ndugu yangu acha ujinga, hayo majengo hapo udom na uwingi wa wanafunzi usikupe kichwa ukishatoka hapo utahukukiwa wewe peke yako kweye soko la ajira, pili usitufanye kuwa sisi wajinga walimu karibu wote wa udom ni wale waliokuwa wanafunzi wa UDSM na hata walimu waliokuwa udsm naweza nikasema hata 80% yao ni kutoka udsm sidhani kma utakuwa na haki ya kuidharau UDSM........
MIGOMO yote yenye manufaa na hiyo sh 5000 unayopata leo ilipatikana pale, nadhani we ulikuwa bado mdogo kipindi hicho
ushauri wangu usifananishe chuo cha miaka mingi na hicho chuo cha miaka hata isiyofika 7
ukitaka maelezo zaidi niambie ............
siamini kama yai la kuku ni tamu kuliko kuku mwenyewe......