UDOM vs UDSM

UDOM vs UDSM

Acha utoto wewe! UDSM enzi zao ziliisha kivipi? unazungumzia nini hasa Academics au u-shalow wa chuo? au wewe ni miongoni mwa VILAZA waliotoka UDOM nini? Unapozungumzia University in Tanzania, first you will not hesitste to mention UDSM a.k.a UNIVERSITY OF TANZANIA, kama huji hilo angalia rank ya universities in Africa or World wide then utajua nini namaanisha!Acha kulisema jambo usilolijua, UDSM ni kitabu tu, migomo inafanyika kwa utaratibu maalumu na kwa TIJA ya Taifa sio kama huko UDOM n.kAcha uzushi dogo, usikurupuke, UDSM ndio Mama of Universities in Tanzania. ukichukia basi nakuletea kamba ya katani ukajinyonge faster! hahaha good day!
we unabishana na hlo zuzu linalouguza machungu ya kufukuzwa kwenye chuo chao cha kata.
 
Kwanza nawapa heshima wale wote waliosoma udsm sababu chuo ni kikongwe na kinafahamika ndani na nje ya mipaka kimetoa wataalamu wengi ambao leo hii ndo wametufikisha hapa tulipo taifa letu na kuitwa wachuuzi uku suistainable development its nothing na hao hao viongozi wana copy na kupest udom ndo yanatuletea maandamano na migomo kila kukicha.
 
Huu mjadala uishe! Nawashangaa watu na akili zenu mnabishana na mtu anayeandika kiswahili kilicho broken! Haeleweki! Acheni kubishana na mtu wa chuo cha kata!! Waswahili wanasema Ukicheza na mku ndu......
 
Tuache mawazo 'TASA' jamani...Ukiponda UDSM utakuta wasomi wa ukoo wako na kimsingi waliokusomesha walipita UDSM, Ukiponda UDOM utakuta zaidi ya 50% ya walimu wa UDOM ni zao la UDSM kwa hiyo ni sawa na kusema UDSM inazalisha 'magalasa' na kimsingi kuna watakaosoma undergraduate studies UDSM au UDOM ila postgraduate wakasomea UDSM au UDOM hukohuko walikokuponda. Halafu hizi zama za internet juhudi binafsi ndo zitakubeba zaidi kiuelewa (kusoma na kuelimika) kuliko majina ya chuo, zunguka utakuta mhitimu wa UDSM/UDOM wote wako mtaani wanalalamika kutoajiriwa ila wote hawana 'plan B' hawajui wasipoajiriwa hawafanyeje.
 
Kati ya wote wewe ndo umeongea point wengine akiri zao zinawafanana.
 
Huu mjadala uishe! Nawashangaa watu na akili zenu mnabishana na mtu anayeandika kiswahili kilicho broken! Haeleweki! Acheni kubishana na mtu wa chuo cha kata!! Waswahili wanasema Ukicheza na mku ndu......
Hauna point kaa kimya.
 
Kwanza nawapa heshima wale wote waliosoma udsm sababu chuo ni kikongwe na kinafahamika ndani na nje ya mipaka kimetoa wataalamu wengi ambao leo hii ndo wametufikisha hapa tulipo taifa letu na kuitwa wachuuzi uku suistainable development its nothing na hao hao viongozi wana copy na kupest udom ndo yanatuletea maandamano na migomo kila kukicha.
Don talk sthng without facts. Udom haiwezi kukopi Udsm ata sikumoja. Hawa waadhiri wanasaka life tu na sio wote wako Udom.
 
sasa kama mligoma nyie,kilicho wafanya mlete thread ya kipuuz ka hii humu jf ni nin?we ndo hujui huko chuon unafanya nin mkuu,yan ungekua mjanja ungeaply chuo kingne mapema 2,hapo ulipo hapana future kabisa.
Haujui maana hautaambiwa maana ata siku moja.
 
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.
I MEAN WHAT I WROTE, TO HATE IS BUT TO DETEST IS MORE, MY ADVISE IS, STUDY MORE TZ IS ABSTRUCT, WHO DISCOVERS IT WILL, BUT TO CLICK IT FOR ADVANTANGE IS NOT DEFINITE.LIFE IS, BUT PLAN IS MORE, FAILURE TO PLAN IS NOTHING YOU CAN DO WITH BUT TO DICIDE ALSO MAY APPLY.UDOM UDSM E.T.C ARE NOTHING BUT INDIVIDUAL IS MORE DETERMINED THAN ANY HOW YOU ENTAIL OR PRESUPOSE LIFE.ACCEPTING CHALLENGES IS MORE THAT ENABLE ONE BECOME A STAR AS ACCEPTANCE IS MUCH PRIORITED. Study more my dear students tz is one and is for you to devlp it. Thanks.
 
Nyote mnaobisha akil zenu zinafanya kazi zimechuchuma. Tatizo sio kusoma chuo kinachojulika au kisichojulikana ile wewe umetoka na nini kichwani?
 
Nyote mnaobisha akil zenu zinafanya kazi zimechuchuma. Tatizo sio kusoma chuo kinachojulika au kisichojulikana ile wewe umetoka na nini kichwani?
sa wewe wa udom utatoka na nin cha maana,ktakacholeta changes kwa taifa?utake usitake,udsm ni baba lenu...
 
Don talk sthng without facts. Udom haiwezi kukopi Udsm ata sikumoja. Hawa waadhiri wanasaka life tu na sio wote wako Udom.
matatizo huzaa matatizo so haya yote yasingetokea udom leo hii kama tanzania ingekuwa na vichwa vyenye kuona mbali na matunda yake iweje leo hii tunabaguana kwa matabaka kati ya KATA na WENYE NAZO. Udom hatupendi kuitwa jina ilo ila mkataa hali yake basi ajisamini ni kweli tunamatatizo mengi mno ila yameletwa na wasomi wa enzi zile waliosoma udsm ambao wana mipango mibovu endelevu.
 
jamani huyo ni zuzu mimi namjua aliingia kwa bahati sana udom mwacheni ndugu zangu ni mwezi mchanga tu
 
Vyuo vya bongo vyote sawa!! Na hao walioko havard, yale, cambridge watasemaje.
 
naomba hii mada ifungwe,ni udhalilishaji wa hali ya juu kulinganisha UDOM na UDSM,UDOM inahitaji atleast 10 yrs from now kunusa level za UDSM,hapo ni baada ya siasa kuwekwa pembeni na kina kikula kuanza kuwa serious na elimu za watu,tuacheni utani jamani
 
Back
Top Bottom