UDOM na PhD kwa wanasiasa. Nini chanzo cha mchezo huu katika elimu ya nchi hii?

Jaffo alikuwa na degree ya kwanza ya mapishi sasa hii ya sasa hivi sijui ni PHD ya Mazingira.
Swala LA Elimu limekuwa rahisi sana kwa Tanzania.
Degree ya Kwanza ya Jafo sio ya mapishi. Ni degree haswa ni Bsc human nutrition SUA . Usilione jina la degree ukafikiri ni degree ya kwenda na kurudi nayo SUA Ile ni pure science kuna mambo magumu mule mengi mfano Biochemistry, mathematics n.k. ungehoji hiyo PhD basi Ila first degre lile ni jiwe hasa pia kusoma first degree ya kitu Fulani haikulazimishi na master au PhD usomee hicho hicho . Unaweza kusoma mambo mengine kama entry requirements zinakuruhusu. Ila elimu nyingine napata wasiwasi nayo ni Ile ya OPEN University mtu anapataje nafasi ya Kusoma, kufanya assignment, quiz , kufanya mitihani, lab work na kufanya research ilhali hayupo chuoni
 
Msihofu, ipo siku tutachukua nchi alafu tutahakikisha hizo PhD tunazifuta zote. Ngoja wajidai leo😃😃😃😃
 
Kwa nini ni sahihi kama angehoji PhD? Kwa kuwa imetoka Udom?
 
Acha wivuu
 
UDOM si chuo cha kupeleka mwanao, kila Kona ni utumbo si katika ndaki si utawala mkuu, yani ni hovyo mpaka unajiuliza ni chuo kikuu au ni primary iliyochangamka
 
Kwani hao maprofesa wastaafu wao hawachoki?
 
[emoji28][emoji1][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamlaka husika zijitakari,ili kuleta heshima na weledi katika taaluma.TCU sijui Kama Wana misuri ya kuingilia Kati shahada zinazotolewa kwa waheshimiwa.
 
Kwa hiyo UDOM kimefanywa chaka la kutoa PhD za mchongo kwa wanasihasa..........ni kiwanda cha kufyatua akina Dr. Msukuma, hatari sana tunaua thamani ya elimu kwa kujifanya hamnazo.
 
Mwandosya anafaa sana.
 

Mwandosy alikuwa mwenyekiti wa bodi ya chuo Mwalimu Nyerere memory academy kama sikosei akakosana na mwendazake akafurushwa kwa spidi ya wahuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
SUA huwa wako strictly na huwa hawajipendekezi kwa wanasiasa ma orof wamejikita kwenye kuandika miradi na tafiti so hawana njaa ya kujipendekeza kwa wanasiasa Ili wateuliwa, Mimi mwanasiasa aki graduate SUA, nitaamini hyo PhD yake
Kweli SUA wako vizuri sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…