Udom, udom, udom. Hivi hii ni kweli?

Na na na na na na na na na na na na naaaaaaaaa!!!!!?
 
du,kumbe hata mimi naweza kuanzishachuo hata kama sina wataalam hata moja,nikitegemea washkaji waliospecialize hiyo fani?inaruhusiwa kisheria?

lakini kumbuka kufata taratibu za tcu,kama upo seriuos huwezi sema utategemea washikaji waliospecialize kwenye fani husika milele,hao watakuwa msaada mwanzoni na pia kukaimu ukuu wa idara wakati umepeleka vijana wako kusomea master, na sera ya vyuo vikuu vingi ipo wazi tutorial assisstant(TA) haruhusiwi kukaa tu chuoni zaidi ya miaka 3 bila kwenda kusoma.

lakini kama chuo husika akipeleki watu kusoma master na phd apo sasa ni jukumu la tcu kutumia mamlaka yake .
 


sina idea kwa nursing school udom, nitakujibu kwa my general knowldge
lakini sina hakika kama ulitaka kumaanisha kwamba ulitaka kuaaply kufanya diploma au degree ya nursing,ndugu kama umemaanisha diploma iyo ni kozi ambayo sidhani kama wakufunzi wake ni shida sana kuwapata na diploma nursing inatolewa na vyuo vingi tu apa tz tena vipo interior na havijawai na havitakuwa na upungufu huo.
kama unamaanisha kusomea degree ya nursing,tatizo linaweza kuwapo kwa kiasi fulani.degree nursing,medicine na dental wanaweza kutumia malecturers walewale hasa kwa kozi za mwaka wa 1 na 2.
 
Hah.. Mi niko udom... 4 sure kwa fani yangu niko nondo balaa hata field now inajionyesha.. Kuliko vyuo hivyo vya zilipendwa.. Viva udom... Nyie endeleeni kubishi tu ila knowledge ndo ya muhimu mitaani....... Sijutii kusomea udom...
 
umemaliza kila kitu nakupa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…