johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Cheyo kausema ukweli mchungu!Wonders shall never end.
Cheyo kausema ukweli mchungu!
Swali linafikirisha!Kwani wabunge wa ccm hawawezi kuwapigania wakulima wa pamba?
Kwani miaka yote tokea Tanzania imepata uhuru, wabunge wa Ccm hawawatetei wakulima wa Pamba? Au umelewa lubisi?Kwani wabunge wa ccm hawawezi kuwapigania wakulima wa pamba?
Cheyo akili imemruka wanaomuhudumia wanajua nachosema
Kwani miaka yote tokea Tanzania imepata uhuru, wabunge wa Ccm hawawatetei wakulima wa Pamba? Au umelewa lubisi?
Inasikitisha kwa kweliWonders shall never end.
Bangi zinakusumbua.Dada taratibu msikilize L7 hapo juu vzr