Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nijitambulishe kwanza mimi ni mwanafunzi wa UDOM ambaye nilidisco UDSM. Sasa tokea nimeanz
Kama uko UDOM nenda cafe ya mwafrika COED ukaone carry over zilvo nying wamebandika course work! we kweli mwendawazimu!
Kama uko UDOM nenda cafe ya mwafrika COED ukaone carry over zilvo nying wamebandika course work! we kweli mwendawazimu!
sasa umefeli nikuache ulale? tatizo vyuo vya bongo wengi wanaofeli ni wavivu mno, kuna wanafunzi wavivu bongo sijawahi ona, utawakuta kwenye vigodoro afu wanataka ngono hadi weekdays.. ngoja wawape coursework za kutosha... naona nimejua moja ya sababu za wewe kudisco UD... mngekua mnasoma hata kwenye hilo la wanaopewa coursework nyingi msingekuwemo, uvivu wenu unawaponza.. wacheni kulalal watanzania huku vijana mtaani wanasota hawana kazi..
mwehu huyo,wala c mwanafnz wa udomnilimuwekea picha hapa akakosa la kujibu kakimbia.
Nashukuru wote mliochangia huu uzi mmenifanya nitafakari zaidi. Uzuri ni kwamba asilimia kubwa ya wote mliochangia huu uzi ni either wanafunzi wa vyuo vingine au udom au wanafunzi waliomaliza vyuo vingine au udom. Mmenisaidia kugundua matatizo mengine yanayoendelea kwenye vyuo vyetu. Nimeona nisichanganye haya matatizo hapa ila nimeyaandikia uzi wake mwingine. Kwa hiyo nawakaribisha kwenye uzi mwingine labda mtaelewa matatizo mliyonayo vyuoni yanasababishwa na nini
Inaonesha kabisa hata huo mwaka wa pili umefika kwa msaada wa madesa ila kichwani kwako ni mweupe!! Umeshafanya uchunguzi ukagundua ukweli wowote kwa mleta muda? Au unashadadia tu?niko udsm mwaka wa pili,sijawahi ona upumbavu kama huo hapa chuo,udom naichukia balaa
Nashukuru kwa kukutana na hii post nilikuwa nafikiria ni wapi nitatoa dukuduku langu kuhusu wadogo zetu mliomaliza au mnatarajia kumaliza na kuingia katika soko la ajira.
Kiukweli elimu yetu imedhofika sana ushahidi wa hili nimejionea jana ijumaa, nilikuwa na wanatahiniwa kutoka vyuo kadhaa mjini dar, Dodoma iringa na Arusha kiukweli inasikitisha unatazama vyeti vina GPA nzuri from 3.2-4.3 mmoja au wawili walikuwa na 2.9.
Funny enough watu hawa wezi kukueleza even malezo Yao binafsi. Sasa ukija katika masuala mengine ya uelewa ndio kabisa, kwa nilichokiona jana, nadhani kuna kila sababu ya kuwashauri wadogo zetu wazingatie Yale wanayojifunza na pia walimu wawemakini.
Haya matatizo uliyotaja hapo yapo kwa wahitimu wa vyuo vyote.
Lakin narudia tena hayo mambo ya kupeana maksi za bure udom hakuna, kama yapo basi leteni ushahidi.
Kuhusu mtu kushindwa kujieleza n.k hayo ni mapungufu binafsi haina mahusiano na chuo hata kidogo
Leta ushahidi hapa kama unaweza, wewe si mwanafunzi kuna mtu unataka umchafue, hiyo kitu udom hakuna,
Na ushahidi nimekuwekea hapo , ukifaulu umefaulu na ukifeli umefeli.