Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

Ndo system iko hivyo mkuu, tena sasa hivi usipofikisha 16, kati ya 40 ya CW unacarry moja kwa moja.

Hata mim jamaa kanikera sana aisee.
 
Ndo system iko hivyo mkuu, tena sasa hivi usipofikisha 16, kati ya 40 ya CW unacarry moja kwa moja.

Hata mim jamaa kanikera sana aisee.

Akija huyu SR wa udom plz inform us mkuu! Naona kaenda kutengeneza evidence za uongo uongo
 
Mbea anasema ukweli ila tatizo haja ruhusiwa !

Kuwa makini na kauli zako !

Ni mbea kweli mleta mada, ushahidi huu hapa

Wengine wamefeli na wengine wamefaulu, sasa kuongezewa maksi na standadization zinatoka wap hapo?

Nimemwambia aweke ushahidi kashindwa
 
Kwakweli inatia ghadhabu sana. Mimi kozi nliyosoma hapo tulichaguliwa 39 tukagraduate 28. Washkaji walidisco na mmojawapo ni best friend wangu halafu anakuja mjinga mmoja analeta upuuzi, eti marks za bure.Pumbaff
 
Kama Mnapingana na Thread intension ya mleta mada hapa ! Basi hilo neno MMBEA mlitoe tafadhari !

Mana Mtu MMBEA siku zote huzungumza ukweli akiutoa mahala fulani nakuuleta nahala pengine ! Bila kuruhusiwa !

Ila kama anachokizungumza Mleta mada ni Ukweli ! Basi endeleeni hivyo hivyo kumwita Mmbea

Mkimaanisha anatangaza maovu yaliyojificha UDOM
ambayo yalipaswa kuwa siri !

Udism kadisco sociology huyo mkuu.we unategemea nn si umbea tu.

.

Ni mbea kweli mleta mada, ushahidi huu hapa

Wengine wamefeli na wengine wamefaulu, sasa kuongezewa maksi na standadization zinatoka wap hapo?

Nimemwambia aweke ushahidi kashindwa
 
Nilikuwa sujajua maana ya neno mmbea, nilifikiri ni muongo kumbe si muongo.

Pamoja sana mkuu
 
mpu.mba.vu km wapum.ba.vu wengine!
Na bahati yako unatumia fake ID.
hizi stori za kutunga tumezichoka na nashangaa kwanini UDOM ndo iwe inatengeneza headlines humu.
Threads nyingi ni za UDOM..
mTI wenye matunda bila shaka,...mshaiona bright future yao sasa mnataka kuizima mapema.
waacheni vijana wasome!
 
Watu wa namna hii wanatukatisha hamu form 6 leavers kuchagua UDOM wapuuzi wakubwa. ..akafie mbali na propaganda zake
 
Kwakweli inatia ghadhabu sana. Mimi kozi nliyosoma hapo tulichaguliwa 39 tukagraduate 28. Washkaji walidisco na mmojawapo ni best friend wangu halafu anakuja mjinga mmoja analeta upuuzi, eti marks za bure.Pumbaff

Mkuu si tulianza kibao tuka graduate 24, hao waliodisco ndo kusema hawakuwa na bahati ya kuongezewa maksi au! Inauma mkuu watu tulikuwa tunakeshea kusoma leo mjinga mmoja analeta propaganda uchwara zake hapa! Haya sasa walioko Udom sasa wamemuwekea ushahidi wa carry over kajishaua kukimbia kwanini asije kukanuasha hapa?
 
Kwakweli inatia ghadhabu sana. Mimi kozi nliyosoma hapo tulichaguliwa 39 tukagraduate 28. Washkaji walidisco na mmojawapo ni best friend wangu halafu anakuja mjinga mmoja analeta upuuzi, eti marks za bure.Pumbaff

Mkuu sie tulianza wengi sana tuka graduate 24, inamaana waliodisco hawakuwa na bahati ya kuongezewa maksi au? Inauma sana watu tulikuwa tunakeshea kusoma Leo mjinga mmoja anakuja na propaganda uchwara zake hapa! Anawezaje kunidanganya Mimi ambaye ni muhanga wa hayo! Haya sasa wanaUdom wa sasa wamemletea evidence za carry over ameshindwa kuzizungumzia cjui amekimbilia Wap?
 
hili liko vyuo vyote! Bila hivi degree holders wangekuwa hawafiki elfu kumi
 
'....any rumour must have a reason..." old English saying.
 
'....any rumour must have a reason..." old English saying.

Everything happen for a reason mkuu, kwa hiyo hata huo uzushi wake una sababu mtu hawezi anza tu kuzusha mambo bila sababu.

Ndo maana nasema huyu jamaa kuna kitu udom imemfanyia ndo maana kaamua kuichafua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…