Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Yani hizo course work zmenikumbusha mbali sana! Watu tulikuwa tunakesha kusoma tunaumia alafu mpuuzi mmoja alete umbea wake hapa kwa maslahi yake binafsi ategemee ntamchekea yani big nooo! Umenikumbusha mbali sana uzembe nilioufanya nilicarry course hivi hivi nikiwa second year kisa kukosa quiz! Citasahau
Ndo system iko hivyo mkuu, tena sasa hivi usipofikisha 16, kati ya 40 ya CW unacarry moja kwa moja.
Hata mim jamaa kanikera sana aisee.