UDSM hakuna vya bure

UDSM hakuna vya bure

Ndio maana huwa nakubali elimu ya Ujerumani. Alafu kwenye sayansi naheshimu zaidi patent kuliko PhD ingawaje vyote vinapatikana kwa research. Kwenye social sciences naona ni vigumu kidogo kuona mchango kiurahisi
Kazi Iendelee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UDSM mbna faculty zote lect ni wachoyo wa marks, sema vile chuo pendwa. Ndo watu wanakomaa kibishi
Wajinga kweli unsjipinda kuandika na assignment wanakupa marks ndogo Ili ionekane kuwa chuo ni kigumu na wao Wana akili, kumbe hamna kitu
 
Wajinga kweli unsjipinda kuandika na assignment wanakupa marks ndogo Ili ionekane kuwa chuo ni kigumu na wao Wana akili, kumbe hamna kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan UDSM hapan lect sjui wakoje yaan hata ujipinde sana marks ndogo, sasa UE kakupendelea sana tena hapo umemkosha B+„

chuo pendwa tunakomaa kibishi acha ituue tyuuh lol.
 
Uwe unaelewa kwanza maana kila uzi unalalamika kuhusu graduates. Umeelewa nilichokuwa nazungumzia au kwa vile nawe ni graduate wa hii mifumo yetu mibovu umeamua tu kujibu?

Nimesema hivi, si lazima mtu afundishe chuo ndio aweze kupata PhD. Nje na hapo kuna nafasi za maana sana kwenye research institutes, laboratories, etc. Huwezi linganisha PhD ya mtu wa viwandani dhidi ya maprofesa wa SUA wanaomiliki baa na lodge.

Nitajie PhD kutoka chuo cha nchini iliyowahi kuwa na manufaa. Vyuo vyetu sio kama vya nje ambavyo vina mazingira wezeshi. Unakuta departments za makampuni zinakuwa na affiliation navyo, utasikia John Hopkins ina project na Novartis kwenye research flani ya insulin au anti age drugs. Au Boeing imepewa contract na DARPA kutengeneza prototype ya drone iliyobuniwa na wanafunzi wa MIT wakishirikiana na maprofesa wao, wakidhaminiwa na US Air Force. Tanzania hutokaa usikie Superdoll wameshirikiana na DIT, wala Chemicotex na MUHAS.

Mafundi wa chini ya mwembe wengi wanajua magari kuliko lecturers wa Automobile Engineering. Unabisha?
Facts
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan UDSM hapan lect sjui wakoje yaan hata ujipinde sana marks ndogo, sasa UE kakupendelea sana tena hapo umemkosha B+„

chuo pendwa tunakomaa kibishi acha ituue tyuuh lol.
[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi Kuna kipindi nilikuwa nasoma nisipate tu sup aisee, kikubwa cheti na kupambana kitaa mambo ya kujitia stress kupata A, wakati Sitaki kufundisha chuo ni nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi Kuna kipindi nilikuwa nasoma nisipate tu sup aisee, kikubwa cheti na kupambana kitaa mambo ya kujitia stress kupata A, wakati Sitaki kufundisha chuo ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo wengi wanafikia hatua hiyo, kusoma kuepuka sup bas, yaan UDSM bas tyuuh khaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo wengi wanafikia hatua hiyo, kusoma kuepuka sup bas, yaan UDSM bas tyuuh khaaah
Nashukuru nilimaliza salama, jinsi nilivoteseka sipendi kabisa kwenda maeneo ya chuo
 
UDISM zimejazana degree za chupi karibu kwa watabe Edward moringe

Ardhi ni hazina
Kwangu Mimi Ardhi university na muhimbili ndo vyuo Bora Tanzania...

Chuo Kama Ardhi wanafunzi wanapikwa kweli practically mpaka wanaelewa....

Mfano yule Padre juzi aliyepata PhD juzi ya architecture anajua kweli kweli vitu...
 
Nashukuru nilimaliza salama, jinsi nilivoteseka sipendi kabisa kwenda maeneo ya chuo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan UD panasomesha watu number kichizi lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi Kuna kipindi nilikuwa nasoma nisipate tu sup aisee, kikubwa cheti na kupambana kitaa mambo ya kujitia stress kupata A, wakati Sitaki kufundisha chuo ni nini?
Ina Mana ikitokea umepata A unawaambia wakuwekee tu c Mana hautaki kufundisha chuo.
Kubali tu ukweli kuwa uwezo haukuweza kufika.
Mie chuo kumenikataa kiukweli darasa langu mie ndiye niliyekuwa bingwa wa kupata sapu nyingi na kuzitoa kwa mkupuo. Napata sapu sita natoa zote afu unakuta mtu anazo mbili na zote zipo ndani ya za kwangu Ila anashindwa kuzitoa.
Huku shuleni nilitokaga na wani pote o and a level Ila huko nimetoka na gentleman.
Sasa hapo mie ni kilaza ama ni nani
 
Back
Top Bottom