Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

pole na hongera kwa uzalendo wako, ila kwa hii kitu inayoitwa "bongo" unaweza ukawa unatwanga maji kwenye kinu, sikukatishi tamaa lakini, ni mawazo yangu tu!

Usiogope ndio maana wasomi tunasoma ili tuibadilishe hii bongo itabadilika tu, mbona kuna lecturer nilimuweka sawa semister iliyopita kwa bandiko moja tu hapa JF, na alibadilika ile tabia akaiacha. Mapambano siyo lazimu tuanze watu 10, hata 1 anatosha kuanzisha mapambano.
 
You believe much on evidence? You can not act untill you find evidence? eeh? Real? Do you know rules of jungle? Serious people work on suspicion. I know those whom this thread was created for will act accordingly.

Mkuu it depends on the degree of seriousness of what you are talking about.

Post yako hapo juu ni issue moja serious sana yenye impact kubwa kwa jamii, kwa sababu umepotosha, ndo maana nakwambia uthibitishe madai yako kwa namna yoyote.

Mim nakuthibitishia tena hapa chini kwamba hakuna kuongezewa max, wapo wanaofeli na wanaofaulu.
 

Kama ndo akili yako inakutuma hivyo basi ulivyodisco UD ungeenda kuvumbua kitu kweli tujue kweli una kipaji.Lakini mambo yakuanza kuwaiga kina Bill Gates wakati unategemea kukopeshwa hela ya kula na bodi inashangaza sana.Au hauna mkopo?Wewe endelea kupiga kelele sasa hivi wenzio wanasoma mwisho wa siku na hapo unadisco.Shauri zako utazeekea shuleni
 
Kijana umeibua issue ya maana ingawa itapotezewa kiaina. Mi ni mmoja wa wadau wa academics kwenye moja ya vyuo Tanzania. Kuporomoka kwa kiwango cha elimu tz kwa kiasi kikubwa inachangiwa na hiyo.
 
Kijana umeibua issue ya maana ingawa itapotezewa kiaina. Mi ni mmoja wa wadau wa academics kwenye moja ya vyuo Tanzania. Kuporomoka kwa kiwango cha elimu tz kwa kiasi kikubwa inachangiwa na hiyo.

Haijapotezewa, ila tunamwambia athibitishe madai yake ameshindwa

Nimempa na ushahidi kuwa hakuna kitu kuongezewa max udom, anapotosha uma wa watanzania.
 
Bill Gate, Mark Zuckeberg walidrop wenyewe ingawa walikuwa vipanga, hawakudisco kama wewe. Ushauri wangu tulia usome usije kurotate tena dogo. Mimi nina degree tayari sasa tuangalie mimi na wewe nani ni msomi. Kila la kheri, ila usipoangalia, utahamia sijui mzumbe sijui sua na uzee utakukuta ukibadili vyuo
 
Basi kama unaona ..kudisco ud ni sifa na ukamua kutangaza huku uwekee kwenye cv .yako kama utafanikiwa kugraduate udom ..af inaonekana ulifikiri udom ni mteremko sana ulivyoona mziki..ukaja kuleta uzi wa kuchafua chuo..na nina wasiwasi na gpa yako hapo chuoni hapo hutoboi kiulaini ulizia waenzako waliodisco apo udom wakaenda ud.
 
Haijapotezewa, ila tunamwambia athibitishe madai yake ameshindwa

Nimempa na ushahidi kuwa hakuna kitu kuongezewa max udom, anapotosha uma wa watanzania.

Continuous assessment na examination system kwa vyuo vya Tanzania ni totally weak and easily corrupted.
Huyu bwana mdogo alichoongea kipo inawezekana sio kwa degree hiyo but kipo, na sio UDOM tu, hata vyuo vingine.
Kama kweli serikali ipo serious kuboresha elimu ya juu haina budi kuwekeza kwenye modern centralised and controlled continuous assessment and examination system kwenye vyuo vyake...
 

Uko sawa kabisa mkuu, nakubali kwamba kuna matatizo mengi sana ya kitaaluma katika elimu yetu.

Lakini mleta amefanya exageration kubwa sana, kwamba udom max hutolewa bure na hakuna anaefeli kitu ambacho si kweli hata kidogo.

Kama anataka kuzungumzia matatizo ya elimu tuzungumze kwa fact na si uzushi
 

at least umejitahd ku
nena
 

Wew kama ulidisco udsm sikuelewe huna jipya hata huko utadisco tu hata ukiongezewa maksi! None sense indid
 
UDOM SR kama wewe sio mnafiki naomba ujibu post yangu pg #3 kwanini za wengine umejibu yangu umeiacha?
 
Umemjibu Mr Econ au kisa amekusifia ujinga? Kweli nimeamini ukitaka kupatana na mjinga muungo mkono #UDOM SR
 
serikali ipi? serikali ndiyo chanzo cha wanafunzi kupewa maksi za bure baada ya kuingiza siasa kwenye elimu.
 

Given the principality of Islam, it make sense for them to be alocated such buildind without interference. I believe in salvation of Jesus Christ!
 
Hayo ni baadhi ya matokeo kama yanavyoonekana kuna walipass na waliofeli

Haya thibitisha kuwa wanafunzi hawafail na wanaongezewa max.


Yani hizo course work zmenikumbusha mbali sana! Watu tulikuwa tunakesha kusoma tunaumia alafu mpuuzi mmoja alete umbea wake hapa kwa maslahi yake binafsi ategemee ntamchekea yani big nooo! Umenikumbusha mbali sana uzembe nilioufanya nilicarry course hivi hivi nikiwa second year kisa kukosa quiz! Citasahau
 
serikali ipi? serikali ndiyo chanzo cha wanafunzi kupewa maksi za bure baada ya kuingiza siasa kwenye elimu.

Hivi watanzania tukoje?

Una uhakika kwamba wanapewa max za bure?

Weka ushahidi hapa.

Nakubali mapungufu yapo lakini si kiasi hicho cha kupewa maksi za bure, mleta mada umepotosha uma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…