UDSM acheni kuharibia vijana future zao

UDSM acheni kuharibia vijana future zao

...a vyuo vichwa ngumu
Ila na sisi wanachuo tuna tabu sana, unakuta mwalimu anauliza, mfano"
Swali: Sahani ni nini?
Jibu la mwana chuo: Sahani ni mti mrefu wenye majani ya kijivu.
===
Eti tunajibu hivyo tu hata kama hatujui jibu kisa mwalimu kasema tusiache kujibu swali maana atashindwa namna ya kutufikiria tulichoelewa. Katika mazingara haya kwa nini tusilimwe ban ya moja ama sifuri kabisa!
 
tatizo wengi wanakaa JF na tweeter kumnanga JPM wanasahau kusoma. Je, UDSM wafanye nini kutwa kucha upo hapa unahangaika na watu kama Nyankurungu2020 ambao wanalipwa na chadema kufanya kazi hiyo. Akitoka hapa anatafuta K ya dezo; unafikiri kitabu ni mchezo?
Ahaaa dogo unatia huruma sana
 
Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20. Inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
Soma kwa bidii bro,huku mtandaoni hakukusaidii boss
 
Nadhani ulikuwa na lengo la ku-publish tu matokeo ya vijana, maana sababu uliyotoa haina nguvu, sidhani kama umeangalia average ya total marks! Mimi naona ziko fair tu, na hakukuwapo sababu ya kuyaweka humu
Upo sahihi mkuu hata ukitazama kwa haraka >71% ya candidates wame-score >= ²⁰/40.
 
Ndio utajua hujui! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maisha ya chuo bwana.. yaani hivi v cart 1 sijui cart 2 ,sijui nini yaani vingi na vina chosha kweli,na ma lecture nao wana roho mbaya kama nini...
 
Unataka kupewa degree kwenye sahani, hawa watoto wa siku hizi ni majanga sana...
 
Ulidhani ukienda chuo unasomea bar kama mnavyodanganyana mkiwa shule sio? Umbwa we
 
Back
Top Bottom