UDSM hakuna vya bure

Ma gwin hao conas wange disco mapema mno, [emoji23][emoji23]hafu usinikumbushe Hawa wachoyo wa marks ukijitahidi sana una b plain
conass wanayo kitu ijulikanayo Kama Departmental gpa yaani una gpa ya 1.8 hauji kupiga sapu unadisco mpaka uwe na gpa ya mbili
 
Watu wanasotea promotions kwa kuandika kwenye majarida mbali mbali.
Quality Controler (wadhibiti ubora)wako vizuri.Haina kupeana peana kama njugu.hujapata points unabaki hapo hapo.kuna jamaa pale COSS aliisote phd muda mrefu sana.halafu supervisor wake alikiwa wa college hiyo hiyo
 
Basi nimekupa Sana mademu kavu pale uwanjani
Daa mkuu yaani life la bibo nililifurahia Sana. Pale uwanja wa basketball nafungua zipu block A anaikalia huku tunapiga story.
Ama tulisoma muda ukienda zile dining na kitchen za block F. Yaani anakaa Mezani romance za kufa mtu afu miguu begani viwili kiafya unaoga unalala kesho main campus desa linapanda bila ya kuwaza
 
Unachamba kasoro DERA tu
 
Kama mtu hujapata ukimwi Bibo. Hupati tena
 
Kama mtu hujapata ukimwi Bibo. Hupati tena
Mkuu,yaani hata nyuma ya Yale blocks zao ama wakifunga field nafanyia dar tunaishi bibo tunachukua room yetu kabisa.
Nawaza nikafanya postgraduate kidogo niishi na wanangu niwe nawapa uzoefu.
Yaani ukiwa pale block F wale jamaa utawasikia yaani enzi nikiwa undergraduate sikuwa nasoma Sana,Mara undergraduate mpaka kero Kama vile fomu wani ama first year wanavyomaindi kuitwa.
Mpaka nikamtungua rafiki yangu nikawa namuita undergraduate,mara naanzisha story nikiwa undergraduate na huku namie Niko hukohumo under
 
Niliwahi kung'oa demu hata simjui pale Bibo getin. Nikampeleka "machinjioni" uwanjani akapigwa 2 nikamtoa 5,000 tu. Aisee sijui nilikua najiamini nn.
 
Mie nilikuwa block D na E pia na C nimekaa sema kujisomea ilikuwa ni block f la postgraduate Mana kule undergraduates sio wengi Mana unakuta Wana kelele Sana Kama fomu wani.
[emoji23][emoji23][emoji23] ma block ya wanaume yalikuwa yamezidiwa na watu, huku kwa wanawake ni nadra watu kubebana hovyo nakulikuwaga tulivu mno
 
Duh kumbe ndio pagumu hivi huko
Pagumu Sana Bora Koet kwetu.
Umezeeka una miaka mingapia cariha. Saivi nadhani ndo uko vizuri kuliwa.
Mana usikute umeshazaa umemaliza Sasa mwili umerudi mpaka inawazidi mabinti wa undergraduate kwa muonekano na urembo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ma block ya wanaume yalikuwa yamezidiwa na watu, huku kwa wanawake ni nadra watu kubebana hovyo nakulikuwaga tulivu mno
Ila nilikuwa siwezi kujisomea pale kwenu Mana ni harufu ya marashi tu naisikia kwenda mbele.
Kule postgraduate kulikuwa poa Sana.
 
Pagumu Sana Bora Koet kwetu.
Umezeeka una miaka mingapia cariha. Saivi nadhani ndo uko vizuri kuliwa.
Mana usikute umeshazaa umemaliza Sasa mwili umerudi mpaka inawazidi mabinti wa undergraduate kwa muonekano na urembo
[emoji23][emoji23][emoji23] coet Kuna unafuu gani jamani?
Sijazeeka kivile bana, na miaka ya kawaida tu
 
Watuthibitishie kwanza Phd ya mwendazake ilipatikanaje wakati kila mtu wa kawaida alimuona kulaza kabisa
Kama yule waziri wa pure broken English na PhD yake itakuwaje nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…