Udom udom udom

Udom udom udom

am sorry mkuu but u have no idea about udom is all about siasa na udini

ahsante kwa taarifa, naona post yako haina nyama eleza kwa undani kama great thinker. sio unasema udini na siasa kisha unaondoka.mm nina rafiki zangu hapo nawafahamu vizuri hawana hayo mambo unayotaka kutuaminisha na niwatu talented.
so ingia deep kidogo mkuu 4Ws and 1H( who, why, where, what and How ).
 
Lakini wahitimu mnaowabeza humu wamepita mikononi mwa wahadhiri ambao wengi wao wamesoma katika hivyo vyuo mnavyoita bora kuliko vingine, tatizo litakuwa wapi???!!!!

Kuna mwalimu anafundisha course flani hapa ni majanga!naye anasema ni PRODUCT YA UDSM
 
Nimefuatilia sana mabishano kati ya udom na udsm ila sijaona mantiki ya hiki kitu wana udsm wamekua wakiponda bila kutoa hoja za kisomi na kufanya nishindwe kujua umwamba wao uko wapi,ninachojua sio kila mtu anaenda udom kwa kukosa nafasi udsm ila inawezekana faculty anayosoma haipo udsm,na sio wote waliosoma udsm wanajua mambo mbona kuna wengine nimewaona mtaani hawana wanachojua na kuna product za udom ni nzuri sana.Hata mimi nilikua na mtazamo kua udom ni chuo cha kata lakini hoja nyingi wanazotoa wanaudsm hazina mashiko na si za kisomi kabisa
ninachoamini haijalishi unasoma chuo gani ila ukijituma unafanikiwa na kuitumia elimu yako kwa faida ya jamii kuliko kujigamba kua umesoma udsm halafu faida zako hatuzioni,mimi sisomi chuo bado niko sekondari
 
we ndo b oya kabisa nan kakwambia chuo kikuu wanafundisha jinsi ya kuandika barua:typing:
 
Hujui hata kudanganya kaka
Udom intake ya kwanza tumeingia 2007 kabla hata haijajengwa
Kijana hatuko hapa ili kudanganya bali kujadili mada iliyoletwa jamvini.Km kuna kitu hakiko sawa unaweza kuni-criticize na sio kunisingizia uongo. Au unadhani chuo kuanza 2007 haiwezekani watu wakawa wanasoma PhD sasa hivi??!!
 
we ndo b oya kabisa nan kakwambia chuo kikuu wanafundisha jinsi ya kuandika barua:typing:

!
!
Kama hawezi kuandika hata sentesi moja iliyonyooka, alikuwa anafanya vipi assignment, amefanya vipi research?
na siku selikali ikisitisha mikopo majengo yatafugiwa kuku tu yale
 
Kaka ulisoma udom? Au umetumwa kukitetea hata kinapo onekana kutoenda sawa? Mimi nimesoma pale udom tena education Ninacho kisema ni kitu cha kujionea sio wewe unae ambiwa!! Udom pia ina udini, u chama na ukabila kama ulikuwa hujui fanya utafiti. Kwa sasa udini umepanda pale kama bei ya luku. Pia ukabila uko juu kama mfumuko wa bei. Nyumba usio lala hujui yaliyomo, uliza wanao soma pale utapata majibu. Sio kutetea upuuzi. Ungejua pesa za watanzania nyingi zimepotea kujenga udom! Hadi sasa bajeti ya udom haijawahi kusomwa bungeni kuwa ni trion ngapi, watu wanakiharibu wewe unakuja kuweka siasa hapa! Acha utoto ndugu kuwa mzarendo!

Bwana NJALI wewe kama unasoma Udom mwenzako nimeisoma na ninaifahamu Udom nje ndani. Nafahamu kila utawala na vipi unaendeshwa. Ninajua Udom inahujumiwa vipi na juhudi gani zinafanywa na pr Idrisa Kikula na team yake. Ninajua kila collegu na nani principle wa collegu na mchango wake katika kukipeleka mbele chuo pia na kukirudisha nyuma chuo. Ok unasema Udom kuna udini sio? Mimi nakukubalia 100% lakini unieleza udini unaozungumzia wewe ni upi? Au unakusudia collegu zote kuwa na maprinciple wakristo ndio udini? Idadi yote ya wanafunzi wa Dodoma takribani 20000 kuwa nawaislamu wasiozidi elfu tano ndio udini unaokusudia ndugu? Oh may be unakusudia Udom kuwa na lecturers/tutorial Assistances/doctors na wafanya kazi wengine kwa ujumla takribani asilimia 80 wakristo ndio udini ndugu yangu? Hebu nieleze kuwepo kwa wasukumu wengi pale Udom wakifuatiwa na makabila kama wahaya, wachaga n.k ndio unasema ukabila? Ukanda unaousema wewe ni upi. Hebu njoo na data uongee nasi kisomi. Akhsante.
 
Last edited by a moderator:
You have a good idea but do this government of outs know that. Even those profs and docts the got their certificate just by appreciation to be a students from were they got those qualities.

Sawa mkuu, lakini ulitaka kusema nini hasa? Nadhani kwa kiswahili tungeelewa zaidi, kwa lugha uliyotumia kama umetuacha hivi
 
MLETA maada unawazo zuri lakini wazo lako limekosa ushahidi/research ya kisomi. Chuo kikuu cha Dodoma ni kweli kimekusanya watu wenye elimu ya kiwango cha juu sana na wenye upeo wa hali ya juu katika kutizama mambo kwa upana wake na urefu. Wapo ma Professer, madoctor, maphd holders,n.k na hawa wote wanashiriki kwa nafasi zao katika kuzungumzia mambo mbalimbali inayohusu taifa letu kwa ujumla. Wanatoa maoni yao sehemu mbalimbali ikiwemo Makongamano, warsha,seminars, vyombo vya habari vingi tu vyakutosha Tanzania. Sasa wewe kama huwasikii ni bora ungejisemea nafsi yako kuliko kufanya inference without any scientific research for your argument. Unaporukia kwenye conclusion bila research ni dalili pia za kuonyesha wewe ni msomi/uelewana wako ni wa aina gani. Dhana ya Dodoma University kuwa chuo cha kata ni dhana ambayo wengi mnaimba kila siku bila kujua what are you saying. Kwakuwa hata nikikuhoji ni nini kinaifanya Udom kuwa chuo cha kata na ili chuo kiwe cha kata kina sifa gani wengi hamna majibu zaidi ya kurukaruka kama mmekanyaga siafu. DHANA ya kuwa Udom ni chuo cha kata imejengwa na watu wenye akili zao hasa kwa malengo ya kupotosha wasiochukua muda wao kufikiria yasemwayo hasa vijana wanaohitimu A level na collegus mbalimbali na wanaoitaji kujiunga na elimu ya juu. Lengo ni kutengeneza soko la vyuo vyao ambavyo kimsingi kusoma katika vyuo hivyo hata ukiwa 100% ya mkopo still maisha yako kama mwanafunzi yatakuwa tofauti na mwanafunzi wa udom. Hii ni kwasababu hasa ya miundombinu mizuri iliyopo chuo kikuu cha Dodoma. Pia intake ya chuo kile kwa taarifa tu kikikamilika uzuri per year kinaweza kupokea wanafunzi elfu kumi natano 15000 na chuo kizima kuwa na jumla ya wanafunzi elfu arubaini (40000) wote wakiwa wanapata kila mmoja malazi palepale. Takwimu hii ni hatari sana kwa ustawi wa vyuo vingine hasa vya private kwani kuna uwezekana wanao apply wasiombe kabisa vyuo hivyo. Mimi hii kwangu ni hoja dhaifu kwani Tcu kwa sasa andio taasisi inayowajibika kupangia vyuo wanafunzi na sio matakwa pekee ya wanafunzi. Kifupi chuo kile kama hujuma hazitoendelea kufanyika ili kisifanikiwe malengo yake few years ahead kitakuwa si kuwa ni bora tu Tanzania bali na Afrika kwa ujumla. Kuna hujuma nyingi sana nazijua kinafanyiwa UDOM lakini leo nadhani itatosha. Nawakumbusha tu kwamba Udom before 2015 Hospitali bora zaidi ya muhimbili itakuwa imefunguliwa ndani ya chuo hicho. Magonjwa yanayotibiwa India km Moyo yatatolewa huduma zako chuo kikuu cha dodoma. Nalo hili lina maelezo yake yanayopelekea kupakwa matope yasiostahili.

uko sahihi. Pia kuna machine za kisasa za kusafisha figo zipo pale zinafanya kazi , ni costfully sana, kiukweli nimehitimu Sua ila one day yes UDOM wako juu, tena kwa mda mfupi, changamoto ni mla.... .......hata pesa za majoho kazibana zilizostahili kurejeshwa kwa wahitimu waliograduates mwishoni mwa mwaka jana
 
Hivi wana janvi kwanini chuo kikuu cha Dodoma huwa wahadhiri wake hawatoi maoni kuhusu mambo mbali mbali yanayotokea kwenye jamii?. Kuna maprofesa wengi, madokta wengi na hata wenye masters wengi pia. Je matatizo haya hawa yaoni? Au wanamuogopa Mlacha atawatimua kazi? Au ndio chuo cha kata? Kumbukeni Nyerere alisha sema [/color=red]"chuo kikuu kinacho zalisha watu wasio hoji hakifai kuitwa chuo kikuu bora kikafungwa"[/color]!!

very interesting
 
uko sahihi. Pia kuna machine za kisasa za kusafisha figo zipo pale zinafanya kazi , ni costfully sana, kiukweli nimehitimu Sua ila one day yes UDOM wako juu, tena kwa mda mfupi, changamoto ni mla.... .......hata pesa za majoho kazibana zilizostahili kurejeshwa kwa wahitimu waliograduates mwishoni mwa mwaka jana

Sijakuelewa unaposema pesa za majoho kazibana zilizoposwa kurudishwa kwa wahitimu. Unamaanisha nini? Na ikiwa kama nimekuelewa unachokusudia ambacho may be ni utapeli umefanyika je unaoushahidi wa uyasemayo au ni hekaya za kusikia ukiwa km 100
kutoka chuo chenye kilipo?
 
Mi nadhan chuo sio tatizo bal tatizo ni m2 mwenyew alivyo, coz kuna wa2 wametoka udsm but kazin bado ni vilaza kwelikwel!!
Je tutakilaum chuo? Or mwanafunz?
Mi sijatoka udom but itafika hatua watakuwa wazuri kadil mda unavyokwenda.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
kwan na wewe ni mhitimu wa chuo kikuu mbona unaandika utumbo sana.

!
!
Sasa hilo swali au kitu gani? Jifunze matumizi ya alama.
Mimi sio mhitimu na wala sijafika chuo kikuu, ni form four tu. Udom inahitaji kubadilika au la sivyo basi ibinafsishwe tu au itafutiwe mwekezaji.
 
Yani wewe mtu mzima unaleta mada ya kipumbavu,lazima uzungushe form 4,----- weeeee.
 
!
!
najua,ila nikiwa mwajili mhitimu wa udom nitamlinganisha form six au fresh mwenye cheti......hakuna kitu yani wahitimu wao,yupo mmoja napiga nae hapa. Huwa najiuliza alikuwa anafanya vipi assignment huyu?au research? halafu kafaulu,duh. Only in Tanzania

Hivi wewe umesoma chuo gani waliokufundisha kuandika neno "mwajili", peleka ukilaza wako mbele na gentmn yako.
 
Back
Top Bottom