Habar wana jf wenzangu,mida ya saa kumi jion kuelekea sa kumi na moja, mwanafunz mmoja mwaka wa tatu aliaga dunia ,baada ya kuanguka ghafla akiwa chumban mwake, habar zilizotolewa na baadh ya wana room znasema alikuwa hajiskii vizur hvo akaamua kwenda kujipumzsha chumban kwake,alipofka ndo akawa ameanguka ghafla ,wakampeleka hosptal ya chuo,kufka akawa ameaga dunia,tukio limetokea colege ya education . MUNGU AMLAZE MAHAL PEMA, AMEN.