Uchaguzi 2020 UDP yawahurumia CHADEMA kwa kujiita wapinzani, yawaomba CCM wawaachie walau majimbo mawili

Uchaguzi 2020 UDP yawahurumia CHADEMA kwa kujiita wapinzani, yawaomba CCM wawaachie walau majimbo mawili

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa UDP mzee Cheyo amesema hakuna chama chochote chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na kwamba Chadema wanajidanganya bure.

Cheyo amesema UDP inamuunga mkono Rais Magufuli katika uchaguzi mkuu kwa 100% na ameiomba CCM iwaachie walau wabunge wawili watakaowapigania wakulima wa pamba bungeni.

udp.jpg

Maendeleo hayana vyama!
 
Huyu mzee apumzike tu. Sasa wabunge wakapambane na rais anayemuunga mkono na kumuamini?

Yeye abakie tu uraia kutoa elimu ya uraia. Ruzuku tutampa kama mstaafu.
 
Sasa yeye nae hopeless kabisa, ajiunge ccm basi hana haja ya kuwa na chama ilhali hajiamini kama anaweza kuchukua dola
 
Back
Top Bottom