SUA Ile ni pure science kuna mambo magumu mule mengi mfano Biochemistry, mathematics n.k. ungehoji hiyo PhD basi Ila first degre lile ni jiwe hasa pia kusoma first degree ya kitu Fulani haikulazimishi na master au PhD usomee hicho hicho . Unaweza kusoma mambo mengine kama entry requirements zinakuruhusu. Ila elimu nyingine napata wasiwasi nayo ni Ile ya OPEN University mtu anapataje nafasi ya Kusoma, kufanya assignment, quiz , kufanya mitihani, lab work na kufanya research ilhali hayupo chuoni