Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,236
- 4,746
Wote mnapiga kelele tu, mnapenda misifa isiyo paswa kutafutwa na wasomi wa daraja lenu. Mnajadili uzuru wa vyuo, historia ya chuo, location ya chuo au QUALITY ya ulichokipata baada ya kugraduate? Niulize leo hii vipi UDOM Kingekuwa kimejengwa maeneo yd Dar? Je shutuma zgekuwa nyng kiasi hk? UDOM wanagraduate wa pili mwk huu Ud karb ya 5o! Then unaliganisha kwa critera zp? Wewe uliyesoma UDOM ungekuwa umesomea Ud ungekvalue the same kama ufanyavyo sasa na vice vesa. M2 unaponda chuo flan hata kutia mguu hujawahi fika, hujui wanasomaje wala chochote hujui zaid ya kuona picha tu. Then umajigamba eti UD/UDOM Is better than other. Jiulize UZURI upi unaupima kabla hujahukumu.