UDOM wanafunzi wageuka mtaji

UDOM wanafunzi wageuka mtaji

Hiyo SUA inayouza vitabu ili watu wafaulu.sijui ni SUA ipi mkuu, nimesoma mpaka nimemaliza sua lakini hata notes tu sembuse kitabu sijawahi kuuziwa

Sasa my bro kasoma hapo na kamaliza tena ilikua ni lazima uandike na jina usipoandika kwenye UE utaona cha moto imetokea kwenye kozi yao .Labda kozi tofauti ila walikua wanalipushwa kabisa na lecture anachukua list.
 
Wewe uliyesema SUA, ni course gani wanayouziwa vitabu? Sema ukiwa na uhakika siyo kuleta porojo hapa.
 
Kozi gani kasoma bro wako? Maana kuna mwalimu alikuwa anadiriki kuwaprintia notes wanafunzi wake bure. Ninachojua mnapewa handouts na kutoa kopi basi. Hata compedium nyingine tunapewa kutoa kopi na ukipenda kununua kitabu kwa baadhi ya wenye navyo ni uamuzi wako na hulazimiashwi. Hiyo ya hadi jinsia naisikia kwako.
 
Wewe hapo juu acha kuropoka wewe hata kama ni chuo chako ulichosoma. Penye ukweli lazima pasemwe tu hafu acha kupaniki isingiziwe SUA ili iweje unafikiri think out of the box sio ushabiki wa maandazi hapa

Sasa si umeshasema huyo lecture alikua ana wa printia na kuwapa madesa bure. Sasa wao huyo lecture wao ni lazima uandike jina ununue na kitabu usipofanya hivo lazima ukome ngoja nimuulize jina LA huyo lecture ikiwezekana nimuweke hapa.
 
Mzumbe main campus kununua ni hiari yako b'se hata usiponunua Library ya chuo inautaratibu mzuri mno Kila kitabu kizuri kinachotoka kazima kiwepo na utaratibu wa kuazima ni very mordenized kwa issue ya mtu kulazimisha ununue kitabu chake haipo kabisa Bahati nzuri nimewahi kutumia library ya IFM na UD niwe muwazi Mzumbe kwa upande wa huduma za library wapo vizuri sana.
 
Hyoo sas hvi ipo vyuo vingi sana..sio UDOM 2..sas cjui ndo mishahara midogo au vp
 
Wewe hapo juu acha kuropoka wewe hata kama ni chuo chako ulichosoma. Penye ukweli lazima pasemwe tu hafu acha kupaniki isingiziwe SUA ili iweje unafikiri think out of the box sio ushabiki wa maandazi hapa

Sasa si umeshasema huyo lecture alikua ana wa printia na kuwapa madesa bure. Sasa wao huyo lecture wao ni lazima uandike jina ununue na kitabu usipofanya hivo lazima ukome ngoja nimuulize jina LA huyo lecture ikiwezekana nimuweke hapa.

Dada acha kupanick, alielalamika ni mtu wa UDOM na kaamua kuwa mkweli, siitetei sua ila nasema kweli, acha kuishi kwa kukariri maisha, mimi nimesoma na kuishi sua, wewe umeambiwa ya SUA..no research no right to speak. Pia hapa naona umejibu watu wawili kwa kunishambulia mimi, Hiyo aliyosoma kaka ako itakuwa China.
 
Hiyo SUA inayouza vitabu ili watu wafaulu.sijui ni SUA ipi mkuu, nimesoma mpaka nimemaliza sua lakini hata notes tu sembuse kitabu sijawahi kuuziwa

Achana nae huyo anaropoka kutaka sifa kwa asiyo yajua,SUA hakuna upumbavu huo.
 
Sio udom tu kuna mdogo wangu anasoma MOCU zamani Muccobs anasema kuna lecturer mmoja aliyepewa uproffessor hivi majuzi anaitwa Magigi. Unaambiwa yeye ana kitabu chake cha research na project planning na kila mwaka anatoa new edition so huwezi kutumia cha mwaka uliotangulia....ukitaka usitoboe acha usinunue kitabu maana nasikia hata class hutapewa nafasi ya presentation. Kwa kweli huu ni ujinga uliopitiliza kwa wanafunzi wa elimu ya juu kufanyiwa mambo kama haya.

Hivi wewe umefika Chuo Kikuu kweli,unafahamu jinsi masomo ya Research na Project planning yalivyo complicated so bila muongozo wa hivyo Vitini/Vitabu vya Prof. Wakuru Magigi unaweza kutoka kapa kabisa? Unapolalamika lalamika kwa haki sio ili mradi tuu unaongea,na kama vipi mwambie huyo dogo wako kilaza asinunue hivyo vitabu halafu tuone kama atachomoka kwenye Research.
 
Dada acha kupanick, alielalamika ni mtu wa UDOM na kaamua kuwa mkweli, siitetei sua ila nasema kweli, acha kuishi kwa kukariri maisha, mimi nimesoma na kuishi sua, wewe umeambiwa ya SUA..no research no right to speak. Pia hapa naona umejibu watu wawili kwa kunishambulia mimi, Hiyo aliyosoma kaka ako itakuwa China.

Aliye paniki ni Mimi au wewe soma komenti zangu vizuri unielewa simuanza Ku attack hapo juu mkijiona wajuaji. Ulitaka research gani sasa kwa watu kununulishwa vitabu kwa lazima kweli we ndo zero brain kweli toka lini Sua ikawa China use your common sense jambo dogo unapaniki. Sasa unafikiri niisingizie Sua uongo ili nifaidike nini labda? Eti kuishi Sua ndo point ya kuhalalisha kuwa walikua hawanunui vitabu na kuandika majina really? Think out of the box uache ujinga tu kujiona bora hadi swala dogo tu lina kushinda. My foot Eti Sua ya China umefilisika kimawazo na fikra.
 
Haya tajiri wa mawazo asiyefilisika, mwambie huyo kaka ako akasome tena sua primary na secondary ambazo wanauza notes but never sua chuo kikuu, endelea kukaza ubongo na usitake kuelewa. Tchao
 
Dada mbona unamihemko sana ukisikia jina la SUA au una akshi-majinun?narudia tena SUA hakuna upumbavu kama huo,kama wewe ulisoma Chuo cha kata na unafananisha tabia ya Chuo chako cha kata na vyuo makini vingine kama SOKOINE UNIVERSiTY OF AGRICULTURE usimlaumu mtu,jilaumu wewe mwenyewe kwa ukilaza wako uliokufanya ukose sifa za kujiunga na Vyuo makini kama SUA mwishowe ukajiunga na Vyuo vya kata.
 
Aliye paniki ni Mimi au wewe soma komenti zangu vizuri unielewa simuanza Ku attack hapo juu mkijiona wajuaji. Ulitaka research gani sasa kwa watu kununulishwa vitabu kwa lazima kweli we ndo zero brain kweli toka lini Sua ikawa China use your common sense jambo dogo unapaniki. Sasa unafikiri niisingizie Sua uongo ili nifaidike nini labda? Eti kuishi Sua ndo point ya kuhalalisha kuwa walikua hawanunui vitabu na kuandika majina really? Think out of the box uache ujinga tu kujiona bora hadi swala dogo tu lina kushinda. My foot Eti Sua ya China umefilisika kimawazo na fikra.

Kama nnakuona vile unavyotoka povu kwa issue ndogo kama hii, leo jumapili dada nenda kafanye usafi kidogo achakukaa na kubishania ujinga kwenye mitandao ya kijamii. Wanaume zenu wakiwapiga chini, mnaanza kulialia na kutoa vilaana visivyokuwa na msingi. Nenda kafue nguo, kama ulishafua, basi kapige deki, au hata panda maua basi, siyo unakaa unajibweteka kubishana vitu visivyokuwa na maana kwenye mitandao unamuachia binti wa kazi shughuli. Kuendelea kubishana bishana hapa unaendelea kujifunua na kuacha watu waone mapungufu uliyonayo.
 
Haya tajiri wa mawazo asiyefilisika, mwambie huyo kaka ako akasome tena sua primary na secondary ambazo wanauza notes but never sua chuo kikuu, endelea kukaza ubongo na usitake kuelewa. Tchao

Ha ha haaaaa kuparamia tu topic na mahaba ya kipuuzi kwa chuo kumekufanya kuwa wao wamenunua vitabu wewe unakuja hapa kubisha na hoja dhaifu . Kasome sasa Sua na kamaliza na alikua hakamatwi masomo kama wewe kujishaua tu hapa ukute una masuplementary ya kutosha tu.
 
hivi najiuliza huu utaratibu wa kila mwl kuingia drsn nakutangaza kuwa lazima ununue kitabu chake km hununui ye ndo ana degree yako upo udom tu au vyuo vyote tz na je haki elimu hmuna maspy hapa udom inakela sana tena sana nanyi wanafunz wa udom mkitishiwa tu munabak kulialia amken nyie co shamba la bibi sawa

Kwa uandishi huu ni bora tu waendelee kukuuzia vitabu
 
hiyo ipo sana kwa wanaosema education, st.john dodoma pia nilisikia hivyo kwa wale wa first year na kweli waliokaidi wengi walifelisha wakaambiwa kurudia semista, ambao hawakuwa tayari kirudia wamerudi nyumbani....
Ndio elimu ya siku hizi ma lecturer nao njaa tupu

Mkuu, ukifeli unarudia mtihani siyo semister(unasup) na ukifeli sup- una carry somo, siyo kurudi nyumbani. Au Labda kama unavyosema elimu ya siku hizi.
 
Elimu ya bongo magumashi,wenye hela zao wanawapeleka watoto wao mbele...

Mbele wanakuwa na Text books, ni lazima ununue. Na kwakuwa unakuta unachanganyika na wazung, wenzetu kusoma sio vita, wanapenda kusoma vitabu, mwanafunzi kabla hajaingia mwaka wa mbele yake anakuwa ameshajua ni vitabu gani vitahitajika na pendine anakuwa ameshanunua in advance. Sasa mwanafunzi wa kibongo anataka aanze mwaka wa kwanza mpaka anamaliza mwaka wa tatu hajagusa kitabu, yeye anataka asome vi powerpoint tu, hii ni kwa sababu ya uvivu na kuchukia maandishi kulikopitiliza. Kwa hiyo ukienda mbele ndo utasoma vitabu mpaka uchanganyikiwe, na hivyo vitabu ni lazima ununue, bila kufanya hivyo huwezi kufaulu, na si kuwa utafail kwa kufelishwa bali hutoweza ku follow mambo yanavyokwenda darasani.
 
Back
Top Bottom