Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Umelipa mkopo hesleb?Kuna Mwl anaitwa Bwana siasa ,Issa Mzenzi. Huyu jamaa kidogo anile kichwa 2007.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umelipa mkopo hesleb?Kuna Mwl anaitwa Bwana siasa ,Issa Mzenzi. Huyu jamaa kidogo anile kichwa 2007.
Unaweza kupata div. 1 advanced level na ukadisco Chuo.Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20. Inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
CoET wachumba kibaoMziki wa CoET hapo bado kaka..😂😂
Inaonekana wewe 0713 yako imeshatobolewaAkili yako imeganda kamasi
Acha kutupotezea muda na UDSM yako tafadhali. Aliyekuambia UDSM siku hizi wanachukua Cream tupu nani? Siku hizi huko ( hapo ) kumejaa Cream ya Majuha ( Mahayawani ) watupu.Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20. Inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
Mzumbe kuna niniKawaida sana njoo mzumbe utajikuta ujui
Nilikuomba usome?Acha kutupotezea muda na UDSM yako tafadhali. Aliyekuambia UDSM siku hizi wanachukua Cream tupu nani? Siku hizi huko ( hapo ) kumejaa Cream ya Majuha ( Mahayawani ) watupu.
Nilikuomba usome?
KaribuHizo alama ziko vizuri sana Mkuu.. kwani unataka kusema walikoseshwa? ....pale alana za mezani siyo mahali pake "unavuna unachopanda".
mbona kuna waliopata (¹⁶/²⁰ ) baadhi ya quiz hapo unataka kusema wamependelewa?
Udsm is the best place ever noted...nimesima hapo degree ya kwanza na pia degree ya pili na nikitaka kuongeza tena ni hapohapo.
Wakati jpm kaanza kuozaTatizo wengi wanakaa JF na Twitter kumnanga JPM wanasahau kusoma. Je, UDSM wafanye nini kutwa kucha upo hapa unahangaika na watu kama Nyankurungu2020 ambao wanalipwa na chadema kufanya kazi hiyo. Akitoka hapa anatafuta K ya dezo; unafikiri kitabu ni mchezo?
Mkuu formal Education ni pyramidal in nature, the strongest will survive. Kwahiyo kupata 1 siyo ajabu. Chukua mitihani wa aliyepata Moja alafu soma, kaangalie na aliyepata let say 15 soma hizo paper mbili utajua kaonewa au haki yake. Kumbuka marks are scored not awarded. Is like football you have to score goals.Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20. Inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
Wanajiita "Msomi Bishoo" kutwa Tips na Kidimbwi stori zao ni Zari Diamond na Wema Sepetu ...ongeza mpira na kubeti...umbea na porojo na Instagram.Ukiwa bishoo bila kujisomea na kuelewa usitegemee muujiza
SureKijana soma. CW haipatikani JF mbona wenzio hawajapata hiyo 1?