Udom,tumefiwa,

Udom,tumefiwa,

Maiga

Member
Joined
Oct 22, 2011
Posts
59
Reaction score
3
Habar wana jf wenzangu,mida ya saa kumi jion kuelekea sa kumi na moja, mwanafunz mmoja mwaka wa tatu aliaga dunia ,baada ya kuanguka ghafla akiwa chumban mwake, habar zilizotolewa na baadh ya wana room znasema alikuwa hajiskii vizur hvo akaamua kwenda kujipumzsha chumban kwake,alipofka ndo akawa ameanguka ghafla ,wakampeleka hosptal ya chuo,kufka akawa ameaga dunia,tukio limetokea colege ya education . MUNGU AMLAZE MAHAL PEMA, AMEN.
 
Poleni sana wafiwa kwa msiba huo mzito................. Ingekuwa vyema kama ungeweka jina la marehemu, ili kama kuna ndugu zake humu wapate taarifa................
 
Poleni sana. R.I.P Mwanafunzi.
 
Poleni sana

mnaotaka kujua jina ni vizuri hajataja as ni hadi familia ndugu na jamaa wafahamishwe na itakuwa ni amefanya vizuri bila kumtaja humu kwanza.
 
Pole udom pole Tanzania,kwani tumepoteza nguvu kazi tarajiwa katika kuandaa vijana kitaaluma.M/MUNGU ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.AMEN.
 
Habar wana jf wenzangu,mida ya saa kumi jion kuelekea sa kumi na moja, mwanafunz mmoja mwaka wa tatu aliaga dunia ,baada ya kuanguka ghafla akiwa chumban mwake, habar zilizotolewa na baadh ya wana room znasema alikuwa hajiskii vizur hvo akaamua kwenda kujipumzsha chumban kwake,alipofka ndo akawa ameanguka ghafla ,wakampeleka hosptal ya chuo,kufka akawa ameaga dunia,tukio limetokea colege ya education . MUNGU AMLAZE MAHAL PEMA, AMEN.

RIP. bwana ametoa, na bwana ametwaa
 
z[COLOR=#ff0000 said:
ubeda_mchuzi[/COLOR];2872622]R.I.P mwanafunzi,mtajen hata jina.

[B said:
zubeda_mchuzi[/B];2872893]Jina- Raphael Yohana
Course-Bed PPM
3rd year.
R.i.P Raphael yohana

Mkuu naona umeuliza na kujibu mwenyewe!!

R.I.P, still young to go!!
 
Back
Top Bottom