UDOM: Tutafanya ukaguzi wa hosteli za Chuo chetu kubaini Wanafunzi wanaobebana

Na sahizi Wizara kapewa Bashite, JF yetu sijui.
 
pia swala la vyoo hali ni mbaya sana kwa college ya Ualimu inasikitisha sana..
 
Chuo cha KATA.
Unaweza soma chuo cha kata ukapata ajira yenye mshara mkubwa halafu wewe ukiyesoma chuo cha international unazunguka na mabahasha yako miaka kibao unabaki kuwa winga tu.

Ukubwa wa chuo haukusaidii ukiwa Jobless
 
Kama wanafanyia kazi taarifa za wanafunzi kubebana kwanini wasifanyie kazi taarifa za kuwa kuna dhuluma katika utoaji wa vyumba, chanzo cha taarifa si kile kile ?
mama yao aliwaambia wale kwa urefu wa kamba zao! Sasa hawajali hata wakilalamika!
 
Sasa kama chuo kama Udom na majengo yote yale, eti kuna kesi za kubebana! Vipi kwa upande wa Mabibo Hostel, au kule DUCE na vile vibweni vyao uchwara vya tangu enzi kile chuo kikiitwa "chuo cha ualimu Chang'ombe"!!!
 
Mh! mpaka mabweni ya UDOM yanajaa maana yake kwa sasa chuo kinachukua wanafunzi wengi sana? Mana tulielezwa miaka hiyo kwamba chuo kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi elfu 40!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…