Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa


akija vc anayejali elimu na kuwapa eneo wajenge msikiti watadai wameonewa!
 

Ed n Edd nEddy @
Nafikiri kuna kitu alitaka kueleza ila amaeshindwa na badala yake ame-pollute uzi wake kwa kuingiza mambo ambayo ni non-academic. But, honestly udom kuna issues zinahitaji kushughulikiwa check post yangu #150.Habari ya kuongezewa marks na kutofelisha wanafunzi hilo sina ushahidi nalo sasa,ila ninachojua chuo kina tatizo kubwa la system ya matokeo, Na hili ni la muda mrefu sana kama nilivyojaribu ku-point out kwenye post yangu hiyo! Kiasi kwamba mtu anaweza kuwa amedisco lakini hajijui , simply coz system ya matokeo haipo accurate!
 

Mkuu mfumo uliokuwa unatumika udom ni ARIS ambayo ni sawa na huo wa UDSM, lakini kuanzia 2012 wameanza kutumia mfumo mpya wa UDOM SR kama anavyojiita mleta mada



swali ambalo naomba kuwauliza Je, mwanafunzi wa Udom saivi anaweza print matokeo yake akaenda nayo utawala akadai kama amaeonewa au lah? hasa pale ambapo amekuta yameshuka?

Mkuu iwe ni matokeo au course registration lazima uprint kwan mara nyingi mtandao huwa unasumbua, lakin hii haimaanishi kwamba matokeo huongezeka, matokeo huweza kufutika au kuvurugika n.k

Na kwa nini matokeo ya udom yanabadilika hovyo sana kwenye aris yao? Je, wanaudom mmechukua jitihada gani kupambana na hilo? au kwenu sio priority? mnaona ni bie tuu..!

Mkuu matokeo hayabadiliki kama una C huwezi kukuta A hata siku moja, mara nyingi huwa inatokea incomplete ua kufutika. Lakini toka nimeanza kusoma hapa sijawahi kuona mtu matokeo yake yamebadilika

Inawezekanaje, upo likizo unampigia simu Prof. unamuuliza umepata ngapi anakujibu umefaulu ama C au B afu chuo kikifunguliwa ukichek tena aris unakuta una Sapp! How this happens?

Mkuu kwa nini umuulize prof matokeo yako? Badala ya kwenda kuangalia mwenyewe.

Kuna mtu mmoja amedisco hivi hivi kwa sababu alimpigia sim lecturer kumuuliza matokeo, lecturer kamwambia ana D jamaa akasikia B, akaacha kufanya sup matokeo yake akadisco.

Kwa hiyo kumuuliza matokeo prof si njia nzuri mkuu ni bora uingia mtandaon uangalie

Mwisho, kwa hakika Udom inahitaji mabadaliko makubwa kwenye quality hasa ukizingatia ndio chuo kikubwa.

Nakubaliana na wewe moja kwa moja, bado safari ni ndefu na mkumbuke chuo chetu ni kichanga challanges haziepukiki.
 

Mkuu Chemiker nimekuelewa ila siku zote matokeo ni muhimu kuyajua mwenyewe zaidi ya kuuliza then una relax cos huwa kuna barriers za communication mfano ya D ukasikia B utadisko kwa kutokufanya sup sababu namjua mtu aliyedisko kupitia hilo

System ya computer ni siizungumzie sana sababu inategemea anaye-i-run kwa kiasi gani ameiprotect

Kubadilika kwa matokeo some time ni errors huwa zinatokea mfano kuna time nishawahi pata matokeo yangu baadhi ya masomo ni incomplete ambayo yako kweye system ila yaliyobandikwa notice bord i pass nikafatilia ku-change kwa academic so hili utaliita kuongezewa maksi?

Kweli sijawahi shuhudia marks za bure chuo nilichosoma kuna kipindi hadi mark up zilifutwa ili ku-boost study za wanafunzi

For free marks ukipewa hasa course work I believe huwezi pass UE kwa njia yoyote
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Dreadnought nashukuru kwa majibu yako, umekuwa very open, humble & polite much thanks. Ningependa kufahamu, upo college gani na mwaka wa ngapi, kama utakuwa radhi ni PM tu. Nimekuuliza hivyo sababu nataka kufahamu experince yako kwenye hiyo changamo hapo chuo, pengine shida ipo kwa Education , Humanities na sio Informatics or whatever.! Ila nafikiri sasa hivi kipaumbele kiwe hicho cha mfumo wa matokeo ili watu wakae na Amani kwenye mioyo yao, na Utawala wahakikishe mfumo unakuwa thabiti.
 


Yani umenikosha
Perfect Answers
 

Hii kuswai mara tano ndo nini kama sio wanafiki wakubwa hao? Ama ndo hao wanaongezewa maksi za bure maana sasa inaonekana wao wanashinda msikitini. Udini ni mbaya sana hasa inapofikia dini moja kugundua kwamba kuna dini nyingine inapendeewa waziwazi. Ukianzishwa mgogoro wa kidini hapo chuoni nadhani hata huyo mkuu wa chuo hatabaki.

Ndio maana UDSM will remain to be UDSM na huwezi kuinganisha na vyuo vingine labda SUA na Muhhimbili ndio vina hadhi hiyo. Lakini Mzumbe sijui wapi UDOM the same thing, haya mambo ya kudahiri failures aimradi tu ionekane umesomesha wanafunzi wengi ni tatizo. UDOM imeshapoteza adha mapema kabisa.
 
Kuna College Moja, Prof alitoa no. akasema mtu akiulizia matokeo yake atweza kumtajia. Hiyo ilikuwa mwaka jana 2nd sem wakati wanaudom wengine wapo field. Kilichotokea ni kuwa mtu katajiwa marks na Prof. kuwa ana B tarehe za kufungua chuo zinakaribia mtu anapata taarifa kutoka kwa kiongozi kuwa ana sapp. katika mazingira hayo unashindwa kuelewa na huna namna nyingine ya kufanya zaidi ya kufanya. kuna mtoto wa Jirani yangu anasoma hapo !
 
mkuu uko college gani mbona haya unayoyasema kwangu mimi ni mageni kabisa muogope mola ndugu kugeneralize college zote labda college uliopo.Ninaomba kwanza nifahamu college ulipo ili nami nifanye utafiti kidogo
Halafu mkuu unasema ulidisco udsm umekuja udom unawabuluza vibaya unahisi ni kwanini unawabuluza ninamaana kwamba hawasomi au ni vilaza tuu
 

Mkuu hivi unajua Central Admission System ya TCU ikoje au inafanyaje kazi?

Kwa nini useme UDOM wanadahili failures wakati ni kazi ya TCU?

Labda nikusaidie tu, siku hizi wanaomba vyuo kupitia TCU, kwa hiyo TCU ndo wanajua wakupeleke wapi. Lakini pamoja na hayo bado kuna suala la points kwa kozi husika, kwa kuwa wewe unasema udom kuna failures hebu kapitie TCU guidebook uangalie points za kujiunga Udom halafu ufananishe na vyuo vingine.
 

Hilo huweza tokea na ni kweli kabisa, ndo maana nasema haya mambo ya matokeo ni heri uangalie mwenyewe ujiridhishe kuliko kuuliza kwa sababu huyo umuulizae naye ni binaadamu
 

Mkuu hiyo kisaikolojia tunaita self saving bias, huyu si mwanafunzi wa udom
 
We mwenyewe boya ndo maana ulidisco UDSM, xa umeenda uko na msuli wako wa mende unaanza kupayuka,au unanataka na wenzako wadisco kma ww, Nyambafu mkubwa ww, usikute ata uliyeongezwa izo 20 ni ww
 

Kwanza kabisa nikushaus ujikte ktk maxomo yako ili ucje uka-disco kwa mara nyinge maana ulivoongea hp n vitu ambavyo huna ushahdi navyo na kama unao na lengo ni kusaidia elimu yetu basi uweke hapa kama alivofa ndugu yako hapo juu
 
Ni mbea kweli mleta mada, ushahidi huu hapa

Wengine wamefeli na wengine wamefaulu, sasa kuongezewa maksi na standadization zinatoka wap hapo?

Nimemwambia aweke ushahidi kashindwa

Mimi nilipata bahati ya kusoma hapo udom mwanzoni kabisa wakati Chuo ndio kinaanza,nilishuhudia wanafunzi wengi sana wakidisco,darasa letu mpaka tunamaliza watu 22 hatukuwa nao,ni wakati huo pia nilishuhudia marafiki zangu 3 wakicarry baadhi ya course baada ya kushindwa kusapua,sasa nashindwa kuelewa kwa nini huyu mleta mada anaamua kuleta upotoshaji wa wazi wazi kwa Chuo chetu.
 

Mimi mwenyewe nimeshangaa sana kuona habari kama hizi tena kutoka kwa anayejiita mwanafunzi wa udom.
 
Aaaaa!mbona unalalamika sana kijana unakaribia kudisco nini?kumbe we kilaza umesema hapa kama ushadisco udsm ukajua udom mchekea na uku umekuta maji marefu unaleta visababu vyako avina macho wala miguu,utadisco tu pumbavuuuuuuuuuuuuuu!
 
We ndo walewale hauna kitu kichwan half unajifanya mjuajiii kumbe mbulula tu.ndomaana uliDIScO UDSM coz uwezowako pia n mdogo
 
Hivi umesema ni "Choo Kikuu" au "Chuo Kikuu"? Sijaelewa!!!:sleepy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…