Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila na sisi wanachuo tuna tabu sana, unakuta mwalimu anauliza, mfano"...a vyuo vichwa ngumu
Ahaaa dogo unatia huruma sanatatizo wengi wanakaa JF na tweeter kumnanga JPM wanasahau kusoma. Je, UDSM wafanye nini kutwa kucha upo hapa unahangaika na watu kama Nyankurungu2020 ambao wanalipwa na chadema kufanya kazi hiyo. Akitoka hapa anatafuta K ya dezo; unafikiri kitabu ni mchezo?
Ahaaa dogo unatia huruma sana
Tumia akili kijana.Umemaliza kifungo cha JF pamoja na kujipendekeza kwa wachadema
Ukimpenda JPM hutapata Ban na ukiripoti kwa muumba utakuwa peponi ila kama humpendi wewe ni wakuumia huko jehanamuTumia akili kijana.
Tumia akili dogo.Ukimpenda JPM hutapata Ban na ukiripoti kwa muumba utakuwa peponi ila kama humpendi wewe ni wakuumia huko jehanamu
Soma kwa bidii bro,huku mtandaoni hakukusaidii bossHaya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20. Inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
Upo sahihi mkuu hata ukitazama kwa haraka >71% ya candidates wame-score >= ²⁰/40.Nadhani ulikuwa na lengo la ku-publish tu matokeo ya vijana, maana sababu uliyotoa haina nguvu, sidhani kama umeangalia average ya total marks! Mimi naona ziko fair tu, na hakukuwapo sababu ya kuyaweka humu
Akili yako imeganda kamasiVyuo vya Tz vyote vya hovyo kama una pesa mpeleke mtoto wako nje akasome,ndio maana wanafunzi wa Mzumbe walikuwa wanakata sana KIU