UDSM acheni kuharibia vijana future zao

UDSM acheni kuharibia vijana future zao

Inawezekana kwako kaa kukosa umakini kwenye tests zak😵na hata hilo neno marks ulivyoliandika,tena ukimaanisha mark 1.
 
Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20. Inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
Unaweza kupata div. 1 advanced level na ukadisco Chuo.
 
Yawezekana Jamaa hasomi saa Ingine msikilaumu chuo .

Mbona wengine wamepata pata tu marks za wastani .

Hakuna chuo mdebwedo Kama husomi unasapu Kama kawa
 
Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20. Inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
Acha kutupotezea muda na UDSM yako tafadhali. Aliyekuambia UDSM siku hizi wanachukua Cream tupu nani? Siku hizi huko ( hapo ) kumejaa Cream ya Majuha ( Mahayawani ) watupu.
 
Hizo alama ziko vizuri sana Mkuu.. kwani unataka kusema walikoseshwa? ....pale alana za mezani siyo mahali pake "unavuna unachopanda".
mbona kuna waliopata (¹⁶/²⁰ ) baadhi ya quiz hapo unataka kusema wamependelewa?

Udsm is the best place ever noted...nimesima hapo degree ya kwanza na pia degree ya pili na nikitaka kuongeza tena ni hapohapo.
 
Karibu
 
Tatizo wengi wanakaa JF na Twitter kumnanga JPM wanasahau kusoma. Je, UDSM wafanye nini kutwa kucha upo hapa unahangaika na watu kama Nyankurungu2020 ambao wanalipwa na chadema kufanya kazi hiyo. Akitoka hapa anatafuta K ya dezo; unafikiri kitabu ni mchezo?
Wakati jpm kaanza kuoza
 
Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20. Inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
Mkuu formal Education ni pyramidal in nature, the strongest will survive. Kwahiyo kupata 1 siyo ajabu. Chukua mitihani wa aliyepata Moja alafu soma, kaangalie na aliyepata let say 15 soma hizo paper mbili utajua kaonewa au haki yake. Kumbuka marks are scored not awarded. Is like football you have to score goals.
 
Kule political science hizo marks tulizoea tena mbona nyingi[emoji41]
 
Back
Top Bottom