Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

Huyu mleta mada si mwanafunzi wa udom,au alishadisco udom ,hivyo ana msongo wa mawazo.udom hakuna upumbaf wa namna hiyo
 
Kama uko UDOM nenda cafe ya mwafrika COED ukaone carry over zilvo nying wamebandika course work! we kweli mwendawazimu!
 
Kama uko UDOM nenda cafe ya mwafrika COED ukaone carry over zilvo nying wamebandika course work! we kweli mwendawazimu!

nimesoma udom mpaka namaliza hiki kitu sijawahi kukiona labda kama kimeanza mwaka huu au mtoa mada anataka kutuaminisha kudisco kwake udsm ilikua bahati mbaya na udom kuna vilaza zaidi ya watu wananvyofikiri kumbe sio kweli.
 
sasa umefeli nikuache ulale? tatizo vyuo vya bongo wengi wanaofeli ni wavivu mno, kuna wanafunzi wavivu bongo sijawahi ona, utawakuta kwenye vigodoro afu wanataka ngono hadi weekdays.. ngoja wawape coursework za kutosha... naona nimejua moja ya sababu za wewe kudisco UD... mngekua mnasoma hata kwenye hilo la wanaopewa coursework nyingi msingekuwemo, uvivu wenu unawaponza.. wacheni kulalal watanzania huku vijana mtaani wanasota hawana kazi..
 
Narudia tena, huo upuuzi wa kuongezeana CW haupo udom, kama una ushahidi weka hapa

Mim nimeshawawekea picha hapa ikionesha matokeo,

Udom haientertain wavivu hata siku moja mkuu, uongezewe CW ili iweje? Hawategemei ada ya mtu ukifeli umefeli na ukifaulu umefaulu.
 
Attachments

  • 1403352850101.jpg
    1403352850101.jpg
    89.5 KB · Views: 81
Huyu mtu anayejiita UDOMSR ,Atakuwa amesoma udom,akadisco,au aliomba akakosa,hivo kashajenga chuk binafs.I LOVE UDOM.
 
Mliodisco na kukosa udom,endeleen kuichafua,lakn kila mtu ni shaid kwa perfomance zet makazin,na hata field tnaheshmika
 
Nashukuru wote mliochangia huu uzi mmenifanya nitafakari zaidi. Uzuri ni kwamba asilimia kubwa ya wote mliochangia huu uzi ni either wanafunzi wa vyuo vingine au udom au wanafunzi waliomaliza vyuo vingine au udom. Mmenisaidia kugundua matatizo mengine yanayoendelea kwenye vyuo vyetu. Nimeona nisichanganye haya matatizo hapa ila nimeyaandikia uzi wake mwingine. Kwa hiyo nawakaribisha kwenye uzi mwingine labda mtaelewa matatizo mliyonayo vyuoni yanasababishwa na nini
 
Umetudhalilisha sana wanafunzi wa udom.

Umeshindwa kuleta ushahidi tunaomba ufute kauli yako, kwa kutudhalilisha
 
niko udsm mwaka wa pili,sijawahi ona upumbavu kama huo hapa chuo,udom naichukia balaa
Inaonesha kabisa hata huo mwaka wa pili umefika kwa msaada wa madesa ila kichwani kwako ni mweupe!! Umeshafanya uchunguzi ukagundua ukweli wowote kwa mleta muda? Au unashadadia tu?
 
Nashukuru kwa kukutana na hii post nilikuwa nafikiria ni wapi nitatoa dukuduku langu kuhusu wadogo zetu mliomaliza au mnatarajia kumaliza na kuingia katika soko la ajira.
Kiukweli elimu yetu imedhofika sana ushahidi wa hili nimejionea jana ijumaa, nilikuwa na wanatahiniwa kutoka vyuo kadhaa mjini dar, Dodoma iringa na Arusha kiukweli inasikitisha unatazama vyeti vina GPA nzuri from 3.2-4.3 mmoja au wawili walikuwa na 2.9.
Funny enough watu hawa wezi kukueleza even malezo Yao binafsi. Sasa ukija katika masuala mengine ya uelewa ndio kabisa, kwa nilichokiona jana, nadhani kuna kila sababu ya kuwashauri wadogo zetu wazingatie Yale wanayojifunza na pia walimu wawemakini.
 
Haya matatizo uliyotaja hapo yapo kwa wahitimu wa vyuo vyote.

Lakin narudia tena hayo mambo ya kupeana maksi za bure udom hakuna, kama yapo basi leteni ushahidi.

Kuhusu mtu kushindwa kujieleza n.k hayo ni mapungufu binafsi haina mahusiano na chuo hata kidogo
 
Vema kabisa kujieleza mbele za watu/mtu hakufundishwi hii ni hali ya mtu binafsi mfano nina jamaa nimesoma nae kwenye suala la presentation utamuone hata huruma ila leta test no 1 touch his first place hata katika field his the best till now ofisini

Mkuu mwenye huu uzi amedhalilisha chuo cha watu bila ushahidi siyo jambo zuri suala la elimu halitakiwi kuwa na chuki binafsi
 
Leta ushahidi hapa kama unaweza, wewe si mwanafunzi kuna mtu unataka umchafue, hiyo kitu udom hakuna,

Na ushahidi nimekuwekea hapo , ukifaulu umefaulu na ukifeli umefeli.

Dreadnought @
Mtoa mada nahisi sio mwanachuo na ameelezwa hayo mambo na mtu ambaye pengine kadisco hapo UDOM. Anyway, mimi sijasoma hapo ila kwenye suala la Matokeo ya wanafunzi kuna shida kubwa sana. Mfumo wa matokeo hapo ni mbovu sana na unahitaji marekebisho makubwa sana ukilinganisha na ukubwa wa chuo.

Kinachomsukuma huyu jamaa kuzungumza hivo ni kuktokana na kubadilika sana kwa matokeo ya wanafunzi. Na inashangaza ilikuwaje kwa chuo kutumia comp. program.system ya mwanafunzi kabla ya kuifanyia tafiti ya kutosha na hiyo ndiyo ambayo ilisababisha wanafunzi hasa wa informatics kufanya lobby kwa mwezao ili awerekebishie matokeo yao.Pengine hiki kitu ndio jamaa anataka kukielezea hapa.

Tofauti na vyuo vingine hapa nchini, mf. UDSM matokeo yalikuwa sio ya kubadilika hovyo namna hiyo. Nakumbuka tulikuwa tunaambiwa kila semister tu-print matokeo yetu, na hata kama baadaye ikitokea shida yoyote unaweza ukasimama na hayo matokeo yako kama ushahidi.

swali ambalo naomba kuwauliza Je, mwanafunzi wa Udom saivi anaweza print matokeo yake akaenda nayo utawala akadai kama amaeonewa au lah? hasa pale ambapo amekuta yameshuka?

Na kwa nini matokeo ya udom yanabadilika hovyo sana kwenye aris yao? Je, wanaudom mmechukua jitihada gani kupambana na hilo? au kwenu sio priority? mnaona ni bie tuu..!

Inawezekanaje, upo likizo unampigia simu Prof. unamuuliza umepata ngapi anakujibu umefaulu ama C au B afu chuo kikifunguliwa ukichek tena aris unakuta una Sapp! How this happens?

Mwisho, kwa hakika Udom inahitaji mabadaliko makubwa kwenye quality hasa ukizingatia ndio chuo kikubwa.
 
Back
Top Bottom