Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

Udom kuna matatizo mengi sana ila at least hayo mengine unaweza kuyavumilia kwa kuwa hayagusi moja kwa moja academic affairs ila hili la kugawa maksi limenifika shingoni siwezi kulivumilia. Nitavumilia mengine kama ya

Udini - Pale education watu wa dini ile inayotukuzwa udom wamepewa jengo zima la madarasa walitumie kuswalia wakati pana uhaba wa madarasa. Sio kama wa dini nyingine ambao wanasali kwenye madarasa jumamosi na jumapili lakini siku za wiki wanafunzi wanayatumia kusomea. Ma-ustaadhi wao wanadai jengo lina "UDHU" hivyo wanafunzi hawawezi kusomea baada ya wao kuswali. Sasa busara ilikuwa kuwapa eneo wajenge msikiti lakini sio kuwamilikisha jengo zima lenye madarasa karibia sita eti ndio uwe msikiti, my foot!!

Siasa - Hiki chuo kinatumiwa kimkakati na chama cha kijani, yaani ajenda zote zinazotakiwa kupenyezwa kwenye elimu ya juu na magamba wanakitumia chuo hiki. Anyway haya nitayaandikia thread yake.

unapokuwa muongo jaribu kuwa mjanja sababu hapa unadanganya udom karibia kila dini inapewa sehemu ya kufanyia ibada yao kutokana na imani yao na kuhusu majengo udom wana majengo mengi kuliko,mengine hayatumiki
 
Yes hawa ndio wasomi wetu kuna kitu hujakielewa tukueleweshe sisi wasomi? Poor girl, you are so delusional. Unafikiri kuna siku utapigiwa filimbi kuwa ni msomi. Msomi anaweza kuwa hata darasa la saba kama atatumia akili yake kutatua matatizo yanayomkabili yeye na jamii inayomzunguka. Kama umesoma halafu huwezi kutatua matatizo yako na jamii yako huna tofauti na i-d-i-o-t, ndio maana wanaojua msomi ni nani waliamua kuwapa degree watu walioumiza kichwa kutatua matatizo katika jamii bila kwenda shule.

and FYI degree za heshima zinaheshimika kuliko za darasani. we ulitaka tumalize chuo kwanza ndio tuanze kufikiria kutatua matatizo ya UDOM, poor girl.

unajua unachoongea ama unaongea ongea too ilikuleta maneno ambayo hayana tija
 
Pembe la ng'ombe Halifichiki.....CHUO CHA KATA ni janga la kimataifa.
 
Naomba nijitambulishe kwanza mimi ni mwanafunzi wa UDOM ambaye nilidisco UDSM. Sasa tokea nimeanza kusoma hapa UDOM kuna mambo nayaona hayako sawa. kama inavyojulikana wanafunzi wa hapa wengi uwezo wa darasani ni mdogo hivyo tunawaburuza tu darasani.

Sasa kuna tabia ambayo ni common kwa karibu vyuo vishiriki vyote vya udom ya kuwaongezea maksi za coursework wanafunzi ambao wanakuwa na maksi ndogo ili wasifeli.

Mara ya kwanza nilipoiona nikajua labda ni kwa somo moja tu, baadae nikaona kila somo, baadae nikaona na course nyingine nao wanafanyiwa hivyo hivyo, baadaye nilipowauliza na wa vyuo vingine naambiwa hiyo ni kawaida hapa udom.

Kwa mfano kuna somo mwanafunzi wa kwanza ana c/w ya 35 out of 40 na wa mwisho ana 1 out of 40, mwalimu alichofanya ni kumpa 20 yule mwenye 1 ili awe na 21 na kumpa 1 mwenye 35 ili kuondoa lawama asijelalamika kuwa yeye hajaongezewa.

Yaani wote waliokuwa chini ya 10 wameongezewa kati ya 15 - 20, bila fomula yoyote. Yaani mwalimu kapanga kuwa course work ya wanafunzi ianzie 20.

Mimi sikatai wanafunzi magarasa wasisaidiwe ila ninachopinga ni namna wanavyosaidiwa, kwa kuwaongezea maksi wanazidi kulemazwa ndio hawatasoma kwa kuwa wanajua kuwa wataongezewa tena.

Nafikiri njia bora ilitakiwa wapewe extra hours za kufundisha especially tutorials na baadaye wapewe make-up test hata kama zitatungwa below standard lakini at least ni njia inayokubalika katika vyuo vyote duniani.

Ila hili la kugawa free marks linadidimiza elimu halafu linawakatisha tamaa wale wanaojituma kwa juhudi zao. The whole examination process becomes pointless, its even hardly worth the effort to make a success out of it because it leads you nowhere.

Hili zoezi la kugawa maksi linafanywa na walimu mmoja mmoja huko madarasani, Hiyo yote ni tisa, kumi ni pale malecturer ambao hawaamini kwenye kugawa maksi wanapo-submit matokeo ya UE kwenye uongozi wa chuo.

Chuo kinaanza kugawa maksi kwa wanafunzi waliofeli sana na kupunguza maksi kwa wanafunzi waliofaulu sana. Hili lilitokea semester iliyopita karibu vyuo vishiriki vyote vya UDOM ndio maana matokeo yalichelewa sana kutolewa.

Wenyewe wanadai eti wana-standardize, eti matokeo yoyote yale lazima ya-reflect the so called "Normal distribution curve". waliosoma statistics wanaelewa maana yake ila literally inamaanisha kuwa katika darasa lazima kichwani wawepo wachache tumboni wengi bila kukosa mkia.

Sasa kwa kutumia hii style hamuwezi kujua kama somo watu wamefeli sana tatizo ni mtaala au mwalimu anayefundisha haeleweki au delivery methodology au kuna tatizo gani.

Sasa kwa kutumia hii style ya kuongeza maksi matatizo mengi ya kielimu UDOM yanajificha yanakuja kuonekana huko makazini ambako mtu aliyesoma UDOM tena kwa ufaulu mzuri anakuja kuonekana ana uwezo mdogo at its best.

Kuna taarifa zisizothibitishwa kuwa walimu wa UDOM wameambiwa wahakikishe wanafunzi hawafeli ili chuo kisikose ada kwa kuwa hakipati ruzuku serikalini ambayo itawalipa wao mishahara.

Hii inamaanisha kuwa mwanafunzi kufeli UDOM ni mpaka aamue yeye mwenyewe kuondoka chuo na mabegi yake maana hata kama husomi ila upo around maksi utapata tu labda uende kuwashitaki kwa nini wamekupa maksi wakati wewe mwenyewe hutaki, of which is impossible.

Now I was asking myself, are we still having a university at UDOM or a breeding center for fake proffessionals? Please, I know some of Administrators visit this site, try to work on these concerns for the betterment of our colleges.

If anyone disputes these facts, he/she can pm and i will forward the copies of some of the tempered coursework with respective names of their lecturers.

Ni hayo tu


Hili ni jukwaa huru unashindwa nini kutaja hata mfano wa somo moja na mwalimu husika, acha woga dogo. Kama wewe ulidisco udsm then unaburuza udom huoni unajisifia kwa wagonjwa wenzio?
 
km walimu wanatunga mtihani mgumu kwnn wasiongezee wanafnz marks,,kna masomo magumu sana
 
Mtoa mada alishaonekana mropokaj na mweny chuk binafs,ameshindwa kuthibitisha kama cc wanaudom tulvothbitisha
 
they know nothing about udom.I believe a teacher from udom is more competent compared to other universities.we are trained to be self reliant,so l wonder to hear what you call free marks.no soon u are going to be discontinued again.
 
they know nothing about udom.I believe a teacher from udom is more competent compared to other universities.we are trained to be self reliant,so l wonder to hear what you call free marks.no soon u are going to be discontinued again.

I think the man is already discontinued thus why he is against the university
 
Senzoside,hawa akina OKW BOMAN SUNZU waliomba wakakosa,walishachukia jumla,wataendelea kuichek udom kwenye net.LOVE UDOM
 
Rutorial K,wote wanaoponda ,waliomba wakakosa,wiv tu,mtu timamu hawez ponda UDOM hii ya sasa,ambapo buk lipo tait hiv!
 
Back
Top Bottom