Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
du,kumbe hata mimi naweza kuanzishachuo hata kama sina wataalam hata moja,nikitegemea washkaji waliospecialize hiyo fani?inaruhusiwa kisheria?
mkuu naona wewe una ufaham fulani juu yya udom.naomba unipe profile ya waalimu wanaofundisha nursing udom.nilitaka kuapply kufanya diploma this year,lakini nasikia hakuna mwalim aliyespecialize nursing hata mmoja ambaye yupo hapo school of nursing.na nasikia kuanzia mkuu wa kitengo mpaka mahead wa department hawajui nesi anatakiwa kusoma nini.
udom = out? Mna gundu wenye vyeti vya hizi university duh
umemaliza kila kitu nakupa 100%..Kinachutuharibu Watanzania ni unafiki,kupuuza na kuukwepa ukweli,lakini ukweli haukubali kupuuzwa siku zote.
Ni hivi huu ujumbe alioutoa mtoa mada una ukweli kwa zaidi ya asilimia 90%,course nyingi(degree programes) za social sciences hamna field(mafunzo kwa vitendo),eg B.A Public Administration,B.A PSPA,B.A Sociology to name but afew,nimesoma na kuhitimu sometimes back!
tujadili ukweli ulivyo kwa manufaa ya wadogo zetu,ndugu zetu na watoto wetu wataokuja kusoma UDOM au chuo chochote kingine Tanzania,elimu yetu haiko salama kuanzia vyuo vikuu na kushuka chini!